
24/06/2025
πππππ ππππ ππππ πππππππ πππππππ
ππππ π
Neema kusikia ati Eddy amekua na Rachael,alijam!
Neema alikuja akiwa amekasirika sana akimuita Rachael..Rachael ameshtuka akakuja akawauliza shida ni nini guys? Neema akamuuliza mbona hukuniambia Eddy alikua hapa?
Val na yeye kuna launch inafanywa ya Amani but Jayden yeye ako tu shule,hadi Val akamuuliza, mbona unaacha wakae too close na wewe uko tu huku kwa vitabu..kuna expedition Amani alikua anafanya ya photos.
Rachael ameshtuka pia akaambia Neema, Eddy alikuja na nikamwambia asinihusishe kwa mambo yake...lakini Neema ako juu mbaya hadi akaambia Rachael nipoteze watoto wangu juu yako utaona na utajua mimi ni nani lakini Rachael yeye anajua hakuna kitu alifanya,hadi anaambia Mark,you know me,siezi fanya kitu k**a hiyo. Neema aliambia Rachael I regret kukuambia ukuje huku. Wah! Kunoma
Mark alijaribu kutetea Rachael lakini wueh,Neema yuko juu mbaya..all in all walienda kotini. Kuna wa kutetea Neema na kuna wa kutetea Eddy.
Huh! Kumbe kwa expedition ya Amani, alieka hadi picha za Jojo pia..wacha Jayden aone akauliza Jojo,huu ni upuzi gani mbona unaekwa hapa kwa photos?
Huku kotini, ilifika wakati wa Sharon kutoa ushahidi na hakua amefika na Neema anaamini Sharon atasimama na yeye,huh!πππSharon amechelewa hajafika na ni yeye tu wanangoja but kwa bahati ya Mungu baada ya dakika Sharon akafika.
Neema kuona Sharon akajua basi acha amtetee lakini ajabu ni kwamba,Sharon alisimama side ya Eddy hadi Neema akamuita akamwambia wee,yafaa uwe huku lakini Sharon akasema najua chenye nafanya...Neema akajua mara moja Sharon amemruka.
Huku kwa Jojo na Jayden kumewaka,hadi Jayden ameamua kurarua picha za Jojo lakini Amani na hasira alimshika Jayden tai wakaanzana vita sasa wah! Makosa sana. Amani alieka hapo ju anamtaka Jojo na Jayden alirarua ju Jojo ni dem yake.
Sharon aliropoka kotini,akasema venye akina Neema walikua wanatoka na Mark wakiacha watoto peke yao na sasa hii ni enough evidence kuonyesha Neema hafai kukaa na watoto wah! Sharon amechoma vibaya sana.
Kumbe Amani na Jayden wakipigana lec aliwapata,akawaambia kwa kujaribu kupigana the expedition has been canceled..wah! Amani anataka kumeza Jayden sasa,,hadi Jojo pia akaambia Jayden hujafanya poa manze.
ππππ π
Sharon alisema kila kitu hadi akaambia koti ati hadi sai Mark anakaa na baby mama na ati kazi ya Neema si kazi mzuri anasaidiwa na Mark..Sharon anasema haya ju alilipwa manze!
Sharon amechoma sana..hadi Babu Jay akaambia koti huyu mwanamke ni mbaya sana na ndio maana hata majirani huwa hawampendi. Sasa koti ikaamini sasa Neema hafai kukaa na watoto.
Jojo alikuja kumtuliza Amani lakini Amani anaambia Jojo ni unasema na unaenda kuoa that fool... Amani aliambia Jojo wachana na huyo boys he will never change. Jojo is now confused hajui waanzie wapi wamalizie wapi.
Sharon aliendelea kusema venye ati Neema hata huwa hakai na mtoto wake huwa anaachia babake mwenye ni mgonjwa. Sharon alisema hadi ati Neema huwa anaacha mtoto akienda out na Mark hadi juzi akawa kidnapped..aah hii sasa ik**aliza kesi sasaππNeema huna lako mamaa.
Jojo wamebreak up na Jayden tenaπππI hope Jayden hataendea jino lakeππ
Huku nje Neema alitaka hadi kumpiga Sharon lakini Sharon ako na nguvu alimpush Neema huko ππ Isabelle na Babu waliambia Sharon wasiwai muona kwao tena..
Neema, ni kunoma! Eddy is winning
Turudi huku nyumbani,Mark alimuita Rachael,akamwambia k**a wanaeza ongea. Rachael akamwambia its ok we can talk..Mark akamuuliza Rachael tuko tu na wewe,niambie tu ukweli,uliambia Eddy kuhusu Ian? Rachael akamwambia walai sikumwambia anything maybe ni Sharon ama Dancan.
Mark akiwa hapo akapokea message kutoka kwa Neema akimuuliza hali ya Ian,badala ya Mark kumreply akaamua kumcall...Hii sasa ndio mapenzi..akikutext unamcall! shida wako hata hajakutext leo πππ