12/29/2025
wanawake hutaka nini aki... Hampendi mtu na bado anamtembelea tena pekeyake. Si angebaki tu kwao... ๐ค
"Malkia hide id, Nilienda kwa beshte yangu boy hii chrismas kumtembelea so mimi kuamka asubuhi kitu nakumbuka tu ni akinipea soda nikakunywa. Sa nilishangaa naamka napata natoa damu huko chini na haikua periods na pia nilikua nahisi uchungu sana na sikua na panty, kumuuliza akaanza kusema ati ilikua mutual mimi pia nilitaka tukulane but mi najua alinicheza niile sina evidence. Niliskia vibaya ju sa hivyo ndo ashani-break virginity na sikua nadai ju hadi simpendi. Sa sijui nifanye nini aki, nikisema ni kumshtaki sina evidence of r**e. Nifanye aje nisaidieni ju hii kitu imenitraumatize sana."
Wadau, tusaidieni huyu dem, nyi mnaona afanye aje?