AYANA

AYANA AYANA is a new telenovela on Citizen TV, airing Mon-Fri at 7:35 p.m. For Business, call/WhatsApp 0701566971

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐’๐“ ๐’๐„๐๐“  ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’ ๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐ŸHali ndio hiyo we thank God Tyrone ako sawa. Tinah alikuja akauliza Asha,kwani ...
31/08/2026

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐’๐“ ๐’๐„๐๐“ ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Hali ndio hiyo we thank God Tyrone ako sawa. Tinah alikuja akauliza Asha,kwani huyu Nura anarudi lini ju imagine k**a hatungefika home in time. Asha akamwambia maybe dad hahitaji maid....Tinah akamuuliza mbona? Asha akamwambia maybe he needs more than just a maid. Maybe tumtafutie mpenzi,hata akiwa mpenzi Choku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚The girls are worried ju hawajui what might happen incase kitu k**a hiyo ifanyike wakiwa away. Kumbe Tyrone akiwa kwa room anasikiza kila kitu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kwanza hapo kwa mpenzi Choku alisikia vizuri sana.

Siku iliisha,watu wakalala,na wakaamka na k**a kawaida Tinah akaamkia job but kuna venye mood yake haiko sawa hadi Lucky akanotice, akauliza Tinah,nani huyo anafanya hauna moods? Tinah akamwambia usijali niko poa. Lucky alimuongelesha ongelesha na jokes zake hadi Tinah akajipata anacheka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Punde si punde,Lucky akiendelea kuongea hapo,nani alifika? Trevor. Makosa! Lucky alikuja akamuuliza Trevor,rada ni gani,si tulimalizana jana unafanya nini hapa? Trevor akamuuliza yoh,kwani ubeshte umeisha? Lucky akamwambia zii mimi sitaki riba zako na hapa niko kazini,tafadhali Trevor, monjoka, tafadhali step nje ama kanuke! Trevor anamjua Lucky sana,na anajua huyu akijam mambo yataharibika so ilibidi amestep nje. Na enyewe hii ni tabia mbaya sana,heshimu kazi ama pahali pa kazi pa mtu. All this time, Tinah anasikia na ananote.

Robert walikuja wakamuona Tyrone nyumbani na wakienda,Robert ashanotice kuna venye Annaliza anabehave weird hadi akamuuliza babe kwani shida ni nini? Annaliza akamwambia nafeel tu mbaya ju ni mimi nilifanya ukalose job yako. Robert alimwambia come on,Tyrone tushaongea na tuko sawa,lakini Annaliza akamwambia apana,you are fully dependant to Tyrone sana,naona maybe utafute job pahali pengine. Kumbuka sisi tunajua mbona Annaliza anasema hivi,but Robert yeye hana idea. Annaliza anaogopa maybe Robert akikaa kwa Tyrone kazini watakua na ukaribu aambiwe siri.

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Tyrone nafuu hapa na pale wako mezani wanakunywa breakfast. Tyrone alitoa compliment kwa Asha na Asha akacheka lakini babake akamwambia mtu akikupea compliment unasema thank you. Asha akamwambia unajua mtu alinifunza haya yote yuko gerezani. Tyrone akamwambia what your mum did isiwai kukupea stress ju it has nothing to do with you,she is just reaping what she sore. Asha alichange story akasema story za Nura,akasema aliongea na yeye but akasema itatake long yeye kurudi. Tyrone akamuuliza sasa tufanyaje any suggestions? Asha akasema naona tutafute another maid ju sometimes niko shule yeye kazini,lakini kumbuka Tyrone alisikia jana wakiongea ati baba yao atafute kadem so Tyrone alimwambia wee sikia, wewe na Tinah need to relax,nitakua sawa.

Annaliza has insisted akaambia Robert si kwa ubaya but si lazima ufanyie Tyrone kazi,tafuta kazi kwingine hata k**a utakua Dj wa Sifuna. Robert akamwambia unajua hujui umbali nimetoka na Tyrone and in as much nakuelewa,mimi kutokana na Tyrone itakua challenging sana ju that hospital has become a home to me,tulianza hii hosi pamoja na hapa ndio najua but maybe when right time comes I will make moves but for now, Tyrone is home. Alafu cheki,Robert akiingia kwa gari before aingie aliclick๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Moh hajawai heal since ajue Larry amemtoka akaenda kwa Asha na ameapa,k**a si yeye then hakuna mtu atampata Larry. Punde si punde, kuna jamaa alikuja hapo akamuuliza wewe ndio Moh? Moh akamwambia sindio,unatakaje? Akapewa letter akaambiwa this is restraining order uachane na Kyla na Asha alone,or else,unataka kujieka kwa shida kubwa sana. Moh kusoma akaona enyewe its an official letter kutoka kwa lawyer. Hapo ndio Moh akajua Tyrone ni muoto๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Larry akienda shuleni alikutana na Moh,Moh akamwambia imagine Tyrone ananitumia letter hapa ati niachane na story za Kyla na Asha. Larry akamwambia yeah,hii shida wewe ndio ulijiletea,so tafadhali incase anything happens jua ni wewe umejiletea shida.

