13/08/2026
Wanaharakati wataka asasi za usalama kuwachukulia hatua za kisheria vijana waliovamia wanaharakati pamoja na wanahabari katika majengo ya bunge la kaunti ya Mombasa.
Wanaharakati hao wamesema,iwapo hatua mwafaka hazitachukuliwa dhidi ya vijana waliokuwa wamejihami kwa silaha butu,basi watafanya maandamano ya amani ili kushinikiza serikali kuwachukulia hatua za kiusalama vijana waliohusika kuzua rabsha ambapo watu sita wanauguza majeraha.
Listen MATI Radio [email protected]
ommunity