Nandwa Isaac.

Nandwa Isaac. Official Facebook PAGE for Nandwa Isaac| Office profile is verified βœ…
(5)

My wife traveled yesterday today with Jayden and she told me "Make sure unapika kuna unga na omena hapo"Nikiimagine kuen...
20/09/2025

My wife traveled yesterday today with Jayden and she told me "Make sure unapika kuna unga na omena hapo"

Nikiimagine kuenda jikoni kupika, heri nikule mahindi na chai ya jana supper πŸ˜‚πŸ˜‚

Nipike alafu nani ataosha vyombo 😏I CAN'T...

Ndio nataka nimalizie mahindi na chai niende niwatch movies moja mbili ndio nilale alafu you people sometime nashangaa na nyinyi mnaishi kuuliza Nandwa anaka side gani, nakaa Kiserian hapo Tumaini apartment floor ya tatu house number 13B ukifika tu gate ambia soldier soldier unaenda kwa Baba Jayden mlango utakua open hadi saa sita, ingia tu usibishe I will be watching a movie na ujue hakuna stima kwangu, Xtine atarudi next week Thursday.

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸππƒπ“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒Hii ni ya mwisho wakuu...utapita bila kuweka LIKE?𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Eish ona sasa Babu Jay na Isab...
19/09/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸππƒπ“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Hii ni ya mwisho wakuu...utapita bila kuweka LIKE?
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Eish ona sasa Babu Jay na Isabel kwa bed! Walipigiwa simu wakaambiwa Eddy ako stable sasa,so he is out of danger. Alafu sasa imagine,venye tu walileta Rachael akakaa nao,tena Eddy akuje kukaa naoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚drama after drama.

All in all Isabel alitoa wazo,akaambia mumewe, kuna kitu nilitaka kukuambia na usichukulie vibaya. Isabel akamwambia ulikubali ndoa ya Amani na Jojo ikaendelea,sai venye Neema ako na mimba,kutaendaje sasa? Sai washarealize,hawangeallow ndoa ya Jojo na Amani.

Isabel aliambia Babu, we have to do the right thing, tusiposiba ufa tutafuata nyavu,so Amani na Jojo hawaezi kaa pamoja. Babu Jay na Isabel wameamua lazima wafanye kitu ndoa ya Amani na Jojo iishe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huku hosi,Neema alikazana akasema atabaki huku but Amani alikua amejioffer kukaa na yeye Neema aende ju ako ball but Neema akawaambia si mara ya kwanza kuwa mimba nakaa na baba mtoto wangu huku hadi morning πŸ˜‚πŸ˜‚Mark akisikia hivyo,anatamani kuchizi...

Punde si punde,following day sasa,hawa washaamka,walisikia kuna mtu anabisha. Ian akaamua kuenda kufungua,lakini kufungua,kumbe ni Jayden,amelewa,amechafuka,na vibaya sana. Jayden alijileta mwenyewe akiwa amelewa vibaya sana. Akaona Amani hapo,akataka kumsalimia lakini Amani akampush,akamwambia usijaribu kuniguza wewe...Mark akaambia Amani yoh,tulia! Jayden anawambia relax joh,nilikuachia bibi alah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Val ni mapenzi tu,anaamka morning kupigiwa simu na ile sauti ya Derrick unaeza dhani anatafuna chura. Val anabambika mbaya sana. Kumbe Sharon alimsikia,akakuja akamuuliza unaongea na nani wewe? Val akamwambia yoh,hutanipimia venye nitakua naongea na mabeshte zangu...Sharon akijua huyo ni Derrick!!!

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Eddy tangu afaint jana ndio anafenduka sai,anajipata ako hosi.

