Situationship Stories

  • Home
  • Situationship Stories

Situationship Stories African Anime/Comic stories 💕 sales service

Nimekuwa nikijiuliza mbona young men are into older women nowadays...the wamamaz. But after my deep research nimecome ku...
20/07/2026

Nimekuwa nikijiuliza mbona young men are into older women nowadays...the wamamaz. But after my deep research nimecome kurealize hawa wamama, apart from the money they offer, wameji-maintain. Hawajachapa, unapata mumama ako na nice figure na “frubanya” kushinda your 21 years girlfriend. Alafu hawananga kelele, bora tu upige shughuli safi, they will treat you like a son. Alafu nilisikia eti hiyo kitu ni k**a wine...the older it gets, the sweeter it becomes.

But hiyo sio the case. Issue hapa ni kuna huyu boy anadai alipatana na mumamaz, yeye ni comrade. Sasa huyu mumamaz umkanja ganji poa, bora apige shughuli safi pale international tour “Kisumu dala.” Alafu pia mumamaz amejibeba..ni mali kushinda dem yake, pia hiyo sector ya Kisumu ni tight ajab kushinda kifuniko ya gas. Anadai yeye ameshindwa tu kuacha huyu mumama even though dem yake alikuja kunotice. Then akashow huyo dem yake itabidi arelax juu hapo ndo huwa anamtolea doo zenye umpea za salon na maclads mpya mpya.

But sasa dem nikaa alijam—anadai kumuacha. So boy ako in dilemma, anauliza anafaa kuchoose nani between mumama na girlfriend yake. Alafu mtu akizoea kitu sana, anafaa kufanya nini ndio aache? Juu alikuwa anadai atakula kula huyu mumama, aweke biashara yake kisha amtoke....but alishindwa kabisa kumtoka.

Cousin yangu alionyeshwa dust jana baada ya kudate na dem kwa miaka minne, huku akimsomesha hadi ak**aliza university. B...
19/07/2026

Cousin yangu alionyeshwa dust jana baada ya kudate na dem kwa miaka minne, huku akimsomesha hadi ak**aliza university. Baada ya ku-graduate, dem akamtoka. Cousin yangu alipomuuliza sababu, dem akamwambia hakuwahi kumlazimisha amsomeshe—alimlipia kwa hiari yake. Akaongeza kuwa hawezi kuendelea kuwa kwenye relationship na mtu ambaye hana hata degree. Sasa cousin yangu ameachwa akiwa amechanganyikiwa hajui afanye nini.

Ingekuwa ni wewe, ungefanya nini? Na wewe unaweza kumsomesha dem au chali wako? 👀🤔

Men will always look for an excuse, even when you catch them red-handed. 😭 Jana nilipata boyfriend wangu amenisave "Ceme...
17/07/2026

Men will always look for an excuse, even when you catch them red-handed. 😭 Jana nilipata boyfriend wangu amenisave "Cement" kwenye simu yake. Nilipomuuliza kwa nini amenisave Cement, alisema ni kwa sababu I am the foundation of his life. 😭 Should I believe him? Is he cheating on me, or am I just overthinking? 🤔😂

Mambo imechemka hapa🔥, lakini wanawake wengine utaka nini… 😅So huyu chali anadai Dem wa Morio wake umtaka ile mbaya. Eve...
07/07/2026

Mambo imechemka hapa🔥, lakini wanawake wengine utaka nini… 😅So huyu chali anadai Dem wa Morio wake umtaka ile mbaya. Every time ameenda huko Dem uanza tu kumzimia zimia macho,na some weird behavior.Alafu unapata most of the time morio wake umpigia simu time wako pamoja na huyo Dem awatembelee Juu huwa anamsho ebu salimia mamaz hapa, so hapo Dem anapata radar ya kujua exact time huyu jamaa atatokea, juu saa hizo anampatanga amedress kanguo kafupi, ile ya “casual but intentional” 😏… then kumbe hana gotha ndani.

So Morio wake akiingia bedroom,ama akitoka tu nje kidogo, Dem anakuja kuinama mbele yake anamwekea kila kitu wazi...ile situation inakuwa awkward lakini pia dangerous juu signals ni nyingi kuliko network ya Safaricom.Juzi anadai Morio wake aliingia bafu kupiga shower ndio waende shughuli fulani. Obviously Dem anajua dakika bwanake atakuwa busy huko ndani. Ndani ya hiyo small window, anadai Dem alianza kumkaribia vibaya, akimrush ampee quickies,zile vibes za haraka haraka,jamaa akashikwa na ile pressure ya ghafla yenye inakufanya akili na mwili zianze kukosana.

