ECN RADIO 99.9 FM

ECN RADIO 99.9 FM A Community Radio Station that produces top media personnel in Kenya,Africa & Abroad.

President Ruto commissions the newly constructed Lanet Regional Hospital at the Kenya Military Academy in Nakuru CountyE...
16/04/2025

President Ruto commissions the newly constructed Lanet Regional Hospital at the Kenya Military Academy in Nakuru County
ECN RADIO 99.9 FM

Je k**a mkristu wa katoliki umejitayarisha vipi kuhusiana na kwaresma?
23/02/2025

Je k**a mkristu wa katoliki umejitayarisha vipi kuhusiana na kwaresma?

22/02/2025

KARIBU NDANI YA JAMVI LA WAZEE, NDANI YA ECN RADIO,,,BEING A SATURDAY TUNAPIGA FREE STYLE,,,SWALI KUU NI MBONA BAADHI YA WAZAZI AMA WANAWAKE HUKATAA WATOTO WAO PALE HOSPITALINI WANAPOJIFUNGUA WATOTO WENYE ULEMAVU

22/02/2025

UKUMBI WA VIJANA NA PETER LUGANJE

Do most men open up to other people while undergoing MENTAL HEALTH ISSUES?

0784022443- ECN RADIO 99.9 FM

22/02/2025

KARIBU NDANI YA SABATO TAKATIFU JE, UNAFAHAMU VIPI ,MAISHA YA SAMSONI MWENYE NGUVU KWENYE BIBILIA TAKATIFU????

21/02/2025

GOOOD EVENING NAIROBI....NI THE EVENING DRIVE NDANI YA ECN RADIO WITH YOUR GILRS MWENDE AND CONSOLATA. TUNASEMAJEE, UNAEZACHORWA TATTOO YA MPOA WAKO??

0784 922443 BONGA NA SISI...

20/02/2025

Zaburi 39:12-13
12 Ee Bwana, usikie maombi yangu, Utege sikio lako niliapo, Usiyanyamalie machozi yangu. Kwa maana mimi ni mgeni wako, Msafiri k**a baba zangu wote.
13 Uniachilie nikunjuke uso, Kabla sijaondoka nisiwepo tena.

Karibu kwenye ibada ya leo ndani ya kipindi cha nyota ya baraka naye Emmanuel Katasi pamoja naye Jemimah Njenga

19/02/2025

Amosi 5;14-15
14 Tafuteni mema, wala si mabaya, mpate kuishi; hivyo Bwana, Mungu wa majeshi, atakuwa pamoja nanyi, k**a msemavyo.
15 Yachukieni mabaya; yapendeni mema; mkaithibitishe haki langoni; yamkini kwamba Bwana, Mungu wa majeshi, atawafanyia fadhili mabaki ya Yusufu.

Karibu kwenye ibada ya leo ndani ya Nyota ya Baraka naye Emmanuel Katasi pamoja naye Jemimah Njenga

18/02/2025

ZABURI 95;1
Njoni, tumwimbie Bwana, Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
2 Tuje mbele zake kwa shukrani, Tumfanyie shangwe kwa zaburi.

Karibu kwenye kipindi cha Nyota ya Baraka na Emmanuel Katasi

Unabarikiwa ukiwa wapi?

  Unaskiza ukiwa wapi?
17/02/2025



Unaskiza ukiwa wapi?

Leicester City Vs Arsenal 1500 Hrs Live At Ecn Radio Live Commentary Exclusive. Je Arsenal Atapata Alama Zote Tatu?
15/02/2025

Leicester City Vs Arsenal
1500 Hrs Live At Ecn Radio
Live Commentary Exclusive.
Je Arsenal Atapata Alama Zote Tatu?

From Us To You. Thank You So Much For Choosing Us To Be Your Community Radio Station. We Value You Always.
13/02/2025

From Us To You. Thank You So Much For Choosing Us To Be Your Community Radio Station. We Value You Always.

Address

Nairobi
00

Opening Hours

Monday 05:00 - 00:00
Tuesday 05:00 - 00:00
Wednesday 05:00 - 00:00
Thursday 05:00 - 00:00
Friday 05:00 - 00:00
Saturday 05:00 - 00:00
Sunday 05:00 - 00:00

Telephone

+254784922443

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ECN RADIO 99.9 FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ECN RADIO 99.9 FM:

Share