Jayden hakua na maneno alitaka tu kuwasalimia na aende but Mark akamwambia karibu breakfast. Jayden hakutaka chai ju niwaambie tu mapema mapema,hawa watu huvuta bangi hawa hawapendi chai kabisa,ulizeni Pauloh basi k**a mnadhani nadanganya πŸ˜‚πŸ˜‚

Mark aliInsist,akaambia Jayden noo,kaa chini ukunywe chai. Ian akaendea cup ingine. Ona venye Jayden anakaa,yani Isabel anamuangalia anakosa kuamini hadi akaanza kulia,hadi Jayden akamwambia yoh,shosh mbona unalia? Isabel akamwambia ni venye nalia tu ju nilikua nimekumiss sana but Isabel analia ju haamini huyu ndio the clever kid,mwenye alifika university na sai kazi ni pombe na bangi.

Nurse walikuja wakaangalia Eddy,akawauliza nyi ni nani? Daktari akamwambia mimi daktari na hapa ni hosi,ulidungwa kisu vizuri but sai uko sawa. Eddy akaulizia Karen ako wapi? Daktari akamwambia usiwe na wasiwasi ako sawa hata nje your daughter na mamake ndio wako around. Neema wakaenda kuitwa.

Eddy alifurahi sana kuona familia yake hapo.

Jayden aligonga chai na akaambia Mark,asante sana sai sasa naingia job,kuokota plastics siku iishe. Jayden huyoo akataka kuondoka lakini Ian akauliza Jayden,what happened,umechange sana shida ni nini? Jayden alihepa hilo swali,kisha huyoo akajitoa.

Isabel aliambia Mark please,Jayden anakuhitaji,msaidie.

Mark ilikua aende arudi hosi,akajitoa pia.

Ahaa! Kumbe Jayden hata alikuja na gari yake,alikua amepark huko nyuma. Mark akitoka akamuona akamuuliza wee,so hii ndiio kazi unafanya na hii gari? Jayden akamwambia yeah,nataka nifike mtaa nikifika niende mjengo. Jayden alitembea na mkokoten yake hapo.

Jayden aliambia Mark,manze life,inabidi nisonge nayo venye inafaa,ukiona nafanya mkokoteni usishangae na pia nakuanga dancer wazimu mbaya. Mark akaitisha number ya Jayden lakini Jayden akamwambia manze hata simu sina mimi ukinitaka,ni ile place tu!

Eddy alipata time ya kuomba msamaha kwa Neema but Neema akamwambia please for now, concentrate na recovery anything else baadaye. Eddy akamwambia life is short,na siezi taka kutoka hii dunia k**a hamjanisamehe. Jojo aliambia babake tushakusamehe and we love you. Eddy akakageukia Neema,akamwambia please nisamehe my love. Neema akamwambia I forgive you and yeah we love you.

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ—π“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒. Hii inaisha wakuu! Weka Like ya mwisho mwisho πŸ˜‚ππ€π‘π“ 𝟏 Amani ameokolewa sana na Karen ju...
18/09/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ—π“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒.
Hii inaisha wakuu! Weka Like ya mwisho mwisho πŸ˜‚
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Amani ameokolewa sana na Karen ju Naomi angempeleka ndani. Wakiwa hapo na Jojo,Jojo alimwambia by the way babe,kunakitu nataka kukuambia na usikasirike πŸ˜‚πŸ˜‚Amani akakasirika already,akamuuliza ni gani hiyo? Jojo akamwambia ile siku ulilewa nikakuleta nyumbani na beshte yangu? Huyo hakua rafiki tu,he was Derrick. Amani akamuuliza Derrick na yeye ni who? Jojo akamwambia ni Molly's son. Amani akamuuliza na mbona hukuniambia? Jojo akamwambia yoh,si nimnekuambia usikasirike πŸ˜‚πŸ˜‚

Sharon na yeye,alikuja akaambia Mark,venye unakuanfga mholy hata mtu haezi jua ulikua unacheza Neeema na Molly πŸ˜‚πŸ˜‚Isabel hakua anajua ndio anasikia sai.

Amani alitaka kukutana na huyu Derrick lakini Jojo akamwambia zii,chorea,nishampea warning akae akijua mimi nimeoleka kwako,alikua ananitaka ndio but nishampea warning.