Tinah na yeye akiwa kazini,alimuita Lucky akamwambia kuna mzigo nimelipia hapo Kamkunji utaenda uniletee ni bales mbili za viatu. Lucky akacheka,akauliza Tinah,so umeamini mtu Kamkunji ukalipia bale hujaona? Tinah akamwambia wee relax siexi coniwa mimi,najuana na watu alah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mako! Makosa...

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ‘๐Ÿ๐’๐“ ๐€๐”๐†  ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’ ๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐ŸAsha akifika fika shuleni,Larry alimuita lakini kuna venye Asha hataki story za...
29/08/2026

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ‘๐Ÿ๐’๐“ ๐€๐”๐† ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’
๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Asha akifika fika shuleni,Larry alimuita lakini kuna venye Asha hataki story za Larry,alimwambia bossy mimi naenda class,busy kiasi,hadi Larry akamuuliza kwani umenijamia venye niliconfess ama? Kumbuka kwa confession Larry aliambia Tyrone there is nothing kati yake na Asha.

Robert na yeye akitoka kwa parking,mbele yake,alisimamishwa na Annaliza. Alafu Annaliza ako na maua kwa mkono. Robert alikuja akamuuliza shida yako ni nini wewe mwanamke? Annaliza akamwambia najua umenijamia but nakupenda and this is rose flower ya kuomba msamaha ju nakupenda sana. Ebu nikuulize,k**a wewe ni Robert,dem akuletee maua akiomba msamaha utakataa? Huwezi kataa.

Maskini wa Mungu Tyrone na yeye kufika nyumbani,ndio ametoka tu kazini sai,kufika tu kwa nyumba hivi,akashikwa na stomach attack. Venye kuna heart attack,kuna criminal attack,na kuna kumbao attack,sasa Tyrone alishikwa na stomach attack hadi akashindwa whats happening na yeye,akaona aende jikoni kukunywa maji. Akachukua glass ya maji,huku anahisi maumivu sana lakini kujaribu kuchota maji kwa dispender,alishindwa kabisa,glass ikaanguka ikapasuka kisha boss Tyrone,nguvu zikamuisha akaenda hadi chini,haelewi ni nini inafanyika na mwili wake lakini maskini wa Mungu aliishiwa. Mako! Makosa. Asha yuko shuleni,na Tinah ndio anatokea kazini,sasa ni Tyrone peke yake.

Kumbe bahati ya Mungu,ndio Tinah pia anafika kuona babake yuko hapo chini ilibidi aitane usaidiz mbio mbio,akamcall Asha mbio mbio akamuuliza uko wapi Asha? Asha kumbe ndio ako kwa gate ametokea shuleni anasumbuana na Larry kwa gate,Tinah akamwambia please,kimbia dad amecollapse.

Kumbuka Asha alikua ashaambia Larry hataki story zake but akaona he is the only man withini anaeza saidia. Asha akamcall Larry akamwambia please,njoo utusaide tupeleke dad hosi,amecollapse. Larry akakuja mbio mbio Tyrone afikishwe hosi ju stomach attack si kitu poa sana.

Robert akiwa kwake,alitumiwa message na Tinah,akamwambia my dad amecollapse. Sasa Robert amepanic anajaribu kusoma text,Annaliza na yeye kufika akadhani maybe Robert anachat na dem,lakini zii Robert anajaribu kucall Tinah but simu yake haiendi through.

By the time Robert anafika hosi,already Tyrone amefikishwa kwa ward anaangaliwa shida inaeza kuwa nini but si mimi nishawaambia ni stomach attack? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Baada ya dakika k**a 20 hivi, Tyrone alikua stablised na kuamka akajipata hosi na hapo Robert amesimama hapo,akauliza Robert kwani what happened mbona niko hapa? Robert akamwambia ulicollapse na inasemekana uko na stress mingi sana.

Annaliza alimcall Robert akamuuliza Tyrone ako aje? Robert akamwambia ako better kiasi atakua sawa. Annaliza akamwambia its ok,lakini punde si punde, Annaliza na yeye kumbe labour pain ilimuanza ni venye hakuambia Robert but before Robert akate simu akasikia venye Annaliza anabehave akajua mara moja huyu pia hayuko sawa,so ikabidi pia ametoka hosi teke hadi nyumbani but good thing Tyrone ako sawa.

Asha na Tinah walikuja kumuona baba yao na akawaambia ako sawa,kumbe Larry alikua anachungulia na Tyrone akamuona. Asha akakuja akamuita Larry akuje aone babake,Larry hakutaka kuingia but Asha akamshika mkono akamuingiza cha nguvu. Asha aliambia babake k**a si Larry kukua around atusaidie kutuendeshea gari sijui kungekuaje. Tyrone alishukuru Larry na Larry na yeye akasema anaishia.Tyrone ameanza kubambika sana na Larry

Lakini Tyrone akauliza Asha na Tinah, Larry na yeye mlimtoa wapi hizo masaa? Asha akasema alikua tu around,Tyrone akauliza,around aje ju so Larry side ya kwangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Asha akadanganya akasema ni venye alikua amekuja kunidrop home akifanya kazi zake za boda. Tyrone akasmika akajua haka kamtoto haka kanamdanganya,kalikua na Larry๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Same same trick Asha alitumia ati anaumwa na kichwa,aliitumia akasema anumwa na kichwa ameenda kukunywa maji. Hakua ameenda kunywa maji,kalimfuata Larry kamuone ya mwisho.

