Ayana Citizen Updates and Fans

Ayana Citizen Updates and Fans Ayana Updates.Keeping you ahead of the rest.Follow for more.

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ‘π‘πƒ π€ππ‘πˆπ‹ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒      FollowπŸ‘π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏Tyrone alimleta Sabina hadi kwa room yake akamuuliza na dawa umeme...
22/04/2026

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ‘π‘πƒ π€ππ‘πˆπ‹ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
FollowπŸ‘
π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏
Tyrone alimleta Sabina hadi kwa room yake akamuuliza na dawa umemeza kweli? Sabina akamwambia yeah,dawa nimekunywa. Tyrone akamwambia acha nikuletee maji ukunywe lakini Sabina akamshika mkono akamwambia please,just stay with me nitakua sawa. Tyrone anashindwa,hizi ni gani tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Asha na yeye hataki kusikia story za Ray,akamwambia chenye ulifanya kuua mwenzako ni mbaya,na sai najua DCI wanakutrack na ndio maana walijua penye uko. Ray alimwambia please empress,mimi nishachange lakini Asha akamwambia sikiza,its a matter of time ukweli ujulikane. Ray akamuuliza unamaanisha? Asha akamwmbia ebu leta simu yako.

Ray akashindwa kunaendaje hapa,akachukua simu akampea Asha kisha Asha akaenda na ile simu kwa room yake. Ungeshindwa sana anaenda kufanya nini,lakini hebu tuone.

Asha alikuja kwa room bila kubisha akapata mamake ndio amepima ile nguo aliletewa na Tyrone. Kumbe Tyrone alichose nguo yenye ukivaa unakaa k**a mtu mwenye unataka kucheza siaka siaka ya Mejja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚cheki nyonyo za Saida awwww. Hii sasa itanipeleka hadi AugustπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Asha alimuuliza ma,unapendeza unataka kuenda wapi? Saida akamwambia ni babako amesema anataka kunipeleka out na amesema nivae nguo hii hii. Hii ni room ya Saida si ile room ya Asha meaning Asha kuna kitu alikua anakuja kufanya hapa. All in all,masaa imefika saa sita ya usiku.

Watu wakiwa wamelala,ndio wakati wa wachawi kuamka na mchawi wa kwanza ni Sabina. Sabina aliamka akakuja kwa room ya Nura pole pooole akapata Nura kamelala. Nura akiwa amelala akasense kuna mtu kwa room yake,kushtuka,Sabina amefika na amemfunika mdomo,akamwambia sikiza,nakuachilia na usipige nduru nataka uniambie k**a kuna mtu umeambia chenye uliona kwa room yangu. Nura akamwambia hamna chenye niliona mimi. Sabina akamwambia najua uliona kitu,ole wako uambie mtu,nitakukata kata huu ulimi wako uishi bila kuongea forever. Wueh! Nura aliona kifo na macho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Asubuhi na mapema, Tyrone alimuita Saida akamuuliza uliamuaje venye tuliongea jana kuhusu dinner date yetu? Saida akamwambia ni sawa,tutaenda but deep down Saida hana furaha and in as much as hana furaha,anabambika sana na hii dinner date. Ona venye Tyrone anaangalia Saida na macho fulani fulaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hii ndio macho exactly niliangalia Xtine tukaamka tukiwa fimba ya Jayleen 🀣🀣🀣

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟐
Sabina yafaa apelekwe hosi but aliita Tinah akamwambia please my daughter,nataka unifanyie favour. Tinah akauliza gani mum? Sabina akaambia Tinah sikiza, babako anataka kupeleka Saida out after amenipeleka hosi so I want you ufanye kitu isifanyike..Tinah akamuuliza sasa nifanye aje mum? Kuna kitu Sabina alimwambia Tinah but wakasema nyinyi msisikie,but mimi nishasikia,nitakuja kuwaambia kitu Tinah aliambiwa afanye 🀣🀣🀣

Asha alikuja akaambia mamake maa,naona unangoja sana kuenda date na dad lakini Saida akamwambia ni lunch tu ukisema date inakaa k**a ya kimapenzi. Saida tena akaambia Asha,ni babako tu mwanaume nimejua na sitaki kuweka matumaini nije nikaumia. Naprotect tu roho yangu.

