21/08/2025
Jana niliona nyumba very beautiful Kwa umbali,,, nikaamua kuapproach nione vile Iko...😍🥰 Kwenda kuingia nikarealise Iko na milango kubwa sana🙆 nikaona hii itaua watoto na baridi wakihamia ndani 😢 alafu sikukaa ndani sana juu mabati yake ilikuwa inanyesha🙆 caretaker ananishow hii area kunanyeshanga siku nne pekee..aty naeza ngoja😢🙆 shida ingine ya hii nyumba niaty hakuna maji😢 sink, choo, kila mahali ni dry...hata nilijaribu kunyonya tap lakini wapi...haitoi hata tone LA maji🙆😢🤣 inabidi ukuje na yako. Ama ucheze na mate,,🤣🤣hii nyumba nikama mwenye alikuwa anaishi hapo alikuwa destroyer bwana..ama hii nyumba imeingiwa na watu wengi😢kawaida ya nyumba za kurent😢 anyway acha niendelee kutafuta nitapata nyumba mzuri well maintained na cheap.
Sina mengi ya kusema
K**a Bado unafikiria nyumba uko na kasoro
😢🤣🤣🤣🤣??🤣🤣🤣??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na nimeenda