Kumbe Annaliza na yeye,ile kumcall Robert akimwambia anaumwa,hakua anaumwa,she just wanted kumtoa Robert penye Tyrone ako ndio asiambiwe kitu na Tyrone ju hii ngamia ishagundua Tyrone hajaambia Robert kitu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Annaliza akauliza Robert babe, hukuniambia kitu mliongea na Tyrone,Robert alimwambia ilikua tu issue ya job na akaniambia nirudi kazini. Annaliza hii ndio alitaka kusikia ju alidhani Tyrone ashamwambia kila kitu.

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐Ÿ–๐“๐‡ ๐€๐”๐†  ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’ ๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐ŸLucky ashaambiwa kila kitu venye Kyla alifanya but akaambia Tinah,what if she d...
28/08/2026

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐Ÿ–๐“๐‡ ๐€๐”๐† ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’
๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Lucky ashaambiwa kila kitu venye Kyla alifanya but akaambia Tinah,what if she did it by mistake bila kujua,maybe mngempa nafasi second chance? Tinah akamwambia sikiza, huku kwetu we dont give chances kwa masnakes so please najua maybe unamtaka but usijaribu kutetea nyoka. Lucky akamwambia ni sawa bossy,I will stick to my lane.

Huku kwa ofisi ya Tyrone,kumewaka,kumbe aliamua akaambia Annaliza ukweli,na akamwambia anajua she had an affair na Kefa hadi Tyrone akamuuliza Annaliza,ulifanya nikakosana na Robert ju nilidhani anakuekelea,kumbe that boy was damn right. Annaliza akamwambia its ok nilifanya makosa but sasa ningedu? K**a ni wewe ungeambia bwanako you had an affair na mtu aliua mtoto wako? Tyrone akamwambia acha ujinga, you knew what you were doing,ulijua Kefa vizuri sana and you went ahead kulala na yeye,enyewe tabia zako na zake ni same. Annaliza akajam,akaamka akaambia Tyrone tumia! Nyamaza!,wee mzee wewe ni nini unaniambia,yes I cheated once but what of Robert mwenye unajaribu kutetea,he cheated for years na bibi yako hadi wakazaa mtoto lakini unaona hapa mimi ndio wamakosa sindio. Tyrone kuambiwa hivyo alijam akakunja ngumi, Annaliza akamwambia nipige,si unataka kunipiga nipige ju ukweli unauma sio,I cheated once,Robert cheated 374 times na bibi yako hadi wakapata mtoto alah.

Tyrone aliambia Annaliza toka kwa ofisi yangu. Annaliza akamwambia its ok,acha niende but usisahau nani alikutafutia lawyer wakati ulikua unaekwa ndani after kujaribu kuua Robert. Tyrone akamuuliza so unaniblackmail ama, ama unasema ndio nisiambie Robert ukweli? Annaliza akamwambia noo go on enda umwambie,k**a unaona kutomuambia ni kunifanyia favour,go ahead and tell him.old man. Annaliza alitoka akaenda lakini venye amejijaza ati Tyrone akitaka aambie Robert,deep down Annaliza anaomba tu Tyrone asimwambie Robert๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tuliona Asha akiwa amemsindi Larry lakini wakati kalirudi, kakadanganya ati kanaumwa na kichwa,hakutaka Tinah amuulize k**a alienda kumfuata Larry,hadi Tinah akamuuliza kweli kweli ni kichwa inakuuma ama kuna venye ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sisi already tunajua kalienda kufuata Larry ju ukweli wa mambo ni Asha anamtaka sana Nandwa, aah sorry I mean Larry๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Lucky walienda kubuy some goods for another shop na Tinah hadi Lucky akauliza Tinah,bossy juzi tu tukalaunch duka na sai ushaamsha ingine? Tinah akamwambia aah,husikii ile duka Mathew aliishi kusema alinisaidia so nimeamua kuiacha nikuje kubuy hii ingine๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Tinah ni wale watu you dare them they do what you think they cant do ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tyrone ameanza kujuta,anajiuliza ama Annaliza was right? Punde si punde, Robert akakuja na sasa Tyrone akadhani maybe ni Annaliza amemtuma hadi akamwambia Robert I am sorry, najua you didnt deserve her but I am sorry. Robert akashindwa Tyrone anaongelea nini,akamuuliza Tyrone unaongelea nini? Tyrone akajua mara moja Robert hajui anything na tena punde si punde Kyla akaingia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sasa focus ikatoka kwa Robert ikaenda kwa Kyla. Tyrone akaambia Kyla unafanya nini hapa,si I told you usiwai kuja kwangu tena? Kyla akamwambia please Uncle Tyrone,nisaidie Nimoh want to finish me nisaidie tu. Robert pia ako tu hapo confused hajui whats going on. Kyla akamwambia please Moh want to kill me nisaidie tu. Tyrone akaitisha number ya Moh akamwambia nitakusaidia tu kwa Moh but after that,nisiwai kuona kwa life yangu.

