
22/08/2025
ERICO OMONDI SCAMMED
Leo hata salamu nik**a mtajisalimia tu😢😢😢
Yani this video after seeing it, ikatrend wakenya wakahurumia huyu mama with children with disabilities wakifukuzwa na bwanake ju hataki bibi mwenye anamzalia watoto wako na disabilities...
Erico Omondi through Sisi kwa Sisi akaenda huko na k**a kawaida ikawa wasaidike😢😢
By the time Eric Omondi anapata information vizuri sasa, they already had 1million.
Now here is the truth.
The husband mwenye alikua anawafukuza ni actor from Mkuru kwa Ruben a renowned takataka guy. Huwa anaokota takataka akiuza.
The alleged wife, the camera lady waliitana wakajiuliza, tuko na shida zetu mnaonaje tuact kakitu tuite jamaa wa takataka ajifanye bwanako, awafukuze then ni record alafu tupost iam sure wakenya watatuhurumia.
And yeah that's what they did.
Now, the kid, huyo mtoto mkubwa kiasi pia is an actor hata si mtoto wa huyu mama, ni mtoto wa mama mwingine 😢😢😢
It's a cahoot walimake kuscam wakenya but as of now the ladies, the kids wamelala ndani.
The actor husband pia anatafutwa nasikia aliahidiwa sehemu telezi na akapewa 1.8million Tanzania shillings which is equivalent to Ksh 258 kwa kujifanya baba wa hao watoto na mume wa huyo mwanamke 'mngaji' k**a Mwijaku.