Journalist Wilson KUYO

Journalist Wilson KUYO Wilson konene kuyo is passionate and aspires to become a great maa journalist.

Ukiukaji usalama GanzeJeshi la polisi nchini kupitia ofisi ya Inspekta jenerali limethibitisha kutokea kwa ukiukaji wa u...
24/05/2026

Ukiukaji usalama Ganze

Jeshi la polisi nchini kupitia ofisi ya Inspekta jenerali limethibitisha kutokea kwa ukiukaji wa usalama leo tarehe 24 Mei 2026 katika eneo la Ganze, Kaunti ya Kilifi, wakati rais William Ruto alikuwa akihutubia wananchi katika hafla ya shukrani ya katibu mkuu Fikirini Jacob .

Kupitia taarifa rasmi kwa vyombo vya habari, polisi walisema vikosi vya usalama vilichukua hatua za haraka kudhibiti hali hiyo na kurejesha utulivu, huku tukio hilo likitajwa kuwa la kuhatarisha usalama wa rais na taifa kwa ujumla.

Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja amesema tayari ameunda kikosi maalum cha uchunguzi kuchunguza kwa kina namna tukio hilo lilivyotokea. Aidha, mabadiliko ya haraka yamefanywa kwa maafisa waliokuwa wakisimamia usalama wa rais ili kuimarisha taratibu za kiusalama.

“Tukio lolote linalohatarisha usalama wa mkuu wa nchi halitavumiliwa na litashughulikiwa kwa uzito mkubwa,” sehemu ya taarifa hiyo ilisema.

Polisi pia wamewataka wananchi wanaohudhuria hafla za viongozi wa kitaifa kufuata kikamilifu taratibu za usalama zilizowekwa, wakionya kuwa yeyote atakayekiuka sheria atachukuliwa hatua kali za kisheria.

Jeshi la Polisi limehakikisha wananchi kuwa linaendelea kuchukua hatua zote muhimu kuhakikisha matukio k**a hayo hayajirudii tena nchini.

Name one woman you think is here in this book...
22/05/2026

Name one woman you think is here in this book...

22/05/2026
Nimefika: Tanga, Zanzibar, Sinza (nilipenda ndizi za Sinza), Morogoro, Ilala, Kinondoni (kumuona Mrisho Mpoto), Julius N...
15/05/2026

Nimefika:
Tanga, Zanzibar, Sinza (nilipenda ndizi za Sinza), Morogoro, Ilala, Kinondoni (kumuona Mrisho Mpoto), Julius Nyerere International Airport, Benjamin Mkapa Stadium, Chamazi (kuiona Azam FC)....
Je, wewe?

Mobutu Sese Seko, aliyekuwa rais wa Zaire (sasa DRC) kwa miaka 32 (1965-1997).Alijulikana kwa maajabu ya utawala wa kipe...
15/05/2026

Mobutu Sese Seko, aliyekuwa rais wa Zaire (sasa DRC) kwa miaka 32 (1965-1997).Alijulikana kwa maajabu ya utawala wa kipekee, ubadhirifu wa mali na sera za kipekee.

-Alipenda kuitwa Kuku Ngbendu wa Zabanga yaani “Shujaa mwenye enzi asiyeshindikana”

-Kila alipofanya ziara zake kwenda nje ya nchi aliondoka na wakuu wa majeshi wote pamoja na funguo za maghala yote ya silaha akihofia kupinduliwa na wakuu wake wa majeshi.

- Alipiga marufuku majina ya kizungu, mavazi ya suti na tai, na kubadilisha jina la nchi kutoka Kongo kuwa Zaire, pamoja na kubadilisha jina la mto Kongo na miji mingi ili kuondoa athari za kikoloni.

- Mobutu alijilimbikizia utajiri wa kati ya dola bilioni 5 na 10 za Marekani, huku nchi yake ikiwa miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani, na kumfanya kuwa mmoja wa viongozi fisadi zaidi barani Afrika.