Lucky na yeye akiwa kazini,punde si punde,kuna jamaa alikuja hapo,akauliza Lucky,so huku ndio ulikuja kujificha? Lucky akakuja akaita morio wake akamwambia ebu kam tuongee,bwana hapa niko job lakini Trevor akamwambia Lucky sikiza, sitoki hapa bila pesa so either unipe pesa ama unipe mali. Kumbe Lucky ako na deni ya Trevor na ameishi bila kulipa na Trevor amewaka kuwaka lakini kwa bahati ya Mungu kuna pesa Tyrone alipea Lucky so ikabidi Lucky amemtumia Trevor Ksh 13000. Trevor yeye alitaka tu pesa na after amepewa akajitoa roho safi sana.

Robert after kila kitu kimetulia, akakumbuka kuna kitu Tyrone alikua anaongea akakatishwa,akamuuliza by the way,kuna kitu ulikua unasema ebu malizia. Tyrone akachange story,hakuambia Robert kinagaubaga alimpeleka kona and mind you,Robert akaelewa na hata akaambiwa akiwa ready anaeza rudi kazini.

K**a kuna mtu hana amani ni Annaliza,ju alimuona Robert na Tyrone na akadhani sasa maybe Tyrone anamsema but ako na bahati sana Tyrone hakusema na hakuna kitu mbaya k**a kutojua kitu chenye watu wawili wameongea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐Ÿ•๐“๐‡ ๐€๐”๐†  ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’ ๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐ŸKyla alianza tu kulia,ameshikwa ready handed. Asha alimwambia basi sema kitu la...
27/08/2026

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐Ÿ•๐“๐‡ ๐€๐”๐† ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Kyla alianza tu kulia,ameshikwa ready handed. Asha alimwambia basi sema kitu lakini Kyla hakuongea. Tyrone alimwambia Kyla sikiza, heri mtu acheze na mimi lakini si na mtoto wangu...Kyla akamwambia please,Moh alinithreaten akasema nisipofanya kitu anataka ataniua. Tyrone alimwambia sikiza,I had greate plans for you,niliapa kukusaidia just because of your mother but wewe huwezi saidika. Kyla akamwambia please nipe tu last chance. Tyrone akamuuliza,ooh upewe last chance ndio umalize chenye ulianza sio? Toka kwangu. Tokaaa alah.

Kyla alibeg akasema please hata k**a ni kunifukuza msinifukuze hivi. Tinah akamwambia ooh acha nikufukuze venye unataka sasa,Tinah akatoa slippers๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚alinyorosha Kyla za kichwa akamwambia ni utoke sai sai alah. Mind you ni saa nne ya usiku.

Robert na yeye ameamua kuenda,hata hajui ni wapi anataka kuenda,lakini Annaliza alikuja mbio akamwambia please babe hakuna penye unaenda,lazima tuongee,my child needs you. Kwa ile harakati,wakaanza kubishana na Robert akamgonga Annaliza tumbo bahati mbaya.

Kyla alidhani maybe Tyrone atalegea amhurumie lakini zii kalitupwa nje. Kakiwa hapo nje,Moh akamcall Kyla,akamuuliza wee rada ni gani,nimefika hapa sikuoni. Kumbe plan ilikua Kyla atoke na Asha nje kisha Moh amvamie but sasa plan ishaungua. Kyla aliambia Moh sikiza,usiwai nipigiea simu tena ujinga wako sitaki.

Robert ilibidi atulie,ju sasa Annaliza ashageuza ikawa yeye ndio wamakosa sasa,anamwambia yani wewe ukifanya makosa ni tuongee but mimi k**akosa kadogo tu unataka kuenda, you are very selfish. Ilibidi sasa Robert awe ndio anaomba msamaha sasa kwa Annaliza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ushawai kosewa but inageuzwa inakaa wewe ndio una makosa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Kwa mansion girls wameamkia kufanya usafi kwa compound. Tyrone alipita hapo akawaambia good girls,hivi sasa ndio mko sawa na hadi Tyrone akawaambia incase of anything,just involve me. Tinah akamwambia usijali dad,we will be involving you na hata pia wewe you can involve us incase unatakaaaa...Tyrone akawaambia wee,mnamaanisha nini niwainvolve nikitaka nini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚The Girls wanataka baba yao aoe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Robert alimkuta Annaliza hapo akamuuliza babe you ok? Annaliza kimadharau akamwambia ooh ulidhani nimekufa sio, I am alive. Robert akamuuliza msichana,hizi drama zako umesema utaziacha lini? Mbona tusitumie tu akili k**a watu wazima? Annaliza akamuuliza so makosa ni yangu? Is it my mistake having expectation over a doctor who doesn't care about us? Robert akamwambia ni sawa,fanya hivi do what you want...