Tyrohe alikuja akapea Saida instructions akamwambia nadrop Sabina hosi then nikupigie simu ukuje twende,I hope utakua ready.

Baadaye Asha alikuja akakutana na Ray,akamwambia babe,najua nilikujudge ka ile story ya jana but naelewa kazi yako ya zamani. Ray akamwambia yeah,sai nishachange kabisa and Iam a changed person empress,najua nilikosea but sai mimi ni mtu mzuri sana.

Haya,Sabina na Tyrone wamefika kazini na ile report akapewa mhudumu. Akaangalia ile report akauliza Sabina,have you been seeing things ju kwa hii report venye imeekwa na venye nakuangalia ni vitu mbili tofauti. Tyrone akamuuliza so unamaanisha aje daktari? Madam akamwambia I will have to run my own test ndio nijue exactly issue ni gani...mako! Makosa..baaaaaaasi. Sabina akashtuka🀣🀣🀣🀣

Tyrone alipeana go ahead na ju yeye anataka kuenda akawaambia atarudi lakini Sabina akamwambia please dont go Tyrone. Tyrone akashindwa kunaendaje tena ju yafaa waende date na Saida.

Huku nyumbani pia,Tinah alinyapia nyapoa kwa room ya Saida,kuna kitu yafaa afanye hapo. Kabla Tinah hajafanya chenye yafaa afanye,akapigiwa simu na Kylian,akamwambia please siz najua unanijudge but nataka usaidizi. Tinah akamuuliza usaidizi upi? Kylian akamwambia najua uko close na Nura nisaidie niongee na yeye ni wewe tu naeza tegemea.Iam your bro and I will owe you one. Tinah akamwambia ni sawa nitajaribu.

Kumbe jana Sabina akitoka kwa room ya Nura,Asha aliwaona na Asha akaja akaambia mamake mum,huyu Nura mbona simuamini,niliona Sabina akitoka kwa room yake jana. Saida alimwambia tulia, Nura si kigeugeu.

Baada ya dakika chache,Sabina na daktari walitoka kwa kipimo na daktari akaambia Tyrone nimeona hata si tumor na clot tu ya damu but atakua sawa. Wakafurahia sana alafu Sabina akasahau akamshika Tyrone mkono lakini Tyrone si mtu wa kujifanya alishika mkono wa Sabina akautoa kwa mkono wake na akamslap. Mimi si bwanako 🀣🀣🀣hadi daktari akanotice.

Waliambiwa warudi tena next week. Hapo nje Tyrone alimcall Saida,akamwambia mtu wetu,kuja kuja sasa,tushamalizana huku. Saida akaenjoy akajua sasa aende kuvaa ile nguo yake aondoke na hapa sasa ndio nataka kuwaambia ni nini Sabina aliambia Tinah afanye...ju wueh! Ni mbayaa,lakini ndio kesho mrudi hapa,sitawaambia leo,nitawaambia kesho,same time,same place same style. For now mlale kwa amani tukutane kesho majaliwa. Ciana ici.
Follow Flash Feed

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ”π“π‡ π€ππ‘πˆπ‹ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒      Eka like unapozidi kusomaπ„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏Its bad! Baada ya daktari kuchunguza scan za Sab...
15/04/2026

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ”π“π‡ π€ππ‘πˆπ‹ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Eka like unapozidi kusoma
π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏
Its bad! Baada ya daktari kuchunguza scan za Sabina,ikagundulika she has a tumor...on left hand side of the brain...Tyrone alishtuka sana,he never expected that.

Robert washafika hosi na wako na Annaliza,she is now back to hospital. Tinah aliwaona na akajam sana,imebidi Annaliza aende awaache hapo. Robert akamuuliza mbona unakaa kujam? Tinah akamwambia umesahau jana usiku nilikuambia mum ako hosi but what did you do,ulikataa kuja you were busy with your baby maa who scammed you...Tinah akaongezea akasema nimeamini my mum was right about you. Robert akashindwa ni nini Sabina aliambia Tinah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Robert alikuja kwa Sabina mbio mbio. Sabina kumuona akamwambia ebu toka nje sitaki your sympathy lakini Robert akamwambia sijakuja kuleta sympathy mbona unajaribu kupoison Tinah wangu? Sabina akamwambia hakuna kumpoison,iam just telling her who the real her father is plus his behaviour.

