05/10/2024
ππ "pombe"kwa kweli pombe uburudisha na pia husunisha
Jana ilikuwa sherehe yakukata na sokaπͺ fundi wangu na bestety yake fundi pia after kufungua job kitu 5 hivi zi wakaniambia enda uoge Leo boss amesema 2mpate kwa mama sharoo
Mimi huyoπpaka kwa kija, nikapiga passport na kukimbia kwa mama sharoo ambaye n mama pima kufika 2 hivi kumbe mafundi walifika kitamboπ§βπΌπ§ββοΈna washaa pewa Moja Moja
Fundi wangu hakasema"mama sharoo pea kijanangu hiyo kubwa"Nikipea tu hivi boss π«
akafika
Boss fundi wangu hakapewa 5500 wapili pia na mie 2500
After boss kupenda sema sherehe kuanza Mimi nilikuwa nimechana ile mbaya saa pombe haingeniwesa.after one hour watu wangu, nilikuwa naona fungi wangu Wana dance na mama sharoo huku fundi wa pili alishaa doz na chupa mbili sa mie nikaeendelea kujitubu na zile chupa
Masaaπ¦yakufunga yakafika na watu wengine ambao wanajua jinsi ya kunywa pombe walikuwa wameludi kwa mabibi zao
Saa Mimi k**a mtu honest nkaona siwesi acha mabest wangu saa hikawa kuhome n asubui
So after one hour kumbe walikuwa washa doz saa nikasema acha nijiwekelee
Kidogo kidogo mama sharoo akaona gari hazifai kulala na msigo
So akaanza na fundi wangu akamtoa 4k huku akidhani 2lidoz wote na mchungulia tu wapili vile vile
Saa wakati wangu hukafika, akakuja vizuriii nakuingiza mkono kwa mfuko
So mie nik**ask kusema ukweli umesahau nilikuwa nimechana?