Shampuz Media

  • Home
  • Shampuz Media

Shampuz Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shampuz Media, Media/News Company, casuarina, .
(2)

Shampuzy Media ni Kampuni inayokuletea dili kibao k**a.
1.Documentaries
2.Films/short films
3.music videos
4.Photoshoot
5.Advertisements
6.Business Promotions
7.Interviews
8.weddings
9.Birthdays/ Baby bumps /Bassh

Legendary na mwanzilishi wa Mwanzele leo Amepata ajali na kufariki baada ya kugongwa na gari matsangoni...Huyu ni babu y...
17/09/2025

Legendary na mwanzilishi wa Mwanzele leo Amepata ajali na kufariki baada ya kugongwa na gari matsangoni...
Huyu ni babu yake Mitaa Kisauni na atakuwa anazikwa kesho Matsangoni..

If your peace depends on their words , You are still a PRISONER...
17/09/2025

If your peace depends on their words , You are still a PRISONER...


Goodnight Wapambanaji....
16/09/2025

Goodnight Wapambanaji....

Meneja wa Harms Munga Lin Kalin leo Anasherehekea Siku ya kuzaliwa..Unamwambiaje leo?
16/09/2025

Meneja wa Harms Munga Lin Kalin leo Anasherehekea Siku ya kuzaliwa..

Unamwambiaje leo?


Muunda Maudhui Presenter Kai kumchukulia hatua kijana ambaye amekuwa akitengeza picha zake pamoja na Mke wake  Diana Yeg...
16/09/2025

Muunda Maudhui Presenter Kai kumchukulia hatua kijana ambaye amekuwa akitengeza picha zake pamoja na Mke wake Diana Yegon kwa njia kuwa wapo kwenye mahusiano wakati Kai yupo safarini Tz..

Tazama alivyoandika..

"Tunawapenda sana na kuwaheshimu mashabiki zetu ila sio kwa kutukosea heshima namna hii. Nimekuwa mngwana hata kumwambia awache ila hajasikia sasa wacha sheria imshughulikie. Hatutakubali kuharibiwa images putting in mind we represent so many companies. Ikawe funzo kwa watu wote.""

Unadhani ni hatua nzuri amechukua ili kukomesha tabia k**a hizi?


Hapa  Nilikuwa nakumbuka nilimpea Warning na mapema Aidah Munzatsi Asiingie baharini na kitu fulani cha dhamani..Wacha u...
15/09/2025

Hapa Nilikuwa nakumbuka nilimpea Warning na mapema Aidah Munzatsi Asiingie baharini na kitu fulani cha dhamani..Wacha utaona kitu alipoteza 😔 😟 Inaumaa sana ata Esther Maingi Official bado hajaheal 😄

When you can't celebrate someone else's success, you're telling yourself you can't have it either.. Ps Fikirini Jacobs  ...
15/09/2025

When you can't celebrate someone else's success, you're telling yourself you can't have it either.. Ps Fikirini Jacobs


Leo Meneja kasema Apige Kimijikenda.. Amependeza Hajapendeza??Esther Maingi Official Shampuz Media  Dressed by  Dhahabu
14/09/2025

Leo Meneja kasema Apige Kimijikenda.. Amependeza Hajapendeza??

Esther Maingi Official
Shampuz Media
Dressed by Dhahabu

SIMANZI BAADA YA MWANAFUNZI WA KIUME KUFA MAJI VIDADZINI BEACH ,KILIFI KAUNTI !Majonzi Baada Ya Mwanafunzi Wa Chuo Kikuu...
14/09/2025

SIMANZI BAADA YA MWANAFUNZI WA KIUME KUFA MAJI VIDADZINI BEACH ,KILIFI KAUNTI !

Majonzi Baada Ya Mwanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Pwani University Kufa Maji Maeneo Ya Vidadzini Beach, Kaunti Ya Kilifi Nchini Kenya.

Mwanafunzi Husika Wa Kiume Alipoteza Maisha Alipokuwa Akiogelea Baharini Na Wanafunzi Wenzake. Juhudi Za Kumuokoa Zilitumbukia Nyongo Hata Baada Ya Ambulensi Kufika Katika Eneo La Tukio Ili Kutoa Huduma Ya Kwanza.

Hali Hii Iliwalazimisha Wahusika Wakuu Kusubiri Ujio Wa Polisi Na Kitengo Cha Upelelezi Nchini Maarufu K**a DCI Ili Uchunguzi Wa Kina Ufanyike Kuhusu Tukio Hilo .

Picha / BongaTube Media
Subscribe Kwa YouTube Channel Zetu Habari 254tv Na

Some of you don't clap for others that's why it will never be your turn 💯...Hamso Shupav
14/09/2025

Some of you don't clap for others that's why it will never be your turn 💯...

Hamso Shupav



Jumapili yako unaitumiaje? Kwenda Kanisani,Kupumzika, kwenda Baharini,Shamba Mangweni ama kufanya nini? 😄.
14/09/2025

Jumapili yako unaitumiaje? Kwenda Kanisani,Kupumzika, kwenda Baharini,Shamba Mangweni ama kufanya nini? 😄.


Hawa ni Baadhi ya wasanii na wadau wa sanaa wanaotarajiwa kufika katika Uzinduzi wa ngoma ya  P Day Hurrikane  Katsopole...
14/09/2025

Hawa ni Baadhi ya wasanii na wadau wa sanaa wanaotarajiwa kufika katika Uzinduzi wa ngoma ya P Day Hurrikane Katsopole ,Rama Music, Salonga ...Uzinduzi huu utafanyika The Yatch Lounge Mtwapa..


Address

Casuarina

Telephone

+254718147652

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shampuz Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shampuz Media:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share