Ramzy 254

Ramzy 254 The C.E.O Hyper Entertainment specializing in the field of promotion underground musicians.Am read to work with everyone who is talented n serious.welcome

15/02/2025

Niko Hai

DECEIT 🎞️
31/07/2024

DECEIT 🎞️

Happy Birthday dear  ❤️ 🎉🎉 Allah akupe maisha marefu 🤲
21/07/2024

Happy Birthday dear ❤️ 🎉🎉

Allah akupe maisha marefu 🤲

Na sio lazima mpenzi wako akija nyumbani mfanye Mapenzi, mda mwengne mtembeze hata makaburini umuoneshe sehemu utakayomz...
28/06/2024

Na sio lazima mpenzi wako akija nyumbani mfanye Mapenzi, mda mwengne mtembeze hata makaburini umuoneshe sehemu utakayomzika siku akikusaliti.

Usiku mwema.

 you made my weekend. Cinema iendelee kutamba.Big up sana kwa team yote
07/05/2024

you made my weekend. Cinema iendelee kutamba.

Big up sana kwa team yote


Weekend yangu ilikua poa sana kupitia Gumzo CBO kwa mara ya kwanza nliangalia filamu iliyokua produced na watu wa Diani ...
07/05/2024

Weekend yangu ilikua poa sana kupitia Gumzo CBO kwa mara ya kwanza nliangalia filamu iliyokua produced na watu wa Diani nikaburudika.

Quality nzuri, Story safi, Uhalisia upo, yani Huwa natamani Kila siku nione nasi tunatengeneza filamu zenye viwango sio tu Drama.

Nadhani ni mda sahihi sasa k**a producers na directors kutoka Diani kusema ni marufuku kufanya kazi ambazo hazina viwango.

Tunaweza na inawezekana filamu ya ni kioo tujifunze tuache ujuaji mwingi na unyanyasaji wa wasanii chipukizi ili tuwe mbali zaidi upande wa sanaa. Tutizame mbele zaidi.

Hongereni , Juma Shibe, Kelechi Africana Bibby Ntebe Sophia Juma kazi nzuri sana.

Ikitokea ndio nmepitia kwenu mtaani umeniona salamu ya kwanza itakua gani?
23/04/2024

Ikitokea ndio nmepitia kwenu mtaani umeniona salamu ya kwanza itakua gani?

May 4th, All roads to Diani Beach   for   Movie launching.Oi  wamekuletea bonge la filamu hii sio ya kukosa wadau.
20/04/2024

May 4th, All roads to Diani Beach for Movie launching.

Oi wamekuletea bonge la filamu hii sio ya kukosa wadau.

Address

Diani Beach
Ukunda
80401

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ramzy 254 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ramzy 254:

Share

Category