14/11/2023
𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟏𝟒𝐓𝐇 𝐓𝐔𝐄 𝐍𝐎𝐕
Follow sir david
Kumbuka kuweka LIKE mkuu
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Martha na Lexy washamaliza kupika vitumbua na ni tamu sana hadi Junior anakula nne nne mamake akamwambia come on Junior, kwani ukona tumbo nne k**a Pauloh,aah I mean ng'ombe😂😂 Trisha kuna venye hafeel venye Lexy anasifiwa hadi akaambia Martha maaam, unapea Lexy attention mob sana unatusahau sisi.
Baada ya dakika,Tito alikuja akawaambia wasee,asanteni sana kunijali na kunipa pahali pa kulala but its my time nijitoe. Lexy ashafika kwa familia yake acha mimi niende nitafute nasaba yangu. Lexy hakufeel hii risto,akakuja kuongea na Tito akawambia please,usiende,sifeel safe na hawa waseee. Tito alimwambia itabidi uvumilie,ni familia yako na its about time yafaa ujue what next unataka kwa maisha yako, ima kuanza maisha yako,kuanza biashara ama ukae hapa ukule mamillion za madhe yako. Lexy aliwambia ni sawa,but usinisahau na nitakua nakuja kukutembelea.
Tito alirudi akaambia Martha mimi itabidi niishie kiasi. Martha akamwambia basi kunywa chai kwanza but Tito alikataa,akamwambia siku ingine mum. Sikiza,Tito haendi ju anataka kuenda,anaenda ju Trisha aliongea na yeye. Tito alimhug Lexy akamwambia kamrembo,siku ingine kisha huyoo Tito akajitoa. Punde si punde, Junior akapigiwa simu kuangalia ni Shan,ikabidi aache kukula na akaambia madhe,anaenda shughuli he will be back. Martha pia kuona Tito ameenda na Junior ameenda,akaambia Lexy,sisi pia tuondoke tutembee tutarudi supper na hata akaambia Becky asiwaweke kwa hesabu ya lunch. Trisha atabaki na Becky peke yao huku.
Sanchez akiwa kwake amelala,alibishiwa mlango,akashindwa sana nani anabisha kufungua mlango,ni Tito. They are friends,they are more than brothers na ilikua raha na furaha ya Sanchez kumuona Tito tena,kisha akamuuliza bro,nasikia siku hizi uko kwa mababi unaamkia smokie tu? Tito akamwambia manze huko kwa mansion hakuna amani,na mimi imebidi nirudi mtaa. Tito alimuomba Sanchez msamaha venye alimuongelesha il