23/01/2026
βI had been having an affair na bibi ya mtu. But sikuwa najua ni bibi ya mtu.
βSasa usiku mmoja akaniita niende kwake. ilikuwa inasound off since hajawahi nishow niende kwake. si hupatananga tu kwa airbns na kupiga mechi kisha kila mtu anaenda kwake.
β
βBut this time akanishow niende kwake watoto walienda ushago. Mind you, uyu woman hajawahi nishow akona Bwana. Kumbe Bwanake anakwanga jeshi buana na anakujanga home after every 6 months.
β
βBut ii yote sijui, nilikuja kujua baadae, so mi nikadanganya bibi that iyo usiku boss amesema niende night shift. Akaniangalia as if something was off, but mwishowe akakubali.
β
βMi nikaenda kwa uyu wumans napiga smile k**a chizi. Kufika akanishow utakula kwanza ama utakula. . Mimi k**a morio alisomea school of midinyano primary school na nikaenda kibwenye secondary school which got me into university of madinyano to pursue a diploma in dinyology & ingizology nikasema ntakula ndo nikule.
β
βAfter mechi kadha wa kadha, k**a ningekuwa mluhya ningetumia neno ndiposa. But anyway baada mechi one, two, nikiwa kwa ile ya mwishow ndo tulale tuamkie morning glory, nikaskia footsteps approaching our bedroom, sorry their bedroom but already nilikuwa nimeambiwa ni sisi pekeetu, so sikuona haja ya kupanick, nikasema pengine ni akili yangu au ni panya zinafanya mambo tunafanya. Wumans uku chini analia, but sio kulia kulia. . anatoa sauti za kumtoa nyoka pangoni. In this case nyoka inaingia pangoni.
β
βGhalfa bin vu, punde si punde. Ng'ombe is ng'ombe. The door flung open. Nani ako mlangoni, jitu la miraba minne. Kwisha maneno. na nani ako kwenye mutu, of course ni mimi uchi wa mnyama. Yaani ata uwezi sema ulikuwa unafix tap. uwezi danganya ata ati ulikuwa unaoga ndo uende. Kitu iko ndani.
β
βNikajua tu apa ni kwenye kipindi cha lala salama.
βNiliskia tu 'what are doing with my wife?' after apo ni giza tu niliona. So sijui k**a alinigonga teke ama ngumi ama ni risasi, but haikuwa rasasi, hamngepata ii story. Ushawahi pigwa teke, kofi