29/05/2025
πππππ ππππ πππ WRITEN UPDATES ...Takes Lets Follow TO 5K Followers MY PEOPLE \\\\\
,
ππππ π
Mark washarudi home wanachill hapo kwa bed na Neema wake..Jojo alikuja akaambia mamake ashatengeneza bed anaeza enda akatulia sasa,kisha akaambia Mark,manze asante sana,k**a siwewe sai tungekua tunapanga matanga. Joseph alikuja kupaka babake mkono alikua ameumia kiasi huku Mark anamwambia Joseph,I really wish ningeona ukizaliwa hadi nikufunze bike. Joseph akamwambia that would have meant ungekua na mamangu pamoja as a happy family.
Siku iliyofuata,asubuhi na mapema,Val alimcall Jayden akamwambia zile taarifa za Neema karibu achomekee kwa hotel huko kwa far, kisha akamwambia for what happened jana,Jayden ajue Jojo anampenda tu sana hakuna kitu yao kati yake na Joseph but Jayden akamwambia hayo ni mambo yangu na Jojo so please STFI...kumbuka jana Jayden kureact,ni Val alimwambia ati Jojo wako huko ndani na Joseph ndio Jayden akareact akidhani huyo ni Jojo...
Neema pia washaamka anataka kupitia restaurant aone kuko aje..Mark alimwambia tutaenda pamoja tuone venye kuko lakini punde si punde,mlangoni kukabishwa..kumbe ni Babu,Sharon na Dancan wamekuja kuona Neema.
Babu alikua ameshtuka sana but at least ameona msichana wake ako sawa...Dan pia anajifanya sana kuumizwa na kila kitu na ni yeye alisababisha.
Neema aliwaambia anataka sana afike huko ajue ni nini kilifanyika..Sharon akatoa wazo akasema maybe tutafute pastor awaombee hii lazima ni mashetani..ama maybe ni mashetani zilifungiwa nyumba huku Nairobi πππππ
Dancan na yeye akauliza Neema k**a washajua mtu aliwasha moto kuchoma..Neema akamwambia zii bado wanafanya uchunguzi.Sharon akauliza kwani kuna mtu aliwasha ama..Babu akasema k**a ni mtu alichoma,pia achomeke kabisa aishie kutoka kwa hii dunia,Dancan akamwambia yoh,Babu Jay,usiseme hivyo,unajua ukisema kitu mbaya hurudia mtuπππDan anajua ni yeye,so alitaka tu kujua k**a ashajulikana.ππππ
All in all Neema is safe & O.K..Dancan aliombea Neema kupona haraka na akaambia Neema incase of anything ampigie simu.
Jojo alikuja jikoni,akafuatwa na Joseph..Val kuona hivyo,pia akawafuata ju hataki kuacha Jojo na Joseph wakiwa togetherπππVal aliambia Jojo,kuna kitu nataka kukuambia na najua utajam but nakuambia tu..Jojo akamwambia niambie nisikie..Val akamwambia usiache hii story yako na Joseph iharibu uhusiano wenu,mko too close sana na yeye na imagine wewe uko engaged...acha watu k**a sisi tuwe close na yeye tuko single but wewe uko na mtu bwana acha kubehave k**a sijui nii unataka kila kitu for yourself..tumia akili huoni unakasirisha Jayden?ππππ
ππππ π
Jayden ndio anafika kwa Mark and guess nani alienda kumfungulia...Josephπππhawa wawili wanachukiana vibaya sana.
Jayden alileta pole zake na akauliza k**a kuna kitu anaeza saidia but Mark akamwambia asijali wako sawa. Jayden akaulizia Jojo na akaambiwa ako jikoni na hakoo kakaenda kumuona. Joseph akiona hivyo anaboeka sana,na kumbe Mark alinoticeπππ
Mark aliuliza Joseph,kuna shida yako na Jayden? Joseph akasema zii maybe ni yeye ana shida na mimi...Mark akamwambia Jayden ni kijana mpoa sana but mkiwa na yeye kuna venye...Joseph akajibu Mark kijasanda,akamwambia yeah Jayden ni kijana mzuri sana,ako na heshima na hata ni son law wakoππππMark akaona wah! Hii gunia inaongea vibaya aje.
Jayden alionana na Jojo na hata k**a kawaida k**a dawa hawakuongea for 3min,Jayden akajitoaπππkumbe time walikua hapo,Babu aliwasikia akikuja.
Jayden kuondoka,Babu akaambia Jojo,nishasikia issue yenu na Jayden na namuelewa pia,nikawaida ya mwanaume kufeel hivyo akikuona karibu na mwanaume mwingine so check it out.
Alah! Wait a minute..yule gaidi,ndio huyu ameshika copy ya marriage cert ya akina Tom na Kate na hata copy birth cert ya mtoto ako nayo..kumbe maskini wa Mungu,kuna mtu alisnitch na sasa hadi penye akina Kate wanaka sai,kwa Richard,kushajulikana,wah! Makosa sana...Kate,kimeumana sasa!
Neema wamefika kwa farm na restaurant imechoka vibaya sana. Kumbe Eddy pia alikuja na k**a kawaida amekuja na DancanπππNeema akamuuliza umekuja kufanya nini? Eddy akamwambia nimekuja kuona the damage..Neema ako stressed sana anashindwa atalipaje bossy? Eddy akamwambia usijali,naeza kulipia kila kitu remember wewe ni wife yangu,lakini Neema akamwambia sikiza, k**a uko na pesa sana venye unadhani then lipa Mark deni lake alah...
Bossy alikuja akaongea na Neema akamwambia hajui tu venye atamlipa but Bossy akamwambia wee usijali,cha muhimu uko uhai na hata sai sai tu nimeongea na DCI washafanya uchunguzi na wamejua hii place ilichomwa na petrol...Eddy na Dancan wakashtukaππππkinaenda kuwaramba soon. Neema alishindwa sana nani huyo anaeza choma pahali pake...
Tom na Kate wako breakfast wanakula rice na ndengu,kisha Uncle Lari akamcall Kate,akamwambia nimeongea na babako amesema atakua away kiasi for 2 weeeks but nyinyi kueni makini sana. Hawana habari,details zao zishajulikana.
Dancan ameanza kujiblame sasa hadi wakiwa kwa gari wakienda,alianza kuambia Eddy,aki hatungefanya hivyo,ona sasa inaanza kuleta shida,kwanza kuna DCI ndani...Eddy alimwambia wee nyamaza ulifanya kazi yako na ukalipwa na mimi I did this because of my family. Dancan anatetemeka mbaya sanaππππ
Jayden aliona k**a ishara kuu alikuja kuomba Joseph msamaha kwa vile alifanya jana but Joseph alimwambia uache kuwa too much jealous sana inaeza kucost sana but Jayden akamwambia sikukuja hapa kupea advice na wewe nilikuja kuomba msamahaππππJoseph aliambia Jayden,ukiendelea kupush sana Jojo she might do something you are afraid of..and k**a wanaume wakasolve vitu zao.
Jojo alikua pembeni na akafurahia sana kuona at least hawa wanaume washakua mabeshte. Val pia alikua hapo akawaambia maguys now that mshakua mabeshte mnaonaje twende out? Joseph akasema kuna kitu anafanya hana time,kisha Jojo akaambia Jayden babe unaonaje si twende ndani tuchill...Val akawambia si pia nikuje niko free lakini Jojo akamwmabia aje "No,haters" πππVal aliumwa sana but sasa angedu! Nothingππππππππππ......Mwisho WA Neema Updates Date 29TH THURSDAY .....
Team Onyao Lets Take This Page To 5K Followers .......................