Annaliza akamuuliza,are you cheating on me? Robert akamwambia noo, I am nolonger cheating on me. Annaliza akamuuliza when last umekua na mimi kimapenzi? Ju k**a hunicheat meaning kuna mtu anakupea huko nje ju last time nakumbuka ni almost 4 months hujanitwanga. Robert akamwambia its because of you and your dramas.

Huku kwa mansion,punde si punde Larry akafika mbio,akapata Tyrone hapo, akamwambia please dad, nimekuja kusafisha rada,najua Moh alikua huku akaongea but kusema ukweli hakuna kitu yangu na Asha, she is just a friend na hatudate na yeye kabisa. Tyrone akacheka,akamwambia usijali,wewe si shida,tushadeal na mwenye alikua analeta kichwa so hatuna ubaya na wewe.

Larry aliambia Asha manze pole kwa kila kitu. Asha akamwambia I am ok usijali. Hii sasa ikafanya Tyrone akamuamini Asha full dose.

Tyrone kuondoka, Tinah akamuuliza Asha by the way girl to girl, huyo msee ako aje ju naona Larry na wewe mnaendana. Asha alimwambia zii, mimi na mapenzi shikamoo.

Lucky alikuja kuona Tinah kuuliza kazi anarudi lini ju Lucky ashapona na ako ready kurudi job. Kumbuka Lucky hajawai jua mwenye alimuattack na ikabidi Tinah amwambie ukweli, its Mathew who attacked you.

Asha kuona Lucky na Tinah wanaongea akakumbuka haya, si Larry ndio ametoka sai, akamfuata ju alikua tu hapo kwa gate,wakaongea akimsindi hadi Asha akamwambia manze napenda tu venye uko hardworking,impressive na unakaa mpoa tu. Larry akamwambia huyo ndio mimi sasa. Asha akamuuliza what on me, what do you think?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Lucky aliambia Tinah usijali hata nilijua kuhusu hiyo story but nilicheza chini but shida ni Mathew akiwai jaribu siku ingine huo ufala,itakua story ingine tofauti ju mimi nakuanga msee mwingine mwecheche na kuweka mtu 6ft under ni mboka kwangu, ni venye tu nilireform.

Kumbe Lucky alimuonanga Kyla ile siku akaanza kumnoki,akauliza Tinah by the way mpoa wangu yuko? Tinah akamuuliza mgani tena? Akaambiwa Kyla. Tinah akamwambia huyo shetani usiwai mtaja.

Have a good day ahead guys.

๐ƒ๐€๐•๐ˆ๐ƒ ๐Ž๐‰๐–๐€๐๐† โ€” ๐ƒ๐‘. ๐‘๐Ž๐๐„๐‘๐“ ๐Ž๐… ๐€๐˜๐€๐๐€๐‘๐ž๐š๐ฅ-๐‹๐ข๐Ÿ๐ž ๐๐ข๐จ๐ ๐ซ๐š๐ฉ๐ก๐ฒDavid Ojwang is a Kenyan actor and creative known for bringing memo...
26/08/2026

๐ƒ๐€๐•๐ˆ๐ƒ ๐Ž๐‰๐–๐€๐๐† โ€” ๐ƒ๐‘. ๐‘๐Ž๐๐„๐‘๐“ ๐Ž๐… ๐€๐˜๐€๐๐€

๐‘๐ž๐š๐ฅ-๐‹๐ข๐Ÿ๐ž ๐๐ข๐จ๐ ๐ซ๐š๐ฉ๐ก๐ฒ

David Ojwang is a Kenyan actor and creative known for bringing memorable characters to life on Kenyan television. He is best known for portraying Dr. Robert in the Citizen TV drama series ๐€๐˜๐€๐๐€.

Through his acting career, David has earned recognition for his ability to portray characters with emotional depth, authority and realism.

๐„๐š๐ซ๐ฅ๐ฒ ๐‹๐ข๐Ÿ๐ž

David Ojwang was born in 1969 and is associated with the Luo community in Kenya.

He developed an interest in storytelling and the creative arts before eventually building a career in acting and film production.

David has maintained a relatively private personal life, allowing his professional work to remain at the centre of public attention.

๐€๐œ๐ญ๐ข๐ง๐  ๐‚๐š๐ซ๐ž๐ž๐ซ

David Ojwang is a seasoned Kenyan actor who has appeared in several local television and film productions.

Some of the productions associated with his career include ๐€๐ฅ๐ฆ๐š๐ฌ๐ข and ๐’๐ฎ๐ฆ๐ฎ, among other Kenyan projects.

His work has also received recognition in the film industry. In 2013, he won the Best Actor Award at the Coast Film Festival for his performance in ๐”๐ง๐œ๐จ๐ง๐๐ข๐ญ๐ข๐จ๐ง๐š๐ฅ ๐‹๐จ๐ฏ๐ž.

Beyond acting, David has also been involved in film production and mentoring young creatives, contributing to Kenya's growing entertainment industry.

๐ƒ๐š๐ฏ๐ข๐ ๐Ž๐ฃ๐ฐ๐š๐ง๐  ๐€๐ฌ ๐ƒ๐ซ. ๐‘๐จ๐›๐ž๐ซ๐ญ ๐ˆ๐ง ๐€๐˜๐€๐๐€

In ๐€๐˜๐€๐๐€, David plays Dr. Robert, a respected medical doctor whose professional life appears controlled while his personal life is filled with complicated relationships, family secrets and difficult decisions.