Molly ameamua kuenda vacation kiasi na akaambia Derrick to take care of the house,until arudi. Derrick bado alikua anafikiria venye Sharon na Val walikuja wakampea warning.

Lakini mapenzi huwa kitu ya ajabu sana,hata after all the things akina Val na mamake walifanyia Derrick,Val akiwa nyumbani,akili yooote inamfikiria tu Derrick πŸ˜‚πŸ˜‚

Neema alimuita Jojo akamuuliza k**a itakua idea poa akichukua ile proposal ya Karen,ya kupewa farm yote. Jojo alimwambia mum sioni k**a ni idea poa,as long as amekupea kwa roho poa,just take it mum.

Neema akamuuliza tena,kuhusu Mark,do you thinik nimsamehe nimpe chance ingine? Jojo akamwambia hapo mum,ni tricky acha nifikirie nitakuambia.

Maskini wa Mungu Karen na yeye akienda nyumbani,kumbe kuna gaidi alikua anamfuata,anataka kumuibia na gaidi ako na kisu...Karen alipiga nduru,mbaya mbovu. Gaidi kuona hivyo,akaamua kumaliza Karen sasa,lakini punde si punde,wakati tu anataka kumdunga Karen kisu,nani alifika? Eddy! Eddy akamshika gaidi,kile kisu chenye kilikua kimuingie Karen,kikamuingia Eddy kwa matumbo,mbaya mbovu. Eddy Samuel,kwisha maneno!

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Ni usiku, huku kwa Mark,just from nowhere,Jojo akaanza kukosa hewa. Amani anamuuliza babe shida ni nini,lakini Jojo anajaribu kuongea,haongei. She is having a panic attack. Wanashindwa shida ni nini,but that's what we call a reflex deflection of parental mkuchu which happens under the sofiscated prenominal acid of structture developlent in the property of one tam!

Jojo alifika pahali akatulia lakini hata hakua amemeza mate,Karen akamcall Amani akamwambia Eddy amesukumiwa kisu ya tumbo. Jojo kusikia hivyo,walitoka mbio mbaya mbovu. Mark yeye ako sitting room anashidwa kuna nini kila mtu anatoka mbio. Akaona Neema akiteremka pia,anamwambia babe,you are pregnant hufai kuenda hivyo lakini Neema akamuuliza kichwa yako iko sawa,baba mtoto wangu amedungwa na unaniambia nini wewe? Neema akaenda.

Kila mtu amefika hosi,wanashindwa huyo mwenye alitaka kuwadunga alikua nani? Mark akawaambia lazima huyo ni Naomi.

Ona Val sasa,ameshika simu anataka kutext Derrick lakini anashindwa ataanzaje πŸ˜‚πŸ˜‚Dan pia alilishiwa block na Sharon but he keeps on calling kutumia number ingine hadi Val akamwambia mum,the reason dad anakufuata ni ju wewe ni cake πŸ˜‚πŸ˜‚

Val alijitia hamnaso akamcall Derrick. Derrick alienjoy sana he was really waiting for this. Hawa wawili wanapendana but Val anataka kujifanya hot cake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Val alimwambia by the way nilitaka tu kuomba msamaha venye madhe aliact usinijamie. Derrick akamwambia haina shida,iam ok. Kisha Derrick akamuuliza ile maua gift yangu uliipenda ama? Val akasmile na akamwambia of course, and Good Night πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Good News! Eddy is out of danger,but still ako under restriction hamna mtu anaeza muona.
Eddy is out of danger.

