25/11/2025
BREAKING: Dada yake Raila Odinga, Beryl Achieng, ameaga dunia katika Hospitali ya Nairobi.
Beryl alikuwa anaumwa wakati Raila aliaga, na hakuhudhuria mazishi kutokana na hali yake ya afya.
ZPM Digital. Zpmedia.