Yaani ilikuwa noma juu karibu huyo Dem ambah-keh huyo chali cha nguvu… ile tension ilifika peak, na chali akajipata anasweat bila sababu 😅.Sasa chali anadai hii imeenda overboard juu pia huyu Dem kunavenye ameiva jo… confidence iko juu, mchezo ni wa akili kabisa. Sasa akili inamsho “no, hii ni noma,” but Mr Dickson anadai “ata one chance tu…pita nayo” 😭

Lakini huyu ni mamaz wa Morio wake bana, hawezi taka kumgongea. Loyalty inamkaba koo vibaya. Na at the same time Dem amemuweka kwa dilemma mbaya juu imefikia mahali anamtumia hadi nudez..zile unexpected messages zenye zinamfika usiku na kumwacha staring at the phone like “ama nipite na hii kitu”Na worst part ni ile dem alichukua number kwa Morio wake mwenyewe, bila hata suspicion. Anashangaa ni aje huyu Morio wake haonagi hizi red flags..yaani anadai Morio wake ni ndwazi kiplan, hajawahi rada anything, anaishi tu life yake smooth bila kujua kuna mchezo nyuma yake.

So jamaa anasema yuko confused mbaya. Anajiuliza achape hii kinywero na akanyagie hio riba, ama amshow Morio wake vitu Dem anamfanyia..even though anajua hiyo truth inaweza haribu kila kitu.Juu manze amefika mwisho na hiyo mateso… juu kila visit imekuwa k**a test ya discipline, na temptation inazidi kupanda level kila siku 🔥😮‍💨 Situationship Stories

So nilitembelea huyu rafiki yangu huko Ukambani, Kitui. Jana baada ya pilka pilka za kutembea na kupiga tour/Maroundi, t...
04/07/2026

So nilitembelea huyu rafiki yangu huko Ukambani, Kitui. Jana baada ya pilka pilka za kutembea na kupiga tour/Maroundi, tulikutana na huyu dem anaitwa Nduku na jamaa anaitwa Mutiso. Walikuwa wametoa mbuzi malishoni, na kwa kuwa ilikuwa jioni giza lilikuwa linaanza kuingia, walikuwa wanazirudisha mahali ulala wanakoita "Kituu."

All of a sudden wakaanza kupigana kimunju. Mimi na rafiki yangu Jane tulipoona hivyo, tukajificha tuone cinema ya bure kwa sababu bado hawakuwa wametuona. Punde si punde, dem akalala chini ghafla huku akimvuta jamaa. Lakini jamaa akili ilikuwa imesharudi factory settings. Akaanza kumwambia dem aamke haraka kabla wapatwe na mtu akiwa hapo chini.

Lakini dem akamwambia, "Leo lazima tuvunje ground juu Kisumu imewaka kuwaka!" 😅 Jamaa akakataa kabisa, akajinasua na kuondoka mbio. Dem akabaki chini akiwa disappointed. Haki Ofiulesheni wewe! 😂🙌

Ingekuwa ni wewe, ungechapa ilale ama ungeondokea k**a Mutiso? Kumbuka, chances zingine comes once in a lifetime. 😅👇 Situationship Stories

Kulea Gen Alpha sii mchezo, hii ilitupata off guard kabisa. Kijana alitugonga 10 nil hapa tukabaki tumeduwaa. Angekuwa m...
30/06/2026

Kulea Gen Alpha sii mchezo, hii ilitupata off guard kabisa. Kijana alitugonga 10 nil hapa tukabaki tumeduwaa. Angekuwa mtoto wako, ungemjibu aje?
Situationship Stories

Ya dunia ni mengi kweli… A month ago nilipost dem akidai yeye hujidishi na amekuwa addicted, akiomba advice zenu vile an...
27/06/2026

Ya dunia ni mengi kweli… A month ago nilipost dem akidai yeye hujidishi na amekuwa addicted, akiomba advice zenu vile anaweza kuacha hiyo tabia. Wengi walimwambia atafute boyfriend ama aingie kwenye marriage ndio apate solution. Na yeye akaamua kufuata hiyo advice… akaingia soko na bahati yake akapata boyfriend.

Sasa huyu boyfriend… ni mnoma sana upande wa mechi. Package pia amebarikiwa nayo, kila kitu iko sawa kwa karatasi. Lakini sasa twist ndio hii… no matter vile huyo jamaa anajituma na kumpa full attention, bado dem anaishia kujidishi. Anasema hiyo ndio humfanya ajisikie more satisfied kuliko real game yenyewe.

Sema Bulaanda… sasa drama imefika peak. Huyu jamaa alimcatch red-handed jana akijidishi baada ya wao kuwa pamoja. Jamaa alijaa hasira vibaya sana. Sai anasema hana haja ya kuendelea kujituma hivyo bure; anafeel k**a anapoteza time yake tu na anataka waachane.

Dem sasa panic imeingia… Anasema hata mwezi haijaisha tangu aingie relationship, ndo tu ametolewa soko. Hataki kurudi kuwa single tena, lakini pia anajua hii tabia inaweza kuharibu relationship yake.

