26/10/2025
Yesterday At 6:30 tukiongea na nzomo alitaka pesa ya mafuta kwa sababu ya usafiri wakuja kazini kaloleni.
8:45 nikimpigia kutaka kujua k**a amefika ..hakushika
9;45 nikapiga hakushika
10;37 nikampigia hakushika..nikamtxt kumuuliza k**a amekwama wapi..hakujibu
11:43 nikampigia nikirndelea kua na wasiwasi chombo chake kiliikua kinapigwa na Andrew G
Hakushika lakini Kuna mtu alishika akajitanbulisha k**a afisa wa traffic..nikashtuka kujiuliza atakua ameshikwa kwa kosa Gani nikakata simu kidogo Kisha nikapiga Tena
11:44 nikamuuliza afisa wa traffic shida Iko wapi..akaniuliza namuitaje mwenye simu.
Nikajitambulisha ..afisa wa traffic akaniambia kijana amepata ajali.
Nikamuuliza k**a majeraha yake vipi na Yuko spitali Gani..akasema ameaga Dunia Yuko chumba chakuhifadhi mwili kilifi.
Nikakata simu sikuweza kujizuia.nikaacha kuimba nikawaambia vijana waendelee
Nikamuuta matata na sadiki na Shaban Mtambara pamoja na Susan tukajadili na kukubaliana yufunge kazi saa tisa ili tukahakikishe maafa ya nzomo.
Niliendelea kuwasiliana na afisa wa traffic kupitia simu mwendazake angalau aniambie kua niutani ,sio kweli lakini alishikilia kua mwenye simu kaiaga Dunia.
Asubui tukafika kilifi pamoja na band members wote..nikawasiliana na ndugu wa marehemu tukaenda pamoja Hadi makavazini..na kweli nzomo alishalala usingizi mzito ..hasikii..hatingishiki..hata nikimuamsha Bado haamki😭😭😭
Tumeenda Hadi kilifi roka..kwao nyumbani
Tukikutana na familia na majirani.
We KAYA are mourning 😭
BANGO fans and all bands and all musicians are mourning.
Ule utu ukarimu wako ucheshi bro ucha Mungu
You died a hero..ukiwa njiani kuja kutafuta mkate wa siku😭😭
Nitawajuza siku ya kumsitiri nzomo
It is well
Mola ailaze roho yake pema palipo na wema
Ni pigo..nihuzuni ila kazi ya Mungu Haina makosa.
Tuweni pole sote.
Aliandika Chilibasi