24/11/2024
😭😭😭kumbe kukaa na dem lazima mkule breakfast daily.😢 alichukua my favourite towel akaifanya duster aty juu nimeitumia for 9 years.😭huskii hadi nimetafutiwa uniform za kulala. 🙄actually nilidhani fruits ni za harusi ama christmass..😂saii nazikula daily k**a mgonjwa.🫢
Bana shopping ni mara mbili kwa wiki na blueband ni lazima, 🙄nilikuwa nimezoea kitunguu na nyanya then royco..saii nimejua spices zote hadi puplica 🫢sijui mawat. kwanza nalalia pillows za pink. 🙆kitu ingine hanunui nyanya za 10 na kitunguu moja...anaokota kila kitu kwa kibanda bana⛹️⛹️⛹️ nilidhani kuoga ni sabuni ya kipande na kagunia..msee nilibuyiwa gloves na scented soap..naoga k**a chiwawa😂😂🙆then glass zangu za maji zilitupwa zote na vile hizo yoghurts zilikuwa expensive plus kuosha hizo mikebe🤔🤔
introducing towel in my house was the greatest shock, nilizoea nikimaliza kuoga najitingiza k**a mbwa nakauka😂⛹️ I thought mtu huoga akienda town but guess what naoga ata nikienda kulala....Hadi nmeanza ata kukuwa brown brown😂😂😂
☺️