BAYAN TV NEWS

  • Home
  • BAYAN TV NEWS

BAYAN TV NEWS Bayan TV News covers a wide range of topics, including News, politics, business, sports, entertainment, Contact � 0715087219/0724128866

22/08/2025

Supkem Yakashifu Matamishi Ya Baadhi ya Wabunge kutoka Mkoa Wa Kaskazini Mashariki huku wakiwahakikishia Mahujaji huduma salama na za haki.

22/08/2025

Public participation on the Annual Development Plan 2026/27 was today held at the ICT Hall in Wajir. Residents applauded the county government for progress made, but urged more focus on health, agriculture, and farmer support to boost livelihoods.

22/08/2025

Shacaabka Maagalada Wajeer ayaa ku eedeeyay xildhibaanada Waqooyi Bari in ay ku guuldarreysteen soo jeedinta mooshinno baarlamaanka hortiisa tan iyo markii la doortay. Waxay sheegeen in shacabka ay la daalaa dhacayaan dhibaatooyin badan balse codkoodii aan lagu matalin golaha.

Sidoo kale, Shacabka ayaa ku booriyay madaxda in ay wax ka qabtaan tahriibkaa dhalinyarada.

21/08/2025

Rais William Ruto amesisitiza kuwa kuna wabunge wanaotumia k**ati za bunge kwa vitendo vya ukandamizaji na ulaghai.

Mwanahabari wetu Najma Issa anatuarifu zaidi.

20/08/2025

Kutana na Britney Nyaboke Sagana kutoka wajir, msichana mwenye umri wa miaka Ishirini (20) ambaye alifuzi kujiunga chuo kikuu cha kenyataa sasa masomo yake iko hatarini kutokana na ukosefu wa karo.

Ili kusaidia Britney, tafadhali wasiliana na mama yake, Eunice Nabiba kupitia nambari ya simu: 0723145175.

19/08/2025

Farmers and livestock keepers in Griftu today welcomed the launch of Northern Vetmart branch.

No more long journeys for medicines,all essential animal and farm treatments are now closer to the community. With professional guidance available, farmers can ensure healthier livestock and better harvests.

The community appreciates this step that saves time, money, and boosts productivity.

18/08/2025

Hooyada Da'ada ah Ee la Timid Hal-Abuur Wax Tar leh Balse Wayday Garab istaag iyo Dhiiragallin.
‎Cid kasta oo rabta inay gacan ka geysato taageerada hoyo Amina Xassan, fadlan kala xiriir ‎0726958853

18/08/2025

Jamii ya Galjacel, ambayo ni sehemu ya jamii kubwa ya Kisomali katika Kaunti ya Wajir, imejitokeza kutaka ushirikishwaji zaidi katika uongozi wa kitaifa na wa kaunti. Katika kikao kilichofanyika hoteli ya I-Mall Kaunti ya Wajir, jamii hiyo ilisisitiza haja ya uwakilishi wa haki na usawa. Wakati huo huo, Sultan Mukhtar Abdi Muhammad alitawazwa rasmi kuwa kiongozi wa Galjael, hatua ambayo viongozi na wazee walisema ni mwanzo mpya wa kuimarisha mshik**ano na kuongeza sauti yao katika masuala ya uongozi.

18/08/2025

Waziri wa Afya Aden Duale ametoa wito wa kupanuliwa kwa mchakato wa fidia unaoendeshwa na serikali kwa waathiriwa wa mauaji ya Wagala (1984 – Wajir), Malk**ari (1981 – Mandera), na Gubei (1981 – Garissa) ambayo kwa kiasi kikubwa yanaaminika kuendeshwa na serikali.

16/08/2025

Wajir County Commissioner Karuku Ngumo (center), Sub-County Police Commander Leo Ali (left) and Administration Police Commander David Nyadera (right) addresses residents during a security meeting in Barwako, Wajir East Sub-County.

15/08/2025

Elders from seven pastoralist communities in northern Kenya have pledged to end cattle rustling and promote peace.
During a forum at West Gate Conservancy in Samburu by Impact Kenya, they agreed to share grazing resources, respect boundaries, and discourage cross-border livestock movement to reduce conflicts.

Our reporter Najma Hajir has more.

14/08/2025

Wakazi wa eneo la Madogo, Kaunti ya Tana River, wanaitaka Idara ya Huduma za Misitu (KFS) nchini kufutilia mbali ilani iliyochapishwa katika Gazeti Rasmi la Serikali mwaka 2013, inayotangaza eneo hilo k**a sehemu ya msitu wa serikali. Wenyeji wanasema ilani hiyo imekuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo yao na imesababisha kunyanyaswa na maafisa wa KFS.

Katika mkutano uliofanyika leo, wakazi walieleza kuwa maafisa hao wamekuwa wakitumia ilani hiyo kuwafukuza na kuwahangaisha, licha ya kuishi katika eneo hilo kwa vizazi kadhaa.

Mwanahabari wetu, Najma Issa, anatuarifu zaidi.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BAYAN TV NEWS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BAYAN TV NEWS:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share