Gideon prince

Gideon prince welcome

Huu wakati Alex Katombi 🤗 alkuwa anajiita Kisinga,,, Ngulumende🔥na uncle WA mitoto!!! Na sahii anajiita Simba!!! Ni lini...
13/03/2026

Huu wakati Alex Katombi 🤗 alkuwa anajiita Kisinga,,, Ngulumende🔥na uncle WA mitoto!!! Na sahii anajiita Simba!!! Ni lini Alkuwa anakubamba zaidii sahii ama before??

Kusema ukweli hii Luku ya shule ilimkubali Ruto ama Uhuru?
13/03/2026

Kusema ukweli hii Luku ya shule ilimkubali Ruto ama Uhuru?

Leo nataka nisafishe rada alaf nichafue tena app vipi??
13/03/2026

Leo nataka nisafishe rada alaf nichafue tena app vipi??

tukisema wakulima hodari tunamaanisha k**a Hawa🤣🤣😥😥
13/03/2026

tukisema wakulima hodari tunamaanisha k**a Hawa🤣🤣😥😥

Na Ruto unatuconfuse.
25/01/2026

Na Ruto unatuconfuse.

Katombi amesema "karibu nyimbo zote za Kimangu zimepigwa copyright, mke wake awache kushtaki wasanii eti wamepiga copyri...
25/01/2026

Katombi amesema "karibu nyimbo zote za Kimangu zimepigwa copyright, mke wake awache kushtaki wasanii eti wamepiga copyright za nyimbo zake."

Ameongeza kusema "zile pesa huyo mathee amelipwa hafai kuongezewa zingine in fact anafaa arudishe yenye amepewa na asikie aibu."

Maoni yako k**a shabiki ni gani kuhusiana na hii story ya wasanii kushtakiwa kwa kupiga copyright nyimbo za marehemu Musyoki (Kimangu)?????

"Kuanzia Leo nimepeana Ruhusa. K**a ukipiga copyright ya maima unaeza jijenga, please enda upige nimekupea ruhusa. Sitau...
25/01/2026

"Kuanzia Leo nimepeana Ruhusa. K**a ukipiga copyright ya maima unaeza jijenga, please enda upige nimekupea ruhusa. Sitaua talent inagrow. Sitakupeleka kortini" ~Kithungo Raha

follow Gideon prince

"Kitu moja inafanya naheshimu ken maria sana ni, ukiangalia wale watu wamepiga copyright zake ni wengi sana. But hajawai...
25/01/2026

"Kitu moja inafanya naheshimu ken maria sana ni, ukiangalia wale watu wamepiga copyright zake ni wengi sana. But hajawai wapeleka mahali. Juu alielewa kwamba mtu akipiga copyright inamaanisha anapenda ngoma zake" ~Kithungo raha

"Marieta, Naomba usamehe mbutu. Na ikiwezekana umrudishie hiyo 40k alikupatia. Niko ready kuita wasanii wote tukutafutie...
25/01/2026

"Marieta, Naomba usamehe mbutu. Na ikiwezekana umrudishie hiyo 40k alikupatia. Niko ready kuita wasanii wote tukutafutie ata 100k ama ata 1 million bila case kwa court. Ukitaka chochote kuwa unanipigia simu You have my number"~ Maima

"Justus myello alipiga copyright Ile ngoma yake inaitwa Musyai ya ngoma yangu inaitwa Nzyaitwe thinani na ata sijawai mp...
25/01/2026

"Justus myello alipiga copyright Ile ngoma yake inaitwa Musyai ya ngoma yangu inaitwa Nzyaitwe thinani na ata sijawai mpigia simu. Juu ukiona akipiga copyright ngoma yangu it means anapenda ngoma zangu." ~Kithungo Raha

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gideon prince posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share