Robert alikuja kwa Tyrone,akamwambia I told you,hii kugonjeka ya Sabina ni fake,she is faking just to get close to you lakini Tyrone akampea ile scan,akamwambia unfortunately Sabina has brain tumor. Robert alishtuka sana.

Nura naye,alimuona Asha akihugiana na Ray akamwambia mwenzangu,huyu mwanaume wako ni kiboko,ameweza mbaya. Asha akamwambia wee pia utapata wako usijali lakini Nura akamwambia kwa sasa sitaki mwanaume mimi kiliniramba sitaki tena. Asha pia akamwambia mimi pia nilikua tu hapo hapo..Nura akamwambia si basi unipe uhondo lakini Asha akamwambia achana na udakuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hatimaye Tyrone aliletea Sabina matokeo na akamwambia good news ni uko uhai and bad news ni we suspect unaeza kuwa na tumor ya kichwa na hii mtu huwa hafikishi miaka fifte...Sabina akiimagine amefika 49 alianza tu kulia..haamini its that serious. But sikiza,huyu ni Sabina,msije mkasahauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟐
Saida na yeye alikuja kuona mgonjwa hosi. Sabina kumuona alijam,akauliza huyu anataka nini hapa? Saida akasema nilikua nimekuja kukujulia tu hali lakini Sabina alisema zii,toka nje najua umekuja kuangalia k**a nimekufa,hebu toka ama niamke sai hapa. Ilibidi Tyrone aongee na Saida akamwambia please, jitoe tu huyu nik**a atakua mwendawazimu πŸ₯²πŸ₯²

Tinah haamini yamemkuta mamake,analia tu. Good thing Mathew alikua hapo akakuja akapata Tinah akilia akamuuliza babe,shida ni nini? Tinah haongei analia tu hadi ikabidi Mathew akamuuliza babe,usiseme madhe ashadead? Tinah akamwambia no not yet but ako na condition ingine sidhani hatasurvive.

Kumbe Annaliza alikua anapita hapo,akaona Tinah analia akamuuliza Tinah shida ni nini? Tinah akamwambia wee na wewe toka hapa,you are the reason hii yote inafanyika kwa mamangu,usijaribu kuleta ujinga hapa. Annaliza anashindwa,amefanya nini. Tinah akamwambia kwanza ukatuibia pesa,na pili ukaiba boyfriend wa mamangu alafu unaongea hapa,you are the reason mamangu ako venye ako. wah! Ni mbayaaa.

Sabina anauliza Tyrone,niambie tu ukweli nimebakisha na miezi ngapi nikufe? Tyrone akamwambia zii we still doing tests so utaenda home upumzike then utarudi turun tests zingine. Sikiza, mganga aliambia Sabina hakikisha unakua karibu na Tyrone 24hrs....so Sabina anajua kitu,akiwa mgonjwa guess who will be visiting her frequently Tyrone na sasa wacha niwashtue,wakati tu Tyrone ametoka,Sabina alichukua simu akacall yule mganga akamuuliza wee ulisema nifanye hivi ndio niwe karibu na Tyrone mbona naambiwa story za tumor? Mganga akamwambia relax,its part of script, tulia nikupange πŸ˜‚πŸ˜‚wueh!

Asha amejaribu sana kumcall Tinah but hashiki simu zake. Asha haijamhit kuwa Tinah hataki story zake.

