
11/09/2025
🎙️ Didmus Barasa:
“Wale ambao hawampendi William Ruto wapende kazi yake; wale ambao hawapendi kazi yake wapende sura yake; wale ambao hawapendi sura yake basi wapende tu ya Mama Rachael Ruto, na nchi iendelee kusonga mbele.”