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ—π“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓Maskini wa Mungu Karen na yeye akienda nyumbani,kumbe kuna gaidi alikua anamfuata,anataka kumuibia na gai...
18/09/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ—π“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓
Maskini wa Mungu Karen na yeye akienda nyumbani,kumbe kuna gaidi alikua anamfuata,anataka kumuibia na gaidi ako na kisu...Karen alipiga nduru,mbaya mbovu. Gaidi kuona hivyo,akaamua kumaliza Karen sasa,lakini punde si punde,wakati tu anataka kumdunga Karen kisu,nani alifika? Eddy! Eddy akamshika gaidi,kile kisu chenye kilikua kimuingie Karen,kikamuingia Eddy kwa matumbo,mbaya mbovu. Eddy Samuel,hali mahututu

huku kwa Mark,just from nowhere,Jojo akaanza kukosa hewa. Amani anamuuliza babe shida ni nini,lakini Jojo anajaribu kuongea,haongei. She is having a panic attack. Wanashindwa shida ni nini,but that's what we call a reflex deflection of parental mkuchu which happens under the sofiscated prenominal acid of structture developlent in the property of one tam!

18/09/2025

Good thing about Uganda they have nice Bananas 😍😍😍

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ–π“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒. Hii inaisha! Weka Like ukiendelea kusoma.𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Mark alikua amemuuliza Amani alikua ana...
17/09/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ–π“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒.
Hii inaisha! Weka Like ukiendelea kusoma.
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Mark alikua amemuuliza Amani alikua anafanya nini kwa farm akisikia Naomi akisema venye ametuma message but punde si punde,mlango ukabishwa. Jojo kufungua,ni Karen,akamuuliza wee unafanya nini hapa? Karen akamwambia relax,iam here for your husband,not you πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jojo akamuuliza what,do you mean my...Karen akamwambia si Amani ni hubby wako,niko hapa juu yake.

Karen alieleza sababu ako hapa na venye alideal na Naomi kusaidia Amani asiwe conned na Naomi. Mark ashaona kumbe Amani alikutana na mamake,akamuuliza so ulijua mamako ako huku na ulinyamaza? Amani akamwambia alinipigia that day sikua najua.

Mark akamwambia but k**a Naomi bado ako na hii video meaning she will still hook you up? Karen akamwambia zii,for now Naomi nishamalizana na yeye. Kisha Karen akaambia Neema,set up a meeting na Naomi. Neema akamuuliza alafu? Karen akamwambia just trust me and do it..its for your own benefits. Kwani Karen anataka kufanya nini? Tutajua.

Naomi akiwa ametulia tu na Eddy,alipigiwa simu na Neema...Neema alikua analia. Naomi akamuuliza my dear shida ni nini? Neema akamwambia siezi sema kwa simu acha nikuje tu. Naomi alishangaa sana mbona Neema analia,.but hii yote ni deal tu ndio Naomi akubali meeting yake na Neema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

On other side, Sharon washacheka sana venye Mark alikua ati anacheat na Molly,hadi akaambia Val unaona,imagine sasa ungeoleka na Derrick? Lakini Val akamwambia mum,nilikudanganya,mimi na Derrick hatujai date,ilikua tu uongo πŸ˜‚πŸ˜‚

Val kuna rider alimletea gift ya maua hapo na kaletter kiasi. Val kusoma,akaona kumbe ni Derrick amemtumia maua akimwambia this is a gift for the little time tumejuana. I love you. Sasa Val akawa confused,13 times.

Punde si punde! Huku kwa farm,Neema akafika akiwa na hasira sana. Anataka kuonana na Naomi. Neema alifika akamhug Naomi akilia tu,akamwambia imagine Mark amekua akinicheat na Molly...Naomi akajifanya kuumia sana hadi Neema akamuonyesha ile message lakini already hao washajua mwenye alituma message ni Naomi,they are just playing her πŸ˜‚πŸ˜‚

Derrick wakiwa nyumbani na mamake walibishiwa na Sharon. Sharon kumbe,wamekuja na tule tumaua twenye Derrick alitumana,wakamrushia na Sharon akamwambia usiwai fanya huu ujinga tena,mtoto wangu si nyuki. Kumbuka jana Derrick alicheka mamake,leo sasa ni mamake alianza kucheka Derrick πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Wakati tu Neema amefika,kumbe Mark,Babu Jay na Karen walikua nyuma yake..Naomi akidhani kila kitu kiko sawa,punde si punde,alishtukia nini? Alishtukia umati wa watu wanaingia. Eddy alikua pahali,anashangaa kwani whats happening πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Naomi after kuambiwa ati Mark anacheat na Molly,na anajua Molly ni rafiki wa Neema,akamwambia "enyewe rafiki yako ndio adui yako"..Neema akamwambia exactly,and thats who you are Naomi. Naomi akamuuliza unamaanisha nini? Akina Mark wakaingia na Amani akamwambia alisikia kila kitu.