Annaliza baadaye alikuja kwa Robert,akamuuliza babe,how serious is Sabina's situation? Robert akamueleza akamwambia ako na tumor na nik**a brain yake imekua inadevelop. Robert akamuuliza mbona unauliza,ama there is more to it? Annaliza akamwambia ni Tinah,anasema iam the reason mamake ako hivyo. Robert akamwambia noo,just try to understand her she is not ok so muelewe tu,she is looking for someone to blame..she is going through alot and alot going through her

Hadi kesho majaliwa... ❀️❀️
Follow Flash Feed

AYANA THURSDAY 16TH  WRITTEN UPDATES.            Hali ya Sabina bado si nzuri, hii inamuumiza sana Tina. Anahisi nik**a ...
15/04/2026

AYANA THURSDAY 16TH WRITTEN UPDATES.
Hali ya Sabina bado si nzuri, hii inamuumiza sana Tina. Anahisi nik**a yeye kamkosea mamake kwa kumgombanisha. Tina ananona kuwa yeye ndiyo chanzo cha mamake kuwa mgonjwa.
Ungana nami mida ya 9:05 pm upate uhondo kamili πŸ‘
Eka like k**a unasubiria mkuu πŸ‘β€οΈ
Follow Flash Feed

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ“π“π‡ π€ππ‘πˆπ‹ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒It's a bit late but usipite bila kufollowπ„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏Tinah kamekasirika sana,ungeshindwa sa...
14/04/2026

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ“π“π‡ π€ππ‘πˆπ‹ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
It's a bit late but usipite bila kufollow
π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏
Tinah kamekasirika sana,ungeshindwa sasa kanakasirikia nani. Kalikuja kwa nyumba yake straight akacall Mathew akamwambia babe I just need someone to talk tu imagine everyone huku hanitakii including Asha. Sikiza, Tinah anaamini chenye mamake amemwambia,but hako kenyewe hakajafanya investigation kajua. Kanakurupuka.

Akiongea kwa simu na Mathew,Asha alifika akismile,Tinah akaambia Mathew usikate simu,kisha akauliza Asha,unataka nini? Asha akamwambia nilikua nakuja kukuambia tu nishafika. Tinah alimuignore Asha akaendelea kuongea hadi Asha akashindwa, whats happening but ju hataki mambo alienda.

Asha alikuja huku downstairs akauliza mamake wee,mumeongea na Tinah? Nimejaribu kumuongelesha nik**a hayuko sawa na tena habambiki tukiwa huku. Ray akamwambia yeah ametoka hapa amejaa ngori sana.

Ona mwingine sasa🀣🀣🀣Sabina bado anaendeleza zile ganga zake,kisha punde si punde Robert akamcall,akamuuliza unafeel aje now that Tinah ashajua ni wewe ulimpoison,sai najua huna rafiki sasa? Sabina akacheka,akamwambia sikiza, Tinah amekuja tumeongea and for now kindly iam focusing on my family na nikishamaliza,I will come to you...you are next🀣🀣🀣

Turudi kwa Tinah tena,Tyrone ndio amefika akakuja kuongea na Tinah lakini kamejaa ngori kakauliza babake,mbona ulileta Asha huku? Tyrone akamwambia I thought you wanted nimsaidie ama? Tinah akamwambia ungemsaidia akiwa huko ghetto,si kuwaleta huku. Tyrone akashindwa,wee unajua huku ni kwangu mtoto? 🀣🀣🀣but Tyrone hakutaka mehemehe,akafunga mlango akatoka.

Baadaye mida ya usiku usiku,Tyrone alikuja kuongea na Ray huku nje akamuuliza unafeel aje by now? Ray akamwambia it feels difference,sijai ishi kwa masonko but it feels different. Tyrone alimwambia najua unapenda Asha,please dont let her down and dont let me down,lakini Tyrone akamwambia sidhani si idea poa ukiendelea kukaa huku. Ray akamuuliza I thought ulisema umenisamehe,tena kuna shida? Tyrone akamwambia sikiza, ukiishi hapa utarelax,nataka uende uendelee na hustle yako niwe sure binti yangu anakaa na mwanaume anajituma so nataka ukiwa huko nje utajijenga na incase unataka any support nitakupa. Tyrone anasema kweli,lakini ukiwa na akili hivi hivi utaona as if unafukuzwa.

