29/03/2024
Hakiye Kennedy Olilo Obura
Wakili wetu Masinde Michael ameteuliwa Rasmi na familia ya mwendazake Kennedy Olilo obura, k**a Wakili bomba, ili kuisaidia familia hiyo kupata haki.
Marehemu obura aliwauwa kikatili miezi mitano iliyopita kule pwani. Hadi sasa, tusemezanapo, haki haijatendeka kwa kuwa waliotekeleza uovu huo wako huru.
Obura mwenye umri WA miaka 33 alifikwa na mauti katika Hali tatanishi. Alipata mwaliko wa kuudhuria karamu Ila raha ikageuzwa karaha.
Tukio Hilo limesababisha kesi kufunguliwa kortini ili wahusika wakuu wak**atwe. Habari hizi zimetamba na kubobea kote, kwenye vituo vya habari humu nchni, Tanzania na hata duniani.
Akihojiwa na wanahabari, Wakili Michael wabomba alikuwa na haya ya kusema
"The family has appointed me as their lawyer in a quest to seek justice for their slain son.I was live today at Kazuri amor media in mombasa and Tanzania speaking about the case.I promised them I will not leave any stones unturned until they recieve justice.Justice for olilo. Justice is like a river, ever free flowing. U can never divert its course.
Amewahakikishia kuwa atashirikiana na wanahabari, wanaharakati na mahak**a Hadi haki ipatikane.