Kumbe tena, Karen alirecord huyo jamaa mwenye alitumwa na Vinny akisema venye Naomi alitumana Mark kuuliwa. Naomi,dunia ikamgeuka mara moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚akaona sasa hapa,ili kuepuka hii yote,acha ahepe lakini Naomi kuhepa,kumbe makarao washaitwa. Naomi,under arrest.

Naomi ashaekwa ndani and at least Karen ameokolea sana. Karen amefanya hivi ju anajua alikosea so she is just paying back. Kisha akachukua title deed ya hii farm,akaambia Neema,iam the owner of the farm na ju najua niliwakosea,from today,the farm belings to you and I have made all transfer to you. You are now the farm owner. Walishtuka sana but Neema akamwambia acha nifikirie kwanza.

Kisha kuna nyumba Naomi alikua amenunua ya Isabel,pia Karen akamwambia,I will make sure nyumba inawarudia. That was soo nice of her.

Eddy alikuja akauliza guys,kuna nini naona tu Naomi anabebwa bebwa lakini badala ya kujibiwa,kila mtu aliondokaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sharon ndio wanapata udaku ati Naomi ameekwa ndani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ahaa! Eddy pia hakuachwa nyuma,Karen alimpea 5million kuanzia maisha and Eddy was soo happy. Karen ameamua kulipa kwa yake mabaya yote alifanyia kila mtu.

Sharon amefika kwa Mark kupeana udaku,akidhani yeye ndio first info,hana bahati wenyr anakuja kuambiwa wanajua na walikua huko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sharon akauliza mbona ameshikwa? Badala ya kujibiwa kila mtu akaondoka shughuli zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚aaaaalah
17/09/2025

Alah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚aaaaalah

17/09/2025

I APOLOGIZE TO ANYONE WHO SCROLLS PAST THIS. BUT IF GOD HAS SAVED YOUR LIFE MORE THAN ONCE… TYPE AMEN.

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ•π“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒Nimechelewa but weka kaLike ukiendelea kusoma!𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Babu Jay aliuliza Neema,ulikua unaju...
16/09/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ•π“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Nimechelewa but weka kaLike ukiendelea kusoma!
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Babu Jay aliuliza Neema,ulikua unajua kuhusu Mark? Neema akamwambia ni juzi tu nimejua daddy,wakati Ian alienda missing nikimtafuta imagine nikapata Mark na Molly wakihugiana na venye walikua wanaongea,nikajua ni watu walikua na history pamoja.

Amani na yeye,badala ya 15million ameletea Naomi maharagwe. Naomi anamuuliza where is my money? Amani akamwmabia ndio hii hapa,ama huoni πŸ˜‚πŸ˜‚Punde si punde,Karen akafika akiwa na bag,na hii yake iko na mahindi. Bag ya Amani ilikua na maharagwe,na ya Karen iko na mahindi,kisha Karen akaambia Naomi sikiza,maharagwe ukiongeza mahindi ni githeri,hii ndio utakua unakula ukiwa jela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Naomi akajua mara moja,kimemramba.

Molly na yeye maskini wa Mungu akitoka,kumbe ndio Mark anafika,akiwa amewaka sana,akauliza Molly,si nilikuambia what we had iliisha,shida yako ni nini unaanza kutumia Neema na Jojo tumessages twa ujinga? Molly akamuuliza text gani unaongelea Mark..Mark akamwmabia nyamaza ng'ombe, hii text si ni wewe umetumia Neema? Molly kusoma ile text,akashtuka pia,akaambia Mark mimi sijatuma kitu k**a hii na hata hii si number yangu.