Tufike kwa Sabina kiasi,hakuacha mlango. Kuna dem wa room service alikuja kubisha hakuna mtu anaitika ndani,ikabidi amefungua. Kufika,akasikia shower iko on lakini akiitana,hakuna mtu anajibu. Kumbe Sabina akiwa anaoga,baada tu ya kuvaa nguo,aliteleza,akagonga tumbo chini,hadi akafaint. K**a si dem wa room service kumpata,ingekua story ingine,lakini niwaulize,eeh! Sabina,ati ameacha mlango open,alafu ameanguka sasa ati ako hosi akina Tinah washaambiwa....Huh! Anaitwa Sabina 🀣🀣🀣

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟐
Tinah alikuja akaambia babake kuhusu Sabina ako hosi ;lakini Tyrone akamwambia go find out then uniambie. Kumbe Tinah hakuchukulia fiti,akauliza Tyrone,so hujali mamangu anymore ama ni ju uko na familia yako? Its ok,enda kaa na familia yako acha sisi tukae venye tunakaa. Katoto kajinga k**a mamake,hasira hasira.

Baadaye Tyrone alikuja akapata Asha wanaunda breakfast akawaamkia na akawaambia anaenda zake kazini. Asha alikua na Nura jikoni wakiosha vyombo.

Kylian na yeye,alikuja kuongea na wazazi wake akawaambia by the way mimi sirudi Mombasa. Annaliza akamuuliza na shule? Kylian akamwambia nasomea huku lakini Mombasa sirudi. Annaliza hakutaka hivyo but sasa atadu.

Robert aliuliza Annaliza ni nini inaeza fanya mtoto wetu hataki kurudi Mombasa? Annaliza akamwambia lazima ni dem wake,walikosana na nik**a hataki kurudi huko waonane. Robert akamuuliza huyu dem kwani ni nani? Annaliza akamwambia ni dem wa coast tu huko nishawai muona tu once kwa video call. Najua mshaanza kuconnect dots who the boyfriend is.

Ray baadaye alikuja kuongea na Asha akamwambia empress,nimeona nirudi mtaa ju tuliongea na mzae wako na akaona ni heri niendelee kuwa Ray wa kujituma. Asha hakutaka hivyo but sasa angedu,hakuna mtu hataki mwanaume wa kujituma.

Tyrone alifika akamuangalia Sabina and yeah she is recovering. Alimpata Tinah ako hapo na akaomba kuongea na yeye hapo nje. Tyrone alikuja akauliza Tinah whats the attitute,shida ni nini? Tinah akamwambia hunipi attention nataka,yani unashughulikia tu akina Asha na mimi unanisahau. Tyrone akamwambia sikiza, hakuna mtu anakureplace unaoverthink so hii hasira achana nayo and stop thinking your own things.

Ray alielezea Asha na akamwambia babako hadi alisema anaeza nisupport so nataka nione k**a anaeza nilink na job nifanye fanye. Saida aliwaoverheard na hata pia akashtuka ati Ray anajitoa huku,but si kwa ubaya ni kwa manufaa yake yeye mwenyewe. Mwanaume ni kujituma. Hadi kesho majaliwa.

Follow Flash Feed

Robert Na mkeweFollow Flash Feed please
10/04/2026

Robert Na mkewe
Follow Flash Feed please

08/04/2026

π€π˜π€ππ€ 9𝐓𝐇 π€ππ‘πˆπ‹ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
FollowπŸ‘πŸ‘

---

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 1

Baada ya Annaliza na Robert kuhepa kwa shida kutoka kwa nyumba ya Kefa, walikimbia hadi nje wakapumua kwa nguvu. Robert akiwa ameshikwa mbavu, hata kutembea ilikuwa shida.

Annaliza: β€œRobert, pole sana… hii yote ni makosa yangu.”
Robert (kwa sauti ya maumivu): β€œSio makosa yako… huyo jamaa ni dangerous kuliko nilivyodhani.”

Lakini hawakujua kuwa Kefa hakumaliza… alikuwa ameanguka lakini bado hajashindwa. Alisimama polepole ndani ya nyumba, akifuta damu mdomoni, macho yake yakiwa mekundu kwa hasira.

