Kididifm

Kididifm Located at Taveta Town Amal plaza first floor. It has a great potential to grow and be among the top not only within the county but the coastal region at large.
(1)

As a brand ,we have commanded a huge following and growth of listenership.

30/04/2024

20 years of CDF,...Swala Komavu,
Jee umeona manufaa ya kuwepo Hazina ya ustawishaji Wa maeneo Bunge (CDF).CDF Imesaidia vipi eneo Bunge lako.

Sms 0769 653858
Call 0798 131924

Je yaliyoandikwa hapa ni ya kweli?
18/10/2023

Je yaliyoandikwa hapa ni ya kweli?

Tunahuzunika kutangaza kifo cha Aliyekua MCA Mteule katika Kaunti ya Taita-Taveta Bi. Constance Mwandawiro. Tutazidi kuw...
24/08/2023

Tunahuzunika kutangaza kifo cha Aliyekua MCA Mteule katika Kaunti ya Taita-Taveta Bi. Constance Mwandawiro.

Tutazidi kuwapasha habari zaidi kuhusiana na Mipango ya kuupumzisha mwili wa mpendwa wetu.

14/07/2023

Kwenyu Kuna First Aid Kit Au Ukijikata Kidole Ndio Unanyonya Damu K**a Vampire?😂😂.

Una Maoni gani kuhusu Bei mpya ya usafiri wa Magari ya abiria Mombasa?
08/07/2023

Una Maoni gani kuhusu Bei mpya ya usafiri wa Magari ya abiria Mombasa?

07/07/2023

Leo ni siku ya Kiswahili duniani,

Methali moja ya Kiswahili tukisonga.

05/07/2023

Kuku tu!!
Police in Uriri,Migori County are probing an incident where a man died by su***de after his wife reportedly refused to cook chicken at their home .
Nyaobe Assistant Chief John Atonya said the 45-year-old locked himself in their house before setting himself on fire.

Hapa nini kinaendelea?
03/07/2023

Hapa nini kinaendelea?

Kipindi Cha Kwanza Kinakamilika katika uga wa Taveta Sisal, Wananyuki FC wakiwa wamewalowesha Taveta Sisal mabao mawili ...
01/07/2023

Kipindi Cha Kwanza Kinakamilika katika uga wa Taveta Sisal, Wananyuki FC wakiwa wamewalowesha Taveta Sisal mabao mawili Kwa nunge.... Kaa karibu na Kididi FM tuzidi kukudokeza yanayojiri. Nashi Pai

Taita-Taveta county,Taveta sub county Jipe Division Kimala location.Imeripotiwa polisi mmoja aliweza kumpiga mwenzake ri...
29/06/2023

Taita-Taveta county,

Taveta sub county
Jipe Division
Kimala location.

Imeripotiwa polisi mmoja aliweza kumpiga mwenzake risasi kabla kujifyatulia na kujiumiza.

Uchunguzi umeanzishwa dhidi ya kisa hicho.

(Wahusika wakiwa katika picha ya pamoja kitambo kidogo)

  Shighana Nabho...
27/06/2023

Shighana Nabho...

Shighana Nabho is a taveta traditional love song.

Kipindi Hewani ni Club Kididi na Papaa Nashi Pai Hadi Sita Usiku... Tuma Request yako Kupitia 0790336226.
23/06/2023

Kipindi Hewani ni Club Kididi na Papaa Nashi Pai Hadi Sita Usiku... Tuma Request yako Kupitia 0790336226.

Address

Taveta
Taveta
80302

Telephone

+254790336226

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kididifm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share