Mark amewaka sana. Derrick pia alisikia na akajua kumbe mamake na Mark walishawai kuwa pamoja. Mark aliambia Molly sikiza wewe mwanamke,pray that nothing happens to Neema,or else,utajua hujui.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukweli wa mambo watu wangu ni, Molly hajui anything,ni Naomi alituma zile messages.

On other side,Karen ashamshurutisha Naomi ikabidi Naomi ametransfer kila kitu chake kwa Karen,including hii shamba yenye alinunua ikiwa na hotel. Karen 10-0 Naomi. Kisha Karen akaambia Neema,another thing,nisiwai ona Eddy ananitafuta.

Baada ya Mark kuondoka,Derrick ndio haamini hadi anauliza mamake,yani wewe a whole therapist,hadi unakunywa pombe ju ya Mark πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Molly ameshindwa sana kujitetea ju si yeye alituma message,pia ameshtuka tu venye akina Mark wameshtukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Derrick akaambia mamake sasa sikiza,from now sitakua nachukua advice kutoka kwako,ju you seem more worse πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Amani amerudi,akapata Jojo akiwa na stress sana,hadi anakunywa wine. Amani akamuuliza shida ni nini love unakunywa at this time? Jojo haongei,stress tu! Mark pia ndio anafika,haongei na mtu,hadi Amani akauliza Jojo,kuna shida gani tena huku ni moods tu? Jojo akamwambia your dad has been cheating on my mumπŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²

Mark alikuja kwa room akapata Babu Jay amekaa na Neema hapo. Babu Jay akauliza Mark,how could you? Mark anamwambia I swear I have nothing to do with Molly. Babu Jay akamuuliza eeh,na ile siku Neema akikuona ukihugiana na Molly? Mark akanyamaza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Amani alijaribu kutetea babake but zii,Jojo akamwambia usitetee babako. Val ndio anakuja,akawaambia guys,sijui k**a Mark amempata Jayden after ile clip? Amani akauliza clip gani,Jojo akamwambia kuna yenye ilitumwa akiwa amelewa. Amani akasema ooh hiyo is non of my business πŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbe Molly alijileta kwa Mark,anataka kuonana na Neema. Jojo kumuona alijam sana akaambia Molly toka nje,lakini Molly alikataa, akasema anataka kuonana na Neema.

Mark walisikia kelele wakakuja wote. Molly anawaambia please someone is trying to fix me,I swear si mimi nilituma ile message. Molly na Neema wamekua mabeshte sana,so Neema should know her better. Swali ni,watajuaje si Molly?

Eddy alikuja kuongea na Naomi anataka asafishiwe rada ju ashachoma sana but Naomi alimwambia wueh,hii yako ni noma kwanza ya Karen ilichoma sana,unless we teach her lesson. Eddy akamwambia basi,iam ready for anything. Anything to hurt Karen iam in for it but Naomi alimwambia unfortunately sitahuzika,maneno ya revenge nishafika mwisho,unless you do it or let it go. Eddy alimwambia never,I cant let it go,lazima alipie.

Val amerudi nyumbani,mshene si mshene,ashaambia mamake venye Mark na Molly wamekua wakidate secretly.

Turudi kwa Mark nyumbani. Molly alikalishwa kila mtu na wakaongea,na Molly akasema kila kitu,walikua wanadate kitambo. Mark pia alijitetea akaambia Naomi after nimeachana na Rachael si ati nilienda kujifunza forex,nilidate Molly but iliisha. Neema anamwambia shida yangu ni, mbona hukuwai niambia? Mark akamwambia sikutaka ikuhurt,na sai sina feelings na yeye hata kidogo.

Jojo pia kanakuja juu,kanaambia Mark nyamaza tu,what of the text yenye Molly alituma? Molly akasema walai si mimi nilituma text..