Kefa: β€œMtanijua leo… hakuna mtu atanichezea hivi!”

Meanwhile, Tinah tayari ameanza kupack kwa safari ya Zanzibar. Ana furaha sana, hajui kabisa kuna mchezo umewekwa juu yake.

Anajipigia selfie, akituma kwa Kefa:
β€œReady for tomorrow πŸ˜ŠπŸŒ΄β€

Kefa akacheka peke yake akasema:
β€œEnjoy while it lasts…”

---

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 2

Kwa upande wa Saida na Tyrone, mambo yalianza kuwa serious zaidi. Baada ya kumfukuza Serena, Tyrone alikaa chini na Saida, macho yake yakiwa na machozi.

Tyrone: β€œSaida, niliharibu sana… lakini sitaki kupoteza familia yangu.”
Saida akamwangalia kwa muda mrefu, akimchunguza k**a anamaanisha.

Saida: β€œSi mimi pekee… Asha ndio key hapa.”

Tyrone akaamua kuchukua hatua. Akaenda shuleni kwa Asha bila kumwambia.

Asha alipomuona, uso wake ukabadilika instantly.

Asha: β€œNiliambia sitaki kukuona.”
Tyrone: β€œNajua… lakini mimi ni baba yako, nitapambana hadi unisamehe.”

Asha akaondoka bila kusema kitu… lakini kwa mara ya kwanza, alionekana kuguswa kidogo.

---

Kwa upande mwingine, Sabina amefika kwa mganga Billy Miya 🀣🀣

Billy Miya alimwangalia Sabina akamwambia:
β€œMapenzi si ya kulazimisha… lakini k**a unataka, tutafanya kazi.”

Sabina: β€œNataka Tyrone arudi kwangu by force!”

Billy Miya akacheka kidogo akasema:
β€œBasi jiandae… hii si mchezo.”

😳😳 mambo yanazidi kuwa mazito!

🌟🌟🌟. Leo Citizen hadi sasa hawajaeka updates. Hii hapa ni prediction tu toka kwangu.
Follow Flash Feed

π€π˜π€ππ€ π‚πˆπ“πˆπ™π„π 𝐓𝐕 – πŸ—π­π‘ 𝐀𝐩𝐫𝐒π₯ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒Uko ready for Ayana updates? Weka like sasa πŸ”₯Full update inashuka leo saa 8:...
08/04/2026

π€π˜π€ππ€ π‚πˆπ“πˆπ™π„π 𝐓𝐕 – πŸ—π­π‘ 𝐀𝐩𝐫𝐒π₯ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒

Uko ready for Ayana updates? Weka like sasa πŸ”₯

Full update inashuka leo saa 8:50pm ⏰

Before hiyo, follow Flash Feed

π€π˜π€ππ€ 𝐌𝐎𝐍 πŸ”π“π‡ π€ππ‘πˆπ‹ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒      Follow Stella Ndolo πŸ‘π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏 Hallooooo. Tuliacha Robert k**a amekam kuexamine...
04/04/2026

π€π˜π€ππ€ 𝐌𝐎𝐍 πŸ”π“π‡ π€ππ‘πˆπ‹ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒

Follow Stella Ndolo πŸ‘

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏
Hallooooo. Tuliacha Robert k**a amekam kuexamine Asha. Alimshoot, wound yake inaendelea poa, so wangojee tu lab tests. Asha akaanza kudai, yeye anataka kuwa discharged. But Robert alimwambia, wound k**a yake, wanarecommend akae at least 3 days, wakimwangalua. But Asha hataki, anasema, hawawezi mforce kukaa mahali hataki.
Saida akaambia Asha, itabidi umesikiza doc, but Asha anadai, ni heri basi mniitishie transfer, sitaki kukaa hapa. Haka kameanza kukosa kufikiria Sasa.

