01/05/2025
Wah! Karibu RawPlug!
Hapa hatuchezi. Tunakam na zile mad podcast clips – zile za mdomo chafu, banter za head-turning, na takes za “did they just say that?!”
Ikiwa ni funny, mbaya, ama tu nonsense ya ukweli – tunai chop na kuiweka kwa sura yako. Raw kabisa.
Follow us, tag mabeshte zako, alafu kaa ready kucheka, kushangaa, na kubonga nonsense kwa comments.
Raw hits are better. Si ati nini ,tunasema ukweli.