11/05/2026
Kuna siku nilirace msee wa Alto na Wingroad yangu kutoka Isiolo hadi Nanyuki. Jamaa alinipita mlima ya Kisima nikafeel k**a nimesimama tu kando ya barabara 😭. Kufika juu nikampata amepark Timau anastretch magoti vibaya sana. Nikapark pia, nikaanza kutafuta fire extinguisher juu engine yangu ilikuwa inawaka k**a jiko 😅”