Surprisingly, Amani aliamini Molly,akauliza Molly apart from sisi,kuna mtu ako na number yetu? Molly akasema maybe Eddy na Naomi. Hapo ndio Amani akakumbuka,wakati analetea Naomi "maharagwe" akasikia venye Naomi anacheka akisema just a text imetosha na Amani akawaambia. Kila mtu akajua sasa mwenye alituma text,ni Naomi..mako! Makosa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

SHA premium reduction,available...whatsapp 0759325270 (From any figure upto 500 monthly or 6000 annual)

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ”π“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒. Its another week! Show some love guys! Usipite hii𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Yani Jojo anawatch ile intervi...
15/09/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ”π“π‡ 𝐒𝐄𝐏𝐓 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒.
Its another week! Show some love guys! Usipite hii
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Yani Jojo anawatch ile interview ya Jayden anakosa kuamini,kwanza pale pa wazazi walikufa,na hata dem yake akamtoka. Ilimguza kiasi Jojo πŸ˜‚πŸ˜‚Punde si punde, Amani akapigiwa simu na Naomi,ikabidi ametoka nje kiasi kushika simu.

Hata hakutoka nje alikuja akajifungia kwa room. Naomi akamwambia wee kijana hunijui wewe,iam getting tired na sasa nitafanya kitu. Amani akamwambia relax,si hivyo,nipe time. Kumbuka, Amani ashaongea na Karen so Karen yafaa acheze kiyeye. Naomi alimthreaten Amani,akamwambia nik**a hunijui wewe,kesho by 1pm k**a hujanitumia,utajua mimi ni kusema nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mark pia amewatch ile video anasema apana,this cant be Jayden,something lazima ni wrong about him/. Mark alijaribu kucall Jayden,ako mteja,ikawa sasa akesho arauke kumtafuta.

Jojo alikuja kulala but deep down anafikiria tu Jayden venye aliongea kwa ile video.

Val alikuja akatafuta mamake,akamwambia unajua nini,dad ameenda,amesema anataka kukupa nafasi ju amekua akikusumbua sana,so tunaeza rudi home. Sharon akamuuliza ameenda wapi? Val akamwambia ameenda ushago,anataka tu kukupa nafasi. Sharon anashindwa mbona aende k**a hatujaachanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huh! Mambo yanazidi kuharibika kiasi upande wa Mark. Kuna venye wakikunywa chai,Neema hana appetite,hadi Babu Jay akamwambia Neema tulia,yenye imetokea ishatokea na ni mipango ya Mungu. Neema hana happiness kwa uso wake,in as much Mark amefurahia,Neema ako stressed sana. Babu aliwaambia sijui k**a mtawed sasa ndio at least mambo iende sawa before tumbo hakajatokelezea. Mark aliambia Babu yeye hana shida hapo but angalia,Neema not at peace.

Babu alimuuliza Neema k**a kuna kitu kinaeza zuhia but Neema akamwambia hii watafikiria baadaye. Kuna kitu Neema anajua but Mark hajui ati Neema anajua.

Val na Sharon washafika home. Sharon alitaka tu Dancan amtoke kwa mind. Punde si punde, Val akapigiwa simu,akaambia unajua aje,Jayden ako Kenya na sikuhizi yeye ni tiktok dancer. Val akaitisha ile video ajionee. Sasa sikiza,video akina Mark waliwatch ni ya Jayden akifanya interview,lakini Val yenye ametumiwa,ni Jayden akiwa mlevi, Amelewa,mbaya mbovu,hadi anaanguka kwa mtaro. Val walibaki wakiwa wanashangaa tu,iweje Jayden ameanza kulewa? Tutakuja kujua!

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Ile video ya Jayden akiwa amelewa,ikatumiwa Mark pia na Val. Mark hakuamini. Jojo alikua hapo akaona Mark akiwa ameshtuka,pia akapewa ile video akawatch. Wanashindwa sana kuna nini. Val alimcall Mark akamuuliza kwani Jayden hakuenda majuu? Mark akamwambia pia wanashtuka tu na anataka kuenda kumtafuta.

