Producer Jimmy Mambo

Producer Jimmy Mambo Get News and entertainment

Furaha k**a hii huwa inasababishwa na niniπŸ˜ƒ
16/06/2026

Furaha k**a hii huwa inasababishwa na niniπŸ˜ƒ

Najaribu kumueleza kitu FUNDI wa Mitambo RADIO Maisha   lakini sioni k**a ananielewa labda niongee kichonyi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
14/06/2026

Najaribu kumueleza kitu FUNDI wa Mitambo RADIO Maisha lakini sioni k**a ananielewa labda niongee kichonyi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kribu kwenye kipindi awamu ya mwisho na Faustine Birindwa, unanyakua baraka nyakunyaku.
14/06/2026

Kribu kwenye kipindi awamu ya mwisho na Faustine Birindwa, unanyakua baraka nyakunyaku.

Tayari Apostle Backson Saning'o yupo tayri kwa ajili ya Neno unasikiza ukwa wapi?
14/06/2026

Tayari Apostle Backson Saning'o yupo tayri kwa ajili ya Neno unasikiza ukwa wapi?

12/06/2026

I left home to change home lakini wekeni gunia ya mahindi ikuje bwana🀣🀣🀣

12/06/2026

Mpira umeanza kunoga!
Usikose hata sekunde moja ya burudani, maana FIFA World Cup iko LIVE ndani ya Radio Maisha!
Kuanzia uchambuzi mkali, commentary tamu hadi vibes za mashabiki – hapa ndio home of football!
Tune in sasa na uwe sehemu ya mchezo!

Kamanda wa Vita Ututie nguvu ila tunda l jasho ni ushindi,Ulivyo simamisha jua wakati wa Yoshua lisitue mpaka ushindi we...
05/06/2026

Kamanda wa Vita Ututie nguvu ila tunda l jasho ni ushindi,
Ulivyo simamisha jua wakati wa Yoshua lisitue mpaka ushindi wetu utue. 4AM- 6AM

Njooni mtazame Yeriko kuta zinaanguka,karibu tushangalie na kumshukuru kwa wema wake ndani ya Safari.  Radio Maisha
04/06/2026

Njooni mtazame Yeriko kuta zinaanguka,
karibu tushangalie na kumshukuru kwa wema wake ndani ya Safari.

Radio Maisha

What's your biggest fear, umeng'ang'ana kuishinda lakini ngumu?Karibu kwenye Kipindi Cha Safari unaskiza ukiwa wapii4AM-...
03/06/2026

What's your biggest fear, umeng'ang'ana kuishinda lakini ngumu?
Karibu kwenye Kipindi Cha Safari unaskiza ukiwa wapii
4AM-6AM

Radio Maisha

Yaani kuanzia Sasa mpka 6AM ni Safari ya matumaini, Karibu tuanze siku na mtazamo tofauti, unaskiza ukiwa wapi?
02/06/2026

Yaani kuanzia Sasa mpka 6AM ni Safari ya matumaini, Karibu tuanze siku na mtazamo tofauti, unaskiza ukiwa wapi?

Address

Nairobi
254

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Producer Jimmy Mambo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share