Robert is intelligent, composed and respected in his profession. Away from the hospital, though, his life becomes much more complicated.

His relationship with Tyrone is particularly difficult because of their shared history, betrayal, family secrets and painful decisions.

Robert is also a father whose relationship with Tinah forms one of the emotional storylines in the series.

Despite their disagreements, Robert continues to consider Tinah his daughter and repeatedly tries to repair their relationship.

๐‘๐จ๐›๐ž๐ซ๐ญ ๐€๐ง๐ ๐“๐ข๐ง๐š๐ก

Robert's relationship with Tinah has experienced several difficult moments.

Tinah has repeatedly felt disappointed by the people she considers her real parents. At one point, she tells Robert that she is tired of being disappointed by her parents.

Robert, though, refuses to give up on their relationship.

After their reconciliation, Tinah gives him another opportunity to prove himself.

Robert promises to show through his actions that he genuinely loves her and intends to remain her father.

๐‘๐จ๐›๐ž๐ซ๐ญ ๐€๐ง๐ ๐€๐ง๐ง๐š๐ฅ๐ข๐ณ๐š

Robert's relationship with Annaliza is another major source of drama in ๐€๐˜๐€๐๐€.

Annaliza's return brings back emotions, memories and unresolved issues from their past.

Their relationship becomes even more complicated because of the secrets and betrayals surrounding their lives.

Although Robert has experienced frustration and emotional exhaustion, his relationship with Annaliza remains far from simple.

๐‘๐จ๐›๐ž๐ซ๐ญ ๐€๐ง๐ ๐“๐ฒ๐ซ๐จ๐ง๐ž

The relationship between Robert and Tyrone is among the most complicated relationships in the series.

Both men are respected doctors, but beneath their professional connection lies a painful history involving love, betrayal and family secrets.

Their rivalry has affected their children and families, making their conflict much bigger than a disagreement between two men.

๐‡๐ข๐ฌ ๐‹๐ž๐ ๐š๐œ๐ฒ

David Ojwang's portrayal of Dr. Robert has made the character one of the most interesting figures in ๐€๐˜๐€๐๐€.

Robert is neither completely good nor completely bad.

He is a man dealing with past mistakes, family responsibilities, love, relationships and the consequences of his decisions.

This complexity gives the character emotional depth and keeps viewers interested in his journey.

๐ƒ๐€๐•๐ˆ๐ƒ ๐Ž๐‰๐–๐€๐๐† โ€” ๐ƒ๐‘. ๐‘๐Ž๐๐„๐‘๐“ ๐Ž๐… ๐€๐˜๐€๐๐€ โค๏ธ๐Ÿ”ฅ

An actor, storyteller and creative whose portrayal of Dr. Robert continues to bring emotion, controversy and depth to one of Citizen TV's most talked-about dramas.

25/08/2026

BREAKING NEWS!!

Deputy President has resigned!!

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐Ÿ”๐“๐‡ ๐€๐”๐†  ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’ Arobaine za Kayla zimefika mapema sana ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐ŸTyrone aliuliza Asha, so daughter, a...
25/08/2026

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐Ÿ”๐“๐‡ ๐€๐”๐† ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’

Arobaine za Kayla zimefika mapema sana ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Tyrone aliuliza Asha, so daughter, according to Larry anampenda Kyla? Asha akasema venye nimeongea na Larry alisema yeye hayuko rada yake ni venye siezi jua roho ya mtu. Tyrone akamuuliza na wewe? Asha akamuuliza dad mimi nini? "wee unampenda Larry", Asha akasema noo dad,mimi namchukulia k**a rafiki yangu na mwenye alinisaidia. Tyrone akamwambia its ok,thanks for being honest with me unaeza enda shule sasa.

Upande wa mansion, Mathew ashaenda,hadi Tinah anasema nimepea huyu mwanaume chances sana but venye imefika itabidi niondokee. Robert akamwambia naelewa. Tinah akamwambia I hope sasa unaelewa mbona niko against marriage๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Robert akamwambia nakuelewa,vizuri sana hata huyu Mathew n k**a ameoa wanawake karibu saba,wakimtandika tu akiwaondokea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Baadaye Robert alimuuliza by the way ulifikiria about my request? Tinah ashasahau,akauliza ipi hiyo? Robert akamwambia about you moving in kwangu? Tinah akanyamaza,Robert akajua mara moja,haka hakataki kukaa kwangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kyla alinotice hajamuona Asha,akamcall akamuuliza by the way uko wapi? Asha akamwambia ako kwa dad anaenda shule. Kyla akamwambia by the way,nilikua na bash kiasi sijui k**a naeza kukuinvite ukuje tusherehekee? Asha akamwambia maybe nikuje tuongee tuone. Kumbe Kyla akiongea na Asha, Tinah alisikia. Sikiza,wakati Kyla anaongea na jamaa fulani akisema anataka amuumize Asha,Tinah alisikia tena sai amesikia sasa Kyla akimuinvite Asha kwa sherehe fulani hadi Tinah akaamua kuja kuuliza Kyla hii bash ni gani yenye Asha anaalikwa but yeye haalikwi.

