Shiks Kihika

Shiks Kihika Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shiks Kihika, Digital creator, Nakuru.

As you sleep alone in this coldness, Remember you are the problem 🤦😂
20/05/2024

As you sleep alone in this coldness, Remember you are the problem 🤦😂

Its been loooong...Good morning everyone😂😂
20/05/2024

Its been loooong...Good morning everyone😂😂

Acha kujifanya unaficha mpoa tunajua hauna 😂😂
04/05/2024

Acha kujifanya unaficha mpoa tunajua hauna 😂😂

25/04/2024

A time like hii some years back nilikuwa na 250ksh mbele nyuma. So nikapatana na mkisii anauza avocadoes zenye hazijaiva. Kumuuliza ananiambia ati 3bob each. Mimi nikampatia 250 akanipea ofkado eighty na gift ya 20 more. Mimi nilidhani huwa zinaiva moja every day.
Kejani niliziweka kwa travelling bag yangu ju mamorio wangenimalizia.
After 10 days nilienda kuangalia nikapata mbili zimeiva. Mehn, I was so happy, adi nilienda kwa kibandaski kuchukua githeri. Avocado huslap na everything. Day two nikapata ovakado twelof zimeiva. Mimi niling'ang'ana hadi nikamaliza hizo twelof.
Day 3 nikapata thate zimeiva. So nilikuwa nakunywa chai na ofkado asubuhi, saa nne, lunch ugali na avocado saa kumi the same na jioni vile vile ni avocado.
The following day nikapata remaining 60 zimeiva. Hapa nikaona zitaniua, nikaweka Vaseline kando nikajipaka avocado. My skin was shinning brighter than the sun.
Nilijikaza pia zikaisha coz I were taught sio poa kutupa food.
Ati neighbors? Kaî wîna ngoma? Mtu adi hawezi kuanulia nguo kukinyesha nimpee avocado, siwezi 😅

Unaweza dhani umeona mengi kwa hii dunia, but ukweli ni hujawai ona advert ya nail cutter😂😂
21/04/2024

Unaweza dhani umeona mengi kwa hii dunia, but ukweli ni hujawai ona advert ya nail cutter😂😂

They always say men stays where they find peace but i would say women gives peace where they are treated right🤔🤔
15/04/2024

They always say men stays where they find peace but i would say women gives peace where they are treated right🤔🤔

I wish safaricom wangekua wanatuambia pia😏...Dear customer your beb is about to Sleep with someone else🤦,plz press 1 to ...
29/03/2024

I wish safaricom wangekua wanatuambia pia😏...Dear customer your beb is about to Sleep with someone else🤦,plz press 1 to Sent thunderstorms,lightening and Fire😀 to separate them🙆 or Press 2 to let them enjoy themselves😂😂🤣🤣🏃🏃🏃💔

Address

Nakuru

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shiks Kihika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shiks Kihika:

Share