News Kwote

News Kwote WE BRING YOU CELEBRITY, POLITICAL AND ENTERTAINMENT NEWS. (photos, gossips, videos)

FOLLOW FOR MORE UPDATES
(1)

"Nairobi tulikujia mang'ondo, background ndo ikatuforce tujitume." Khaligraph Jones goes hard on "Risk" ft Nyashinski of...
07/04/2025

"Nairobi tulikujia mang'ondo, background ndo ikatuforce tujitume." Khaligraph Jones goes hard on "Risk" ft Nyashinski off his new album, "The Book of Jones Album".

Mato comedian  chilling out with friends
05/04/2025

Mato comedian chilling out with friends

Ruto atamaliza Miaka yake Kumi. K**a Kenyatta, Moi, Kibaki na Uhuru walimaliza miaka  kumi, Ruto na yeye atamaliza miaka...
05/04/2025

Ruto atamaliza Miaka yake Kumi. K**a Kenyatta, Moi, Kibaki na Uhuru walimaliza miaka kumi, Ruto na yeye atamaliza miaka kumi~Kimani Ichung'wah.

๐Ÿฏ x ๐Ÿฆ
05/04/2025

๐Ÿฏ x ๐Ÿฆ

Baada ya CEO wa Label ya WCB Msanii  kutangaza kuwa mwaka huu amemsaini msanii mpya ndani ya Label hiyo, Zandani kabisa ...
05/04/2025

Baada ya CEO wa Label ya WCB Msanii kutangaza kuwa mwaka huu amemsaini msanii mpya ndani ya Label hiyo, Zandani kabisa zinasema kuwa msanii chipukizi ndio Aliye sainiwa kwa Mkataba wa Miaka 10.

Ikumbukwe Label hiyo kwa sasa ina jumla ya wasanii wa tatu tu, D voice, Zuchu na Lavalava hivyo Treyzah anakwenda kukamilisha idadi ya wasanii wa nne wa WCB na Kuziba pengo la Baada ya kuondoka.

Treyzah ambaye tayari alishawahi kuachia baadhi ya nyimbo na kufanya vizuri, ameonekana ndio Mfalme ajae kwenye RNB. WCB Pamoja na Diamond wamepanga kumtambulisha Treyzah ifikapo Mwezi wa sita mwaka huu.

Je, Unadhani Treyzah ataziba pengo la Mbosso?

Naona Kila mahali kababa ,,kababa what happened ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿคญ
20/09/2024

Naona Kila mahali kababa ,,kababa what happened ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿคญ

Mambo ya kuenda church ukisota wacha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐ŸคŒApo kitambo kidogo alongside my sister from another mother๐Ÿ˜๐Ÿ˜
13/09/2024

Mambo ya kuenda church ukisota wacha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐ŸคŒ
Apo kitambo kidogo alongside my sister from another mother๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Alafu Ukisoma Bible Vizuri Utapata Hakuna Dem Aliolewa Na Mtoto ๐Ÿ’๐Ÿ’”
07/09/2024

Alafu Ukisoma Bible Vizuri Utapata Hakuna Dem Aliolewa Na Mtoto ๐Ÿ’๐Ÿ’”

Ile mate nlikua nakumezea nilitema yote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
19/08/2024

Ile mate nlikua nakumezea nilitema yote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Pressure ya online isifanye ukabuyshia bwana ya wenyewe jezi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿซต      โœŒ
13/07/2024

Pressure ya online isifanye ukabuyshia bwana ya wenyewe jezi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿซต
โœŒ

Inaitwa minding your own business๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
10/07/2024

Inaitwa minding your own business
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mi ni ule boy nilikushika haga time ya maandamano,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚@followers
03/07/2024

Mi ni ule boy nilikushika haga time ya maandamano,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
@followers

Unaniangalia niki lamba sahani kwa hoteli ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Si pesa yangu๐Ÿ˜‰
13/05/2024

Unaniangalia niki lamba sahani kwa hoteli ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Si pesa yangu๐Ÿ˜‰

Unataka boy Ako na gari na babako alishindwa kuinunua 1970 ikiwa 30bob๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” ๐Ÿ˜
14/04/2024

Unataka boy Ako na gari na babako alishindwa kuinunua 1970 ikiwa 30bob๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
๐Ÿ˜

Been a minute๐Ÿ˜Ž
17/02/2024

Been a minute๐Ÿ˜Ž

Me ata hushindwa macho mbili ni za nini na zinaona kitu moja ni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ™
28/01/2024

Me ata hushindwa macho mbili ni za nini na zinaona kitu moja ni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ™

K**a Eve Alikula Apple ๐ŸŽ๐Ÿ Na Tunateseka Hivi ๐Ÿฅฒ๐Ÿ˜… Na k**a Angevuta Bangi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ’”
08/01/2024

K**a Eve Alikula Apple ๐ŸŽ๐Ÿ Na Tunateseka Hivi ๐Ÿฅฒ๐Ÿ˜… Na k**a Angevuta Bangi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ’”

Sijasema ni waluhya..lakini sasa mbona muweke supu ya kuku kwa thermos??๐Ÿ˜๐Ÿ˜
04/01/2024

Sijasema ni waluhya..lakini sasa mbona muweke supu ya kuku kwa thermos??๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Address


Telephone

+254714446068

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when News Kwote posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to News Kwote:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share