Tinah alimuuliza Kyla mbona mimi siwezi alikwa? Kyla akasema nimeona wewe ni msick maybe? Tinah akasema noo I can still go. Tinah yeye ashajua hii bash si bash tu,ni Asha anataka kuumizwa thats why she is requesting yeye pia aende.

Moh na yeye alikuja kwa Larry chali tena,akamwambia Larry nimekaa nikafikiria na nikaona shida tumepitia na wewe nishakusamehe na twendelee venye tulikua tu. Larry akamuuliza na Asha je bado unamshikia grudge? Moh akasema zii,husikii hata nilienda nikakutana na babake tukaongea so sina ubaya na Asha. Larry akamwambia its ok,k**a umeamua tuwe na amani then iko sawa na ju ya hiyo story njoo hapa ndani kiasi kuna shughuli nataka tutwange๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Robert ashafika kwake kisha kuna messages anasoma kwa simu na hakuna light kwa hao,hadi Annaliza kuingia akamuuliza Robert,mbona unazima lights na unasoma vitu kwa simu kwani unafanya uchawi gani? Robert akamwambia please, I am just relaxing in my house ama kuna shida? Annaliza akamwambia sitaki drama leo. Robert akamwambia aje "says the queen of drama" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Annaliza alimwambia Robert by the way, sijui ni mimi naoverthink ama kuna venye Tyrone alibehave strange kwangu leo. Robert akamuuliza kwani what happened? Annaliza akamuelekeza kila kitu, venye aliuliza whats happening hadi venye Tyrone alimwambia "stay out of my family trouble"

Kyla na yeye,alikuja kwa mansion kuchukua Asha waende bash lakini kufika akapata Asha anatengeneza mboga za supper ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kyla akamuuliza Asha kwani hatuendi bash? Asha akasema aah nilikua nimesahau itabidi umeenda peke yako. Punde si punde, Tinah akafika,akauliza Kyla na Asha,nani alipea Larry number yangu ya simu ameshinda kunipigia akisema venye nikataze Kyla aache kumtakataka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kyla akajitetea akasema wah huyo boy ni mjanja sana kwanza ameishi kunitaka nimechange simu yangu na bado ananitafuta tu anasema ananitaka. Tinah na Asha wakacheka,wakaambia Kyla you are the biggest pretender of all๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kyla akajua mara moja ameshikwa, akasema guys kwani hamuezi niamini? Tinah wakamwambia kukuamini aje,na Larry ameniambia kila kitu hata leo umeenda huko. Punde si punde, Tyrone akafika. Kumbuka Tyrone anajua kila kitu.

Tyrone alifika akauliza by the way Kyla, whats going on na Larry,ju nilikutana na dem yake anaitwa Moh sijui k**a unamjua? Kyla akasema anamjua. Kisha Tyrone akauliza, najua Moh alimpiga Asha,mshawai kutana since ampige? Kyla akasema ,hatujai kutana tena. Tyrone akatoa simu akaonyesha Kyla akamuuliza, so huyu ni wewe ama ni AI? Kumbuka ile video yenye Asha alirecord Kyla na Moh๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kyla kuona ile video alikosa kuamini,akajua sasa ashajulikana.

Robert na yeye alitoka nje kuongea kwa simu,kumbe Annaliza amemfuata na amedhani maybe anaongea na dem. Annaliza akachukua simu mbio akasema kwa simu wewe,nilikuambia uache na mabwana za wenyewe husikii? on other side jamaa akauliza Robert,whats going on,kumbe Robert alikua anaongea na beshte yake na Annaliza akadhani ni dem๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kyla kalishikwa kakadanganya kakasema kalimeet na Moh kakimwambia asimuumize Asha. Tyrone akasema aah k**a ni hivi then iko sawa sioni makosa hapa,lakini before Tyrone aondoke,Asha akamuuliza Kyla,so kuliendaje ukapanga na watu leo twende kwa party kisha waniumize? Tyrone akashtuka,akauliza Kyla yani unapangia mtoto wangu mabaya? Kyla akasema hata yeye hajui,lakini Tinah alimwambia sikiza, nilikusikia vizuri sana so you better confess ama urushwe nje sai sai usiku huu. Maskini wa Mungu Kyla๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ

Robert na yeye alijam na Annaliza akamwambia sikiza mwanamke, k**a huu ndio ujinga ulikua unafanyia Kefa, I am sorry for coming in between your love,kindly nenda umtafute juu huu wazimu unatosha tu wewe na huyo wazimu wako mwenzako Kefa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wueh! By the way nani mwingine amefurahi venye Kyla kanapelekwa mbio๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ama I am toxic? Tungojee kesho tuone katajitetea aje.

