05/08/2026
Hapa usione watu wametulia, we niulize mimi nikuambie list ya mabibi walioingia na kutoka humu ndani! π₯ Kupita mtihani wa hili boma inahitaji masters, walai! Wengine walishindwa mapema sana. π