Sharon alisema lazima huyu amerogwa πŸ˜‚πŸ˜‚

Mnakumbuka kuna jamaa alitaka kulipwa na Naomi after Vinny kufanya kazi chafu ya kujaribu kuua Mark but alikua akampata Karen. Sasa huyo jamaa huwa anadhani Karen ni Naomi but Karen anataka tu kupata info zote.

Mark na Babu Jay walitoka kutafuta Jayden at least wajue kuna nini and yeah,walitrail wakapata penye Jayden ako.Alipata wanadance huku mbaya,wako zoezi.

Karen aliingiza huyu jamaa box hadi akaambiwa umesahau kuhire Vinny amuue Mark. Hapo ndio Karen akajua ooh,so kumbe ni hivi.

Jayden kumaliza kudance, huwa anakunywa pombe hapo kando. Punde si punde,akasikia anaitwa na Mark. Anawajua vizuri sana hadi anauliza akina Ian na mpoa wake wako aje...wakamwambia wako sawa.

Babu Jay akamwambia Jayden,tuko hapa ju tuko worried,mbona sikuhizi unakunywa? Jayden akawaambia relax,wazae,mimi niko sawa,na niko chonjo kabisa. Jayden akawaambia sikiza, unajua nina mauradi zangu,na nyinyi ni wazee,mimi ni Gen Z,so acha niende nipige wera zangu. Mark akamuuliza unakaa wapi? Jayden akamwambia si umenitrace ukanipata,ukitaka kujua penye nakaa,nitafute tu tena utajua. Kisha huyoo,Jayden akaenda.

Weuh! Kumeharibika mara moja,kuna new number ilitumia Jojo na Neema message,na akamwambia sikizeni,mimi ni Molly and Mark and I tuko in love,na hajai penda mtu mwingine venye alinipenda. Kisha kwa text Molly akaambia Neema sikiza,just because uko ball haimaanishi now you have Mark,Mark ni wangu and nothing will separate us.

Jojo alikuja mbio kuuliza mamake,lakini kabla Neema hajajibu,Mark na Babu wakafika. Mark kufika,akaona mood ya watu hapa,si poa. Jojo akamuuliza,are you cheating on my mum with Molly? Mark akashtuka! Babu Jay pia alisoma ile text akashtuka sana.

Lakini mmeshindwa,mbona Molly atumie Jojo na Neema such text? Of course she cant text such,kwa nini? Kwa sababu,mwenye ametuma hii text si Molly,ni Naomi,aah! Makosa. Naomi anataka tu kusambarika huu uhusiano.

Mark kuona hivyo,alitoka mbio kutafuta Molly,utaniambia.

On other side,Amani alifika na bag full of money,15million in cash. Naomi alienjoy sana,akafungua bag kuona million kumi na tano,lakini kufungua bag,badala ya million akapata ni maharagwe ya wairimu iko hapo ndani. Akauliza Amani huu ni upuzi gani,pesa ziko wapi,naona tu maharagwe hapa? Amani akamwambia yeah,thats what you deserve πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Naomi pia akachezwa na Amani.

Hadi kesho wakuu,tutaonana.

Please guys let's just forgive her! It's been 22 years now. She did bad but it's high time we forgive her. It was acting...
15/09/2025

Please guys let's just forgive her! It's been 22 years now. She did bad but it's high time we forgive her. It was acting 😒😒

"Kwani Wewe ni Mungu"Celebrated celebrity Fardosa exchange words with Shangazi after Fardosa took the clothes and food s...
15/09/2025

"Kwani Wewe ni Mungu"
Celebrated celebrity Fardosa exchange words with Shangazi after Fardosa took the clothes and food stuff donated to them, sold them for 7 glasses of Chang'aa.

Shangazi was unhappy to a point she had to remove Fardosa from her group of people with needy cases.

In respond while LIVE on TikTok, Fardosa told off shangazi that's she ain't the God

"kwani wewe ni bwangu, k**a wewe hata ni bwananguuuuu nitoe tu" Fardosa added while tipsy and drunk like a "crocodile in the wora"

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nandwa Isaac. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Featured

Share