21/05/2026
Voi imekuwa sana,tutashukuru kwa investors wote, wamehakikisha Voi yetu imegrow ,Nini uliona Voi ukajuwa imekuwa town kubwa ?kando na pale tuff 😅😅😅😅😅 Nikushorodoka tuu 💯
VILAMBO HOME MART opening soon 29th May 💥💥💥