Tutoke hapo tupate Sabina na Tinah. Anaambia Tinah, aliona Tyrone amemsamehe Robert, that's why alikam pia yeye aone k**a anaezasamehewa πŸ˜œπŸ˜‚ Tinah akamsho, kitu nimegundua about men, inakua rahisi saana kumsamehe a fellow men k**a amembetray, but when it comes to a woman, that's where they draw the line. Sabina akamsho, basi nisaidie, Tinah akacheka kwanza, aje 😁😁, Sabina anamwambia, sweettalk Tyrone anisamehe. Tinah akamsho, hyo haitawezekana, already I have pushed dad a lot na mambo ya Asha, sitaki kumstress na zingine. Sabina akamsho, this is your mum, do it for me now that Serena is not around, we can work things out πŸ«©πŸ˜œπŸ˜‚. Tinah akacheka na kumuuliza, so all this n sababu unataka urudiane na dad? Sikiza, you're my mum but hiyo kazi ya kukushkanisha na dad, sitafanya hata kidogo. Sabina akaanza kumblackmail na kumuuliza, hiyo pesa ya Asha, nani alitoka mingi kuliko wengine. But Tinah alimwambia, u won't blackmail me, k**a Tyrone atataka kukusamehe na mrudiane, acha iwe kwa hiari yake. Sabina akajam akamwambia, naona wacoast wamekuharibu akili, acha nione k**a Saida atakua hata half a mum to u. Na akaleft.

Tinah alikam kuona Robert na kumuuliza, what makes u think that Annalisa is not playing u now? Mbona ujue tu kuhusu Kylian after all that long time and after she even convinced u that she can't conceive? Hadi hata akakuficha ameoleka na ulikua unasleep over huko daily πŸ˜†πŸ˜…. Robert akamwambia, I understand u, but to clarify my curiosity,nilifanya DNA test and it's 100% that Kylian is my son. Hadi akapea Tinah results, and Yes, Kylian is truly, Roberts son.

Ray na Saida wanajaribu kuongelesha Asha kwa kumsho, bado condition yake nbaya, hawezi kuwa discharged. Asha akawaambia, nawaelewa poa, pia nyinyi mnielewe, nitapona physically, what about my mental health? Ikabidi Saida na Ray wasalimu amri na kumwambia n sawa, tutaona venye unaezashughulikiwa ukiwa home.

Tinah ashaona results and she can't believe. Robert akamwambia, am sorry vitu zimekua hivi, sikutaka mambo iwe hivo. But at least u are in a better position to understand him. Tinah akamwambia, chenye sielewi ni, how comes out stories are similar? Tyrone akakuja na ikabidi Robert a change story after Tyrone ameuliza k**a kila kitu Kiko sawa. Robert akawaambia, Kuna shida kidogo, Asha wants to be discharged today. Tyrone akamwambia n sawa but make sure u go check on her any time uko free. Then Tinah akarequest Tyrone if they can talk in private, Robert karibu roho itoke🀣

Tinah alikam akaambia Tyrone, nimeona mum akitoka huku. Tyrone akamwambia k**a amekutuma kwangu, just forget about it. Tinah akamwambia I know, na mambo yenu sitaingilia. Tyrone akamwambia, and by the way am proud of u for standing up for your sister. Tinah akamuuliza, so unapanga nini na yeye, Tyrone akamwambia, unfortunately nothing coz hataki anything to do with me, but namwelewa. Tinah akamwambia, but pia mm ulinishtua. Tyrone aka apologize and Tinah akaenda kuona Asha.

Asha ndio anakua discharged. Robert aliwaletea dawa zake akaambia Saida, make sure umefwata prescription vile nimesema. But Saida akasonya na kumnyang'anya Robert dawa kwa mkono Hadi Ray na Asha wakashangaa, what's going on. Asha naye, huwa hanyamazi, hapo na hapo akauliza mamake, Kuna nini? Mbona Kuna tension kati yenu? Saida instead, akasonya na kuenda. Asha akauliza Robert, Kuna nini? Robert akasema, honestly hajui nini mbaya na Saida πŸ˜‚, hawezisema aty ni vile alitaka kusoma waraka wa Saida πŸ˜…πŸ˜… ndio asaidike Asha.

Robert aliwaaga na kuwaambia Ako na patients to attend to, akatoka , kufika kwa office, mbele yake, kimodaaa. Kefa amekam bila mtu kujua na ameingia office ya Robert. Ili kujua what transpired, tupatane episode 2.

