10/10/2025
๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
Kumbuka kuweka LIKE mkuu...hii ni ya Monday!
๐๐๐๐ ๐
Sikiza, Madam Sabina alituma jamaa fulani akamdanganya ati anataka kusponsor Asha so anataka kujua kila kitu,kuhusu Asha na kuhusu mamake,lakini jamaa after kufanya uchunguzi,akamwambia Asha amelelewa Mombasa na mamake hajawai olewa kwingine.
Punde si punde,Tyran akafika akiwa amejam sana,akauliza Sabina,nani alituma Selina kuenda kuongelelea my personal matters kwa Dr Robert? Sabina hakua anajua.
Sasa cheki, Chris ni married man anadate Selina na Selina anataka Chris amuoe atoke kwa babake mind you this kid is just less than 21yrs na ndio kamefanya exam juzi tu kakapata X sai kanataka kuoleka...๐ฅฒ๐ฅฒChris anajaribu kumwambia sikiza, dont try to blackmail me lakini Selina alimwambia hauna cha kufanya,you do as I say ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Selina kamelewa sasa kakaona,acha kaambie mamake kuhusu DNA ya Asha ju kaliongea na Rober na kanajua ukweli ๐คฃ๐คฃkanasema venye men can cheat,kanasahau pia kalicheat kwa exam na sai kanacheat na bwana ya wenyewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Actually Selina anajua kuna DNA test Tyran anapanga kufanya bila mamake kujua.
Kumbe Saida na yeye alikuja kwa Robert,akamwambia please, naona story ya DNA tuache tu. Robert akamuuliza mbona whats has changed? Saida akamwambia iam soo worried kiasi na sidhani k**a Tyran atamkubali Asha.
Saida anataka matokeo ikitoka, Robert achange aweke negative ju Saida already anajua matokeo ni postive.
Selina alikuja akafika kwa nyumba,mamake akamuuliza shida yako ni nini na kulewa lewa? Selina akaambia mamake,your house is falling apart,achana na mimi kwanza nyumba yako inayumba. Sabina akashindwa,haka kanaongelea nini.
Selina aliambia mamake,I heard dad na Robert wakiongea. Akaulizwa waliongea nini? But Selina,before kaseme, ile pombe ikakaweza kakalala๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tufike kwa Robert,anaambia Saida, Tyran hana shida na matokeo,anataka tu ukweli na najua Tyran haezi acha Asha ateseke. Kumbe Asha alisikia kila kitu,a