SokaKambi is an Agent of Hope, Vibrant Platform of Entertainment and Informative Football Show.
(1)
06/07/2025
Hi Cousins 👋 Hi Macuzo 👋 watengezaji Jezi Wakimi Concepts Watho wana wakaribisha Changamwe Rollers wa familia yetu inayo kua Kwa Kasi katika nyanja. Hebu watembele ili timu yako iwe na mwenekano wa kipekee viwanjani. Shukran sana Kwa kutuamini na kutupa fursa hii.
23/06/2025
Shukran sana Mbaraki Pirates for your trust in Wakimi Concepts Watho to actualize this jersey vision to reality. Rafiki kindly check out the link for your sample design creations. Thank you.
01/06/2025
Toleo la 002 hili hapa kwa wanaspoti waliolikosa wiki iliyopita. Tegea Alhamisi hii Kwa toleo la 003 pata nakala yako Kwa wauzaji wote wa Daily Nation Newspaper Kwa shilling 40/= support vijana wenu Na Mungu Awabariki.
29/05/2025
Tolea la 001 hili hapa waanaspoti gazeti letu Kwa wale hawakulipata wiki iliyopita sasa tafuta nakala yako ya leo Kwa muuzaji yeyote wa Daily Nation Karibu nawe.
10/05/2025
Shukran za dhati kwa mashabiki waliojitokeza kwa wingi Mjini Malindi (Alaskan) kwenye mechi ya Yanga dhidi Mombasa Allstars.
Tukutane Kesho 11/5/2025 Kwenye mechi nyingine Kubwa panapo majiliwa.
NOTE: Watu 50 wa kwanza kufika Uwanjani watapewa Gazeti La SokaKambi Bila Malipo...!!!
03/05/2025
Shukran sana wanaspoti wenzangu Kwa support yenu ni muhimu tutiane nguvu wakati mwenzako anapo fanya jambo ndio wakati wako ukifika pia utataka support yetu ok. Ambia mwenzako mzigo ushafika unapatikana Kwa muuzaji wa Daily Nation Newspapers.
01/05/2025
🚨🚨 Hatimae Mwenyezi Mungu Atukuzwe Kwa kutuwezesha kufanikisha maono haya. SokaKambi tunawaletea gazeti letu rasmi la michezo kuanzia kesho 3/5/2025 na Kila Jumamosi ya wiki. Kwa shilling 50/- tu pata nakala yako na upate habari na burudani safi. Shukran sana Kwa support yako. Lina patikana na wauzaji wote wa Daily Nation Newspaper.
Football Kenya Federation
Malindi Kenya
KAKA Jabali pixels
Kilifi Department of Youth Affairs and Sports
Athman Dena
Msenangu FM
Claudius Imboha Salamba
Allan Jilani
Ogutu Atata
Wakimi Concepts Watho
Wakimi Sportwear watengenezaji wa jersey namba moja na bidhaa za Mashabiki Kwa muonekano bomba hebu wachungulie kupitia link hapo juu nikuzima moto na mafuta taa.
04/03/2025
Mungu Ndie Anatuwezesha siku zote. It's been a while but we are back and this is our seal of trust moving forward and we say.....
09/10/2024
Mwenyekiti Tom Lango atoa sababu za kujiondoa kinyanganyironi.
Video by: KAKA Jabali pixels
09/10/2024
🚨🚨🚨 Chairman Tom Lango mgombea wa FKF Kilifi County ajitoa kwenye kinyanganyiro
⚔️ Juzi kuamkia jana saa tano usiku vijana zaidi ya 10 walio jihami Kwa mapanga na pipes wamvamia kwake Nyumbani na kumpa vitisho vya kumdhuru akiwa na familia yake.
⚔️ Wasisitiza "huku chini kiti Cha Sub-County hawana shida naye ila kiti Cha juu kiwachiwe wa Mijikenda wenyewe arudi Kwao Kisumu apiganie huko".
⚔️ Iwapo hata Wacha au atatumana makaratasi yake Nairobi Kwa bodi ya Uchaguzi watarudi na hatopenda.
⚔️ Tayari asharipoti polisi na kupewa OB.
⚔️ Uwamuzi huu wakujitoa ulifikiwa baada ya kikao cha familia ulio mwomba awachie wenyewe waendele na aliwaomba wapiga kura kuwa makini na watakao wachagua.
Be the first to know and let us send you an email when SokaKambi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.