This version of Facebook uses less data and works in all network conditions.
11/05/2024
Hi everyone 👋👋
06/05/2024
❤️❤️Kuna mrembo huku FB huwa namtamani sana hadi nazoom pic yake Niki💋💋, watoto Kwa boxer wananiambia tu si ufanye plan huyu akuwe tu mama yetu 😛uko wapi Leo sijakuona darling ❤️ama nimtag Sahi labda ni wewe ❤️❤️👈
12/04/2024
Leo nimeingia club nikaitisha Captain Morgan Mzinga😎🍾🍸But nikaona watu wameniangalia sana nikasema siwezi kunywa na watu wameniangalia😏so nikashout 🗣Waitor..Siwezi kunywa na watu wananiangalia pea kila Mtu Mzinga yake😎..Watu kuskia hivo wakafurahi🥳🤗wengine wakaanza kudance💃🕺Baada ya kila mtu kupewa pombe..nikaitisha Chips kuku😎🤓..Tena nikaona watu wananiangalia nikaambia waitor siwezi kula na watu wananiangalia..Pea kila mtu Chips kuku yake😎😎🤓wacha watu wafurahi🕺🕺wakaanza kuniita majina poa poa eti ooh Mkuu..Ooh our incoming President👉..wewe ndio budah boss sasa💪💪🤗...
Baada ya kumaliza kukula nikiitisha Bill nikaona tena watu wote wakaniangalia🙄..Nikashout🗣..Waitor Siwezi lipa na watu wameniangalia..pea kila mtu Bill yake😎🤓...Sai vile naongea hivi sina Meno Nne kwa mdomo wakuu😭😭😰wacha nipakwe dawa narudi kumalizia story🤕🤕. Simon xado ke
12/04/2024
Aki binadamu wewe utaniua nakupenda
12/04/2024
STUPID QUESTIONS WELL ANSWERED
Q: Unaenda tao na hii mvua?
A: Hapana naenda na ile ingine.
Q: kwani umesukwa nywele?
A: Hapana nimechange kichwa.
Q: Kwani gari imeanguka?
A: Hapana ni dere amepack upside down.
Q: How was your night?
A: sijui nilikua nimelala
Q: Hiyo gazeti ni ya leo?
A: Hapana niyangu.
Q:(HOD)...Umemwona prefect?
A:(stude)...Hapana sikua namtafuta.
Q: News leo zinasemaje?
A: Sijui sijaongea nazo!.. 🤣🤣QuQuick loans
Be the first to know and let us send you an email when SIMON XADO Ké posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.