20/02/2026
Rasta Business communityDjcomputer McdigitalOrangeDigitalOrange PREMIEROrange MoneyORANGE COUNTY, CA. Affordable housing tupate Njiru ward digital iebc Kenya π―ππ°πͺ tujitume hamna kazi yoyote ile rahisi tia bidii utatulia π
K**a kuna kazi huwa naogopa, ni mjengo π
π. Heri niende nikate miwa, niende shambani, but hii kazi hapana bana, eish! π K**a kuna viwete lazima nilishe kupitia hii kazi, heri wasimame wajisakie juu eeish π! Back in 2018, nilipiga hii kazi proper. Kwanza kuchimba foundation, nachimba, nachimba bila huruma.
Kuna time tulienda kujenga classroom flani huko sides za Chemelil (Kopere) . Foreman alikuwa mtu mwingine roho mbaya k**a paka aliyenyeshewa. That guy had a black heart like a female buffalo π
. Ungedhani aliamka on the wrong side of the bed, ama kabla atoke nyumbani bibi yake alimpatia slaps, ama usiku alinyimwa juu ile hasira alikuwa nayo haikuwa normal.
Back to my story, huyu jamaa hakutuwacha tupumzike. Hakuwa anakuambia ufanye kazi, lakini macho yake yalikuwa frightening. Alinikumbusha high school, yule chem teacher ambaye hakuwa anaita walianguka Paper 2. Angeingia class, aangalie wanafunziβ¦ ukifanya eye contact, unaenda mbele. Ukifika huko, ni vita kati ya majembe na mbavu destroyer π
π.
Long story short, tulifanya kazi hadi 19hrs usiku. Tulipewa extra money, but ili ushike namba ya kazi ya kesho, hapo ndipo lorry ya simiti iliingia. Una-offload cement kwanza, jina lako ndio liingie kwa kitabu cha kesho. Nashukuru sana siku hizi sifanyi kazi k**a hiyo tena ππΎ.
What's your worst experience k**a ushafanya mjengo?