Ngugi Antony

Ngugi Antony Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ngugi Antony, Digital creator, Naivasha.

Early Valentine preparations as we count hours to the BIG day.
13/02/2024

Early Valentine preparations as we count hours to the BIG day.

03/02/2024

Hii Kenya hakuna kupumzika. Unatoka kwa stress za pesa January unaingia stress za mapenzi February

29/01/2024

Plastic surgery ni how much mtu akiwa na plastics zake ?

Ukiwa pale base umejichocha kwa Mbogi unapigia Dem flani “Kitu” eti hiyo ni mali yako… Alafu upige akatae kushika, kidog...
02/12/2023

Ukiwa pale base umejichocha kwa Mbogi unapigia Dem flani “Kitu” eti hiyo ni mali yako… Alafu upige akatae kushika, kidogokidogo beshte yako mmoja aseme: “Wacha uone atashika yangu!”

Beshte yako (anampigia simu alafu anaweka loudspeaker): (Phone rings) Tuuuuuu tuuuuu tuuuuu (3 seconds later) the phone is answered: (Excitedly) “Aaaaaaaaaww my goodness sweetie saaaaaaasaaaaaaaaa! Yaaani leo umenikumbuka! Uko wapi nikuje right away! Aki I’ve missed you!”

Hapo ndio unajua Mapenzi ni Safari na huna fare, huna uwezo, huna nguvu. Unaamua kuambia DJ aweke ile ngoma ya Alikiba “Mahaba” alafu aweke ile part ya “Siku hizi hakuna mahaba, Mapenzi ya mkataba, Bora tu nimpende aliyonizaa, Mwenzako mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza….” na asifanye CHIKICHICHIKI hadi iishe💔😩😭😂

Mapenzi yanakutesa ukiwa pande gani?

Me: Keroka😩

Tumeingia ule mwezi unawezatumwa mboga urudi baada ya siku tatu ukiwa hata mboga yenyewe umeikunywa!!
01/12/2023

Tumeingia ule mwezi unawezatumwa mboga urudi baada ya siku tatu ukiwa hata mboga yenyewe umeikunywa!!

FACTS ABOUT THIS VEHICLE1. No owner of this truck is willing to sell it.2. If you can drive it, you can drive anything e...
24/11/2023

FACTS ABOUT THIS VEHICLE
1. No owner of this truck is willing to sell it.
2. If you can drive it, you can drive anything else.
3. Iko na kijiti refu ya kuturn side mirror.
4. It does not have airbags.
5. Direct injection.
6. Never follow them behind kwa mlima. Huwa zinarudi reverse.
7. They are mostly driven by old men.
8. They are mostly found pale Njiru area na Kayole junction.
9. They are mostly painted in one common colour like the one in the picture.
10. The turnboy automatically becomes the driver once the original driver retires.
11. Huwa na kamba hapo nyumba inakusaidia kuruka ndani
12. Dere huendesha akiwa na vest na ukimsalimia, turn man husalimika mahala pake
13.Hata mvua inyeshe aje na kukuwe na matope,dere haogopi kupita hiyo barabara
14.Side mirror ni kioo ya duka ya kijiangalia uso
15. Most of their drivers are over 50 years.
What else do you know about this truck?

The current state of the nation.
10/11/2023

The current state of the nation.

Kana Mwangi wa Iria arekererie therū cirìee Moses Kuria?
18/09/2023

Kana Mwangi wa Iria arekererie therū cirìee Moses Kuria?

That's it.
25/07/2023

That's it.

Gumzo mashinani.
24/07/2023

Gumzo mashinani.

Address

Naivasha

Telephone

+254721339424

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngugi Antony posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share