TOUCH RADIO

TOUCH RADIO TOUCH RADIO NI RADIO YA KISWAHILI,RADIO YA KI JAMII INAYO PATIKA MLOLONGO. MACHAKOS

Bye bye UDA: Aliyekuwa Waziri wa jinsia na mwenyekiti wa bodi ya Barabara nchini Aisha Jumwa ametangaza kujiondoa kutoka...
30/07/2026

Bye bye UDA: Aliyekuwa Waziri wa jinsia na mwenyekiti wa bodi ya Barabara nchini Aisha Jumwa ametangaza kujiondoa kutoka chama cha UDA.

Vikundi vya boda boda Kaiti vyapokea KSh 2.5 milioni Vikundi mbalimbali vya waendesha boda boda katika Eneo Bunge la Kai...
30/07/2026

Vikundi vya boda boda Kaiti vyapokea KSh 2.5 milioni

Vikundi mbalimbali vya waendesha boda boda katika Eneo Bunge la Kaiti, Kaunti ya Makueni, vimepokea jumla ya shilingi milioni 2.5 kupitia mpango wa kuwawezesha kiuchumi unaoongozwa na Katibu Mkuu wa Idara ya Usafiri wa Anga na Maendeleo ya Anga za Juu, Teresia Mbaika.

Hafla ya ugawaji wa fedha hizo ilifanyika katika Ukumbi wa Kijamii wa Mukuyuni na kuhudhuriwa na viongozi kadhaa wanaounga mkono serikali ya Kenya Kwanza.

Viongozi hao walisema mpango huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kwa kuimarisha biashara ya boda boda, sekta ambayo imeendelea kuwa chanzo muhimu cha ajira na kipato kwa maelfu ya vijana.

Aidha, waliwahimiza wanufaika kutumia fedha hizo kuboresha shughuli zao za kiuchumi na kuinua maisha yao pamoja na familia zao.


💔 RENOWNED SKYGO MOTORS OWNER STEPHEN NGEI, WIFE DIE IN KIBOKO ROAD ACCIDENTThe Kamba community and the people of Makuen...
20/06/2026

💔 RENOWNED SKYGO MOTORS OWNER STEPHEN NGEI, WIFE DIE IN KIBOKO ROAD ACCIDENT

The Kamba community and the people of Makueni County are mourning the tragic death of renowned businessman Stephen Ngei and his wife following a road accident at Kiboko.

Ngei, the proprietor of Skygo Motors Makindu, was widely respected for his industrialization efforts and contribution to economic growth in the region. His entrepreneurial vision created opportunities for many families and inspired countless young business people across Ukambani.

Their untimely deaths mark a huge loss to Makueni and the wider Kamba community.

May their souls rest in eternal peace. 💔🇰🇪

A family travelling from home to Utumishi Girls following a destress call following fire outbreak in one of the girls do...
28/05/2026

A family travelling from home to Utumishi Girls following a destress call following fire outbreak in one of the girls dormitory was involved in a grisly road accident.

Their mother lost her life.

Arch Bishop John Pesa of Holy Ghost Coptic Church is dead, family confirms rest in eternal peace.
28/05/2026

Arch Bishop John Pesa of Holy Ghost Coptic Church is dead, family confirms
rest in eternal peace.

Three people have reportedly drowned in a septic tank at Makindu Boys High School. Efforts to retrieve the bodies are cu...
28/05/2026

Three people have reportedly drowned in a septic tank at Makindu Boys High School. Efforts to retrieve the bodies are currently underway. Authorities and emergency responders are at the scene as investigations into the incident continue.

Photo Ai

Mchezo ya Moto💔😭😭Breaking: An unknown number of students feared dead in a dorm fire that broke out earlier today at Utum...
28/05/2026

Mchezo ya Moto💔😭😭

Breaking: An unknown number of students feared dead in a dorm fire that broke out earlier today at Utumishi Girls Academy Senior School

JE ASKOFU-MTEULE JOHN MWANDI NI NANI?✓ Askofu Mteule John Mbua Mwandi alizaliwa: tarehe 24 Septemba 1970. ✓ Ni padre wa ...
27/05/2026

JE ASKOFU-MTEULE JOHN MWANDI NI NANI?

✓ Askofu Mteule John Mbua Mwandi alizaliwa: tarehe 24 Septemba 1970.

✓ Ni padre wa Jimbo Katoliki la Kitui. Amezaliwa katika parokia ya Mtakatifu Agostino, Nguutani.

✓ Alisoma Falsafa katika Seminari Kuu ya St. Augustine, Jimbo la Bungoma,

Alisoma Teolojia katika Seminari Kuu ya St. Matthias Mulumba, Jimbo la Kapsabet,

Alipata Stashahada ya Usimamizi wa Miradi kutoka Kenya Institute of Management, Nairobi (2008).

✓ Askofu-Mteule alipadrishwa mnamo tarehe 8 Desemba 2001.

✓ Amefanya huduma na Uongozi wa Kikanisa
katika nyanja mbalimbali jimboni:

2002: Naibu Paroko, Parokia ya Ikutha
2001–2005: Paroko, Parokia ya Miambani
2006: Paroko, Parokia ya Ikanga
2007–2011: Paroko, Kanisa Kuu (Cathedral) la Kitui.

✓ Pia amekuwa katika nafasi za uongozi kwa jimbo k**a vile:

2005: Mkuu wa Dekania ya Mashariki,
2011–2020: Mhasibu wa Jimbo (Diocesan Financial Administrator),
2016–2020: Naibu Katibu Mkuu wa Jimbo (Pro-Vicar General),
Baadaye: Katibu Mkuu wa Jimbo (Vicar General),

✓ Hadi uteuzi wake k**a Askofu-Mteule, amekuwa Paroko katika Parokia ya Mulutu

Mungu amubariki na amuongoze katika huduma na wadhifa huu mpya 🙏

Happy Eid al-Adha Mubarak to our Muslim brothers and sisters
27/05/2026

Happy Eid al-Adha Mubarak to our Muslim brothers and sisters

27/05/2026

Wengine wakona wapoa wao wamerelax alafu kuna wewe unazurura tu online😂🤣💔

Address


Telephone

+254782776401

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TOUCH RADIO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TOUCH RADIO:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed media company?

Share