Swali ni moja…
Apewe ushauri gani haraka haraka kabla hii relationship iende kabisa wadau? 🤔

Situationship Stories

Kwa akina ndoa tawe, nijikute wallahi. Nimepigwa simu na majirani wa rafiki yangu wakiniambia wamempata amepigwa na bwan...
26/06/2026

Kwa akina ndoa tawe, nijikute wallahi. Nimepigwa simu na majirani wa rafiki yangu wakiniambia wamempata amepigwa na bwanake vibaya sana na akatupwa nje ya gate. Contact yangu ndo walipata kwa urahisi. So Mimi nikakimbia na Uber nikamchukua na kumpeleka hospitali.

Sasa the worst part ni hii: nimemwambia aende areport huyo mwanaume ili achukuliwe hatua, lakini yeye anasema anajua bwanake anampenda na atabadilika. Pia anasema akimpeleka jela atateseka juu huyo mwanaume ndiye anamsupport financially.Lakini hii sio mara yake ya kwanza kupigwa hivi, na bado anaendelea kuvumilia. Huyo msee akiomba msamaha tu hivi, huwa anamrudia bila kufikiria.

Sasa nimebaki najiuliza, kwani huko kwa ndoa kuna kitu fulani kinafanya mtu avumilie mateso kiasi hiki au ni kamuti? Juu sielewi vile mtu anaweza kupigwa mara kwa mara lakini bado achague kubaki.Nielewesheni tafadhali nielewe. Na pia mnishauri, huyu rafiki yangu anaweza kusaidiwa aje kwa hali hii jameni🙆‍♂️?
Situationship Stories

Ewoooo... hii Storms ni Paradise Lakini naambiwa nazuia baraka za Mungu.So iko hivi, Majamaea. My wife kila wakati mchun...
26/06/2026

Ewoooo... hii Storms ni Paradise Lakini naambiwa nazuia baraka za Mungu.So iko hivi, Majamaea. My wife kila wakati mchungaji wa church yetu ametutembelea huwa anampikia chakula kitamu zaidi ya vile anavyonipikia mimi. Tena ile tunaita mapocho pocho, ile imeiva vizuri, imeiva na mapenzi yote.

Akianza kupakua pia anawekea Mtumishi chakula mingi sana, na zile sehemu nzuri nzuri za nyama zote. Ile ya juu juu, soft soft, juicy. Mimi naachiwa zile za kujaza tumbo tu.Jana alinihaibisha mbele ya Mtumishi nilipokuwa nanyoosha mkono nipakue vipande vya nyama. Ile embarrassment bana... nilibaki tu nacheka awkward.Baada ya pastor kuenda, nilijaribu kuongea naye, lakini akadai shida yangu ni ku-overreact na kwamba mimi ndio sababu baraka haziingii kwa hii nyumba. Ati nikifanya hivyo nazuia baraka za Mungu.

Sasa hapo ndio nilichanganyikiwa kabisa, juu mimi naongelea respect na fairness, yeye anaona ni spiritual issue.I feel like it's too much, juu saa zingine wanaenda kesha na seminars pamoja na huyu pastor, juu church ilimchagua yeye k**a chairlady wa church. Na mimi na-support kabisa, sina shida na yeye kupenda kanisa.Lakini at this point nimeanza kuwa na trust issues kidogo. Si ati nataka kufikiria vibaya, lakini akili haiwezi tu kukaa silent.Najiuliza, ama na-overreact? Ama instincts zangu zinaniambia ukweli?

Juu honestly, niko happy na grateful kwamba wife yangu anapenda kanisa, na mimi sipingi mambo ya Mungu kabisa. Lakini pia mimi ni mwanaume, na feelings zangu pia zinacount.Nisaidieni nijue la kufanya bila kupata laana kwa Mtumishi au kumkasirisha bibi yangu, juu nampenda sana na sitaki kuvunja ndoa yangu. Lakini pia sitaki kuendelea kuhisi k**a niko second place kwa nyumba yangu mwenyewe.
Situationship Stories

Yaani mtu anitoe kutoka Kathonzweni hadi Roysambu kuja kunifanyisha kazi bure, na vile nilikuwa na kutu ya miezi sita 😅💔...
25/06/2026

Yaani mtu anitoe kutoka Kathonzweni hadi Roysambu kuja kunifanyisha kazi bure, na vile nilikuwa na kutu ya miezi sita 😅💔. Jamaa alipromise vile atanivunja vunja, kumbe alikuwa ashindwe na performance in two seconds. Bro, unaita mtu sleepover, unapewa sablenya, huperform k**a Messi na CR7 combo, halafu unaweka ujeuri. Fubaff kabisa.

Mbona majamaa mnapenda kujipea hype bure? Sasa hii kutu yote nitaipeleka wapi, ama nichukue sheria mkononi kwanza?

Ushawahi kuahidiwa mechi ukaishia na total disappointment ama ni mimi tu? 😅
Situationship Stories

Address

Kilimani

Telephone

+254700041642

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Situationship Stories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share