-Watoto wake walipelekwa shuleni jijini Paris Ufaransa Kila Siku na jioni kurudi nyumbani Kinshasa kwa ndege ya Concorde.

- Alijenga ikulu ya kifahari ya kisasa yenye uwanja wa ndege wa kimataifa (kwa ajili ya Concorde) katikati ya msitu wa kijiji chake cha kuzaliwa, Gbadolite.

-Katika jitihada za kuhakikisha timu ya taifa ya Zaire inashinda Kombe la Dunia huko ujerumani 1974, inaarifiwa aliwaita wachawi na waganga kutoka kila pembe ya nchi, akawakodia ndege hadi Kinshasa, na kuwapeleka Ujerumani kuwaganga wachezaji.Siku ya mechi ya kwanza ilipofika dhidi ya Yugoslavia, Zaire walitandikwa 9-0.

- Aliamuru televisheni ya taifa ionyeshe picha yake akishuka kutoka mawinguni kila jioni kabla ya habari kuanza, ili kuonyesha mamlaka yake ya kiungu.

-Mwaka 1970, alifanya uchaguzi na kuwa mgombea pekee, ambapo kupiga kura ilikuwa lazima, na alipata 99% ya kura

Congratulations to Hon. David Ketter (Dollarline)On behalf of the leadership and membership, we extend our warmest congr...
15/05/2026

Congratulations to Hon. David Ketter (Dollarline)

On behalf of the leadership and membership, we extend our warmest congratulations on your election as the Member of Parliament-elect for Emurua Dikirr Constituency.

This resounding victory is a clear demonstration of the immense confidence, trust, and faith that both the electorate and the ruling United Democratic Alliance (UDA) party place in your leadership, vision, and unwavering commitment to public service.

As you embark on this noble journey, may you be guided by wisdom, integrity, and dedication to driving sustainable development and unity for the people of Emurua Dikirr. We wish you great success as you champion the aspirations of your constituents in the National Assembly.

Congratulations once again, Mheshimiwa!

13/05/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Titus John, Frolian Kamala

This is Prime Minister Jomo Kenyatta's first Cabinet Ministers - (1963)What can you identify?The first cabinet constitut...
10/05/2026

This is Prime Minister Jomo Kenyatta's first Cabinet Ministers - (1963)

What can you identify?

The first cabinet constituted of:

1. Prime Minister: Jomo Kenyatta

2. Ministry of Home Affairs: Jaramogi Oginga Odinga

3. Ministry of Justice and Constitutional Affairs: Thomas J. Mboya

4. Ministry of Finance and Economic Planning: James S. Gichuru

5. Minister of State in the Prime Minister’s Office: Joseph A. Murumbi

6. Minister of State for Pan African Affairs: Mbiyu Koinange

7. Minister of Health and Housing: Dr. Njoroge Mungai

8. Ministry of Education: Joseph Daniel Otiende

9. Ministry of Agriculture: Bruce McKenzie

10. Ministry of Local Government: Samuel Onyango Ayodo

11. Ministry of Commerce and Industry: Julius G. Kiano

12. Ministry of Works, Communication and Power: Dawson Mwanyumba

13. Ministry of Labour and Social Services: Eliud Mwendwa

14. Ministry of Natural Resources: Laurence Sagini

15. Ministry of Information, Broadcasting and Tourism: Ramogi Achieng' Oneko

16. Ministry of Lands and Settlement: Jackson Harvester Angaine

Wakalee tupu.

Na mgonjwa hajapona!Je, huu ni uungwana kweli?Hivi ndivyo Manchester City inavyoisukuma Arsenal kutoka kwenye uongozi wa...
10/05/2026

Na mgonjwa hajapona!
Je, huu ni uungwana kweli?
Hivi ndivyo Manchester City inavyoisukuma Arsenal kutoka kwenye uongozi wa ligi!

Address

Narok

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Journalist Wilson KUYO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share