01/08/2023
I LOVE YOU๐
PART 1
Pale KITALE UNIVERSITY tulikafunga tukaingia Long holiday ๐.Nikabeba nguo zangu tano si ati nilichagua tu tano nilibeba zote๐๐.Zangu naweza beba kwa handbag zote plus jacket yangu ndani na Hadi ikose kujaa.Sasa nikaenda home kutulia tulia kule tukingoja long holiday iishe turudi shule.Ilikuwa on 1st May ndio siku Mimi niliishia home na we were to report back on September the date hatujui bado .Week one nikikaa home nikalala kwanza kupigia mwili pole juu zile kuamka 6 juu ya Classes za 7 from Monday to Friday hazikuniweka.Lakini kukaa home nayo bila kufanya kazi si rahisi.Ukifunga macho tu hivi kidogo unaona msoto inakuita๐, na unafaa kukaa mtandaoni kuchat kuona memes za watu ,kupost memes na Kuangalia vile watu wanafake life pale social media.Kwanza kufake social media huwa Sana K**a Mimi my pal pale home alikuwanga hana car na the only car alikuwa nayo Ni car-rot na car-roh ๐ lakini pale kwa mtandao alikuwa anapost Subaru na video zingine pale amefunika uso so utadhani Ni yeye.Kusota nayo alikuwa anasota hiyo nayo hainanga tafadhali ata kidogo.So nikaona juu msoto itazidi Sana wacha nisake kajob ata K**a Ni mjengo ama kwa Cyber Hadi ikiwa niyakupanguza keyboard kuitoa vumbi๐ฅบ.Nikaenda mjengo the following week on Monday at least nipate hiyo 400 Bob lakini weeeeh๐๐,ata siku maliza siku niliamua kurudi tu kwetu .Ile kazi watu wanafanya kwa mjengi si rahisi enyewe Dem akikula fare ya mtu wa mjengo ,huyo Hana huruma ata kidogo.Pale kwa mjengo unagongwa na mawe ,simiti inakuingilia kwa macho ,vumbi kelele za chuma๐คฆ๐ฝโโ๏ธ.Si Ile chuma hi mbao ๐nasema hii chuma ya kutengeneza Milango.Na pillar.
The following day sikuenda kusaka job coz nilikuwa nimechoka juu ya Ile kazi nilipatana nayo pale kwa mjengo.Nikaamu kutulia tulia masiku kadhaa.Nikaona msoto imeanza Sasa weeeh ,nikacall one of my friends alikuwa anawork kwa Cyber nikamchapia anifanyie connection pia Mimi nipate mahali pa kuwekeza kichwa.So akaniambia ataongea na boss wake then ata