D.J AFRO - Junior

  • Home
  • D.J AFRO - Junior

D.J AFRO - Junior Enjoy my movies

Hii neti inasaidia nini surely?? Niulize Leo initoke
11/02/2025

Hii neti inasaidia nini surely?? Niulize Leo initoke

03/02/2025

Hakuna mtu hudance vizuri kwa club k**a dem ameachia mamake mtoto 😂😂💔

26/01/2025

Valentines ni mambo ya wazungu niskie mtu akiniambia ooh my love I need a gift utapata kichapo wewe 🫴🫴🫴 😂

Drunk People Are Funny lol😆
26/01/2025

Drunk People Are Funny lol😆

26/01/2025

Ooooh kumbe chelsea ilifanyiwa ile kitu 💔💔💔💔💔Wapi hao maguluzumuu
💔💔💔💔👊Ogopa Team za Dabiiii🤣😂

26/06/2023

K**a kanisani pastor angehubiri ka DJ Afro-junior ,hivi ndio kungekuwa (Written by Kipkurui video show, Kaptumo, Nandi county)

💥💥💥💥💥🙄🙄Allllllllllllllllllrrrrrrrrrriiiight,pozi Tena pozi kabisaa,🙄🙄ikiwa basi ni kwenye harakati za kurianza picha retu aah ah...kufanya mapenzi ya Mungu ndio title horoo cinema...na hapa rikiwa basi rimeandariwa na jamaa wetu yona Akiwa ndio staaarrring horo sinema,aah cheki maneno Nani..jamaa wetu basi arikuwa ametumwa na mdosi kwa jina ra sir God,akaende ninawi iri akaubiri injili,kwa kisa na maana basi nchi ire ya ninawi irikuwa imevamiwa na gaidi kwa jina aaaaarh aaaah shetani Akiwa basi arikuwa akiwaangamiza watu wa Muuuungu kwa tabia potovu..k**a vire uranguzi wa madawa za kulevyaaaa🤵nduguu mpenziii mtaaazmajii kumbuka basi jangiri hiri shetani rikiwa ni dangama!? Ndamanyaa nanii,endapoo,basi jamaa retu yona arikuwa kabishaa amekataa kwenda mji wa ninawi licha ya kuwa ametumwa na mdosi wake aaaaah aaah kwa jina aaah Munguuu! Weweeeeh! Araaaa cheki shashaaa,kumbuka Mungu arikuandaria picha K**a viree ahhh aaaah mnara wa babeli na zinginezoo cheki maneno,alllllriiight...maridadi kabishaa waumini🙄nakuchomoa upande wa ninawi nakupeleka upande magharibi mwa kusini mwa Canaan,,,ambapo tunampata jamaa kwa jina ra aaaah mooses!Akiwa basi ndio anaenderea kuwalisha mifugoo kwa Kijiji kimoja,🙄arishtukia niniiii,aaah motooo niniiii? 🔥🔥🔥🔥Motoo Nani...matokolosiang Simon,hagalion peter na poliokosan James wotee warihusika kukuandariaa......🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

25/06/2023

Stress Za Mapenzi Zimewai Fanya Ukalia 😭😭 Ama wewe Ni Gaidi😂💔

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when D.J AFRO - Junior posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share