
03/06/2024
COMING SOON NEEMA Citizen TV
1.Selestinah Nyaghah
Kati ya waigizaji wa kipindi cha Neema huyu hapa dada mmoja mreeeembo. Wengi wetu tumemuona kwa runinga kwa adverts N hata vipindi kadhaa k**a Pete (NURU) . Huyu ndiye atakuwa main character kwa kipindi kizima cha Neema. Kwa wale wameona trailer, mnaona huyo Anatoroka na wedding gown ya black. Huyo ndiye Selestinah . Ako na dimples pia😍😍
Keep following us ili upate updates zoote kabla kipindi kuanza, kikianza na hata kikiendelea.