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟐

Saida alitoka k**a amejam, hata Tinah anamuita but akapita k**a umeme. Tinah akauliza akina Asha, shida ni? Asha akamsho, Kuna kitu kinaendelea kati yake na Robert but akuna mwenye anajua what it is.

Robert anauliza Kefa, anataka nini na umeingia aje huku. Kefa akamsho, hii ni hosi na kila mtu anaezaingia, Na kitu inafaa uwe unajiuliza ni, what will happen to u, if u don't stay away from my family. Robert akamsho, hiwezikuja tu kwa office yangu unannounced na uanze kunithreaten. Kefa akadai, mm huwa sipeani threats, hiyo n last warning. Robert akamsho, kwanza ww na Annalisa took that chance from me of being a parent, so u don't decide mwenye Kylian atakaa naye. Kefa akamsho, unajua shida yako n moja, unataka tu penye vitu ziko mteremko, kwanza ulelewe watoto, wakue wakubwa ndio uje unataka kuplay a fatherly role. Kwanza alikua Celestine, now Kylian, ulikua wapi akihitaji school fee, food, and a father? Mm nlikua hapo. Roba akamsho, ningekua hapo k**a ww na Annalisa hamngenidanganya. Roba akamsho, it's only Kylian who will decide mwenye atakaa na yeye. Kefa akamsho, sawa, but when things go wrong, Don't blame me.

Kefa akitoka akapitana na Tyrone kwa mlango. Tyrone akauliza Roba, na huyu n nani? Robert akamwambia ni Kefa. Tyrone akamuuliza, now utafanya nini. Roba akasema, I don't care about k**a yeye ni kimoda ama apana, I will fight for my son. Tyrone akamsho, I agree with u. And I want to do the same for my daughter na nataka unisaidie, nataka uongee na Saida na Asha, they seem to listen to you, I really need them more than ever but they don't want to talk to me. Roba akamwambia, then fight harder. Tyrone akamuuliza, unamaanisha? Roba akamsho, Kuna Vitu kwa maisha lazima upiganie tu, there's no option, na si lazima wakusamehe but just talk to them at least wasikize your side of the story. Roba anasema hvo coz anajua hawezijaribu kuongelesha Saida πŸ˜€πŸ˜€

Finally, Asha ashafika home. Ray anamsindi Tinah arudi home. Ray anaapologise to Tinah coz ya kukosana na Mathew coz anaona kila kitu kilihappen coz Tinah anilikua busy na story za Asha. But Tinah akamsho, sio sababu ya Asha, the reality is, hatujakua tu poa, kwanza tangia ile story ya mapicha itokee. Ray akampa kahug na wakapart .

Asha anauliza mamake, nini kilihappen huko hosi. Saida akamwambia, si kitu serious. Asha akamuuliza, aje na uko so pi**ed. Saida akasema, Kuna kitu kilihappen, na nikijifanya Niko sawa, Robert atadhani ni vizuri venye alibehave. Asha akamuuliza, kwani alidu? Saida akamwambia, maneno ingine tuyaache venye iko, sitaki kuyaongelelea.

Finally, ni dinner time kwa Robert. Amenunua food na ni mob Hadi Kylian akamuuliza kwani tuna wageni? Immediately, kwa mlango, kukabisha mtu. Robert akamsho, fungulia mgeni, kumbe mgeni ni Tinah. Robert akamsho Kylian, I decided to invite Tinah, we have dinner together as a family. And finally, Robert na watoto wake, wamereunite, one big family wenye amelelewa na wanaume wengine πŸ˜‚πŸ˜‚, lakini Robert Ako na bahati , hajawaijua pain ya kulipa school fee, mtoi kungonjeka kila saa, chakula, mavazi wueeeh πŸ€—. Lakini yeye anadai, alifichwa, k**a angeambiwa mapema then angekua kwa life ya watoi wake. What do u say? Achia comment yako na tupatane kesho for extra updates na uchambuzi zaidi.

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ayana Citizen Updates and Fans posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category