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐Ÿ“๐“๐‡ ๐€๐”๐†  ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’ ๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐ŸAnnaliza ndio anafika kazini,akapata Asha na Tinah hapo akawauliza we kuna mtu ...
25/08/2026

๐€๐˜๐€๐๐€ ๐Ÿ๐Ÿ“๐“๐‡ ๐€๐”๐† ๐–๐‘๐ˆ๐“๐“๐„๐ ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Annaliza ndio anafika kazini,akapata Asha na Tinah hapo akawauliza we kuna mtu mgonjwa ama? Asha akamwambia zii ni rafiki tu alipata minor injuries ako sawa. Tinah akaona kale kadress kake yenye alibuyia Annaliza kamemfit poa sana.

Tinah akiwa hapo akapigiwa simu na Tyrone akamwambia mamaa,njoo kiasi. Tinah kufika,Tyrone akamwambia this boyfriend of yours ameniambia the reason alitandika Lucky. Tinah akauliza shida ilikua gani? Tyrone akamwambia amesema ati aliona uko na friends with benefits na Lucky. Tinah akajam,akauliza Mathew,kwanza akampiga kofi, akamuuliza benefit gani na ile siku tulisolve kila kitu? Mathew akasema ni venye nilikua na wivu tu. Tinah alimwambia sasa sikiza,mambo ni mawili,utoke kwa maisha yangu completely, or uende jela kwa kumpiga Lucky.

Tyrone aliambia Mathew hali ndio hiyo,na una bahati sana Lucky hajaambiwa, ju ukweli wa mambo Lucky anaeza onekana mtu mpole sana lakini he is a refined goon, akiwai jua, wewe kwisha. Mathew alikosa otherwise the only option ikawa aende tu. Tyrone akacall security akawaambia kuna jamaa nataka mumtoe huku, msimpige but mumtoe na akileta kichwa, msalimie kiasi.

Mathew alitoka akangoja Tinah akimbeg lakini security wakafika. Annaliza na Asha pia wakafika hapo wakaona venye Mathew anabeg Tinah. Tyrone akaambia Mathew sikiza,usiwai kanyaga kwangu na usiwai karibia Tinah,maembe wewe. Annaliza akauliza Tyrone kwani whats going on? Lakini Tyrone akamwambia stay out of my family matters ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kumbuka Tyrone anajua siri ya Annaliza yenye humjamisha sana.

Baadaye Tyrone alikuja akamuita Asha, akamuuliza sweetie,sikuhizi huwa huinvite Larry nyumbani? Asha akamwambia noo dad, niliona si necessary. Kisha Tyrone akamuuliza I guess we agreed tutakua honest to each other ,mbona hukuniambia kuhusu wewe na Larry mkona uhusiano wa kimapenzi? Asha akashtuka,akaambia dad noo,mimi na Larry hatukulani,ulitoa wapi hii maneno? Tyrone hakumficha, akamwambia dem yake alinikuta akaniambia.

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Baadaye Kyla alirudi kwa mansion na akapigia jamaa fulani simu akamwambia kuna dem wa coast nataka asalimiwe anatembea na chali yangu na anaringa sana. Kumbe Kyla akipiga simu,Tinah alisikia.

Huku hosi nakwo, Tyrone anauliza Asha,mbona uende kwa chali ya wenyewe? Lakini Asha akacheka,akatoa simu akaambia babake, nilikua nimeamua kudeal na hii personally but ju umetaka kuniamini watch this. Tyrone akaona Kyla anamhug dem fulani,akauliza huyo ni nani? Asha akamwambia huyo ni huyo Moh. Tyrone akamuuliza so whats the point? Asha akamwambia huyu Kyla huyu, is not the person you think she is.

Kyla amefika kwa mansion na Tinah pia amefika..wakiwa tu wametulia hapo kwa kiti ju Tinah ashajua kuhusu Kyla but hakumwambia alinyamaza tu. Punde si punde tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mathew akafika kwa mansion. Anataka kuomba msamaha kwa Tinah lakini tena Tinah alimtandika kofi akamwambia Mathew, uliambiwa usije kwetu unafanya nini hapa? Kyla kuona makofi zinatembea,akaamua kumshika Tinah akimwambia asimpige lakini Tinah akamshoutia akamwambia wee na wewe niache gunia wewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sasa Tyrone ameambiwa kila kitu na amejua kweli Kyla si mwenye alikua anadhani hadi akauliza Asha,sasa tufanye aje,Asha akamwambia mimi sina kinyongo na Kyla na k**a yeye anamtaka Larry acha amtake.

Punde si punde huku kwa mansion, Robert alifika akapata Tinah na Mathew wakiletana juu,akashindwa wee si nyinyi juzi tu mumeongea shida ni gani? Tinah akamwambia imagine huyu ameattack Lucky hadi akakua hospitalized. Robert akashindwa wee Mathew kichwa chako huwa mbaya ama? Mathew akasema please mnisamehe nilijipata tu. "Ati ulijipata?" hadi Robert akacheka, akaambia Mathew nilikuambia ukiwai hurt my daughter again kitaumana,so just leave ama kaumane sai. Mathew akaona haina haja aumie,akatoka akiwa amenyenyekea ungedhani ni HEHA movers after kudeliver chapati full kwa client๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tukutane jioni guys!

Address

Nairobi
00100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AYANA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share