Ighembe Tv

Ighembe Tv Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ighembe Tv, TV Channel, Baraka, Voi.

13/08/2026

LIVE: KIRUTAI- CELEBRATING THE LIFE OF REV. SILVANUS M.MWAKOMA

13/08/2026

Taja faida za kuchagua Gavana mara ya pili.

13/08/2026

Lelo ni ijua jya vidaro urumwenguni.
Imi najyoa... Mbula sa mkuvu ghwa kovo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tuingie pale YouTube tumpe dada yetu sapoti. Mbarikiwe
13/08/2026

Tuingie pale YouTube tumpe dada yetu sapoti. Mbarikiwe

12/08/2026

LIVE: CELEBRATING THE LIFE OF REV. SILVANUS MWAMBERE MWAKOMA

12/08/2026

"This time let us be careful na diwuje Gavana indo ja Kawi" - Gavana Andrew Mwadime Wakujaa

12/08/2026

"Mkinachangua 2022 mulikaa bila mishahara for 5 months tukapambana Hadi tukamaliza,Pesa yenu ya June na July Iko hapa kwa County Nilipingia Controller of Budget jana akasema system itafunguliwa anytime na mutaona mishahara yenu ya June na July imeingia,Mimi mpaka nikawafanya PNP,Hali ambayo niliwapata ilikuwa hali mbaya sana,Eti wengine wanasema I am very soft soft kitu ngani hiyo kitu iliniumiza Roho sana " - Gavana wa Taita Taveta Daktari Andrew Mwadime Wakujaa

Ighembe Fm

HERI YA SIKU YA VIJANA DUNIANI 2026!Leo tunapoadhimisha International Youth Day, ninatoa wito kwa jamii, viongozi na wad...
12/08/2026

HERI YA SIKU YA VIJANA DUNIANI 2026!

Leo tunapoadhimisha International Youth Day, ninatoa wito kwa jamii, viongozi na wadau wote kutambua jambo moja muhimu: kuwekeza kwa vijana si matumizi, ni uwekezaji wa kujenga maisha, familia, uchumi na mustakabali wa taifa.

Vijana wetu wana ndoto. Wana vipaji. Wana nguvu, ubunifu na mawazo yanayoweza kubadilisha jamii. Kile wanachohitaji ni nafasi, maarifa, ujuzi, mitaji, mentorship na watu wanaowaamini.

Kupitia Shangaishi Foundation, tumeendelea kuwekeza katika Vijana Tumekuwa tukifungua nafasi za mafunzo na uwezeshaji, kuunga mkono makundi ya vijana, kushirikiana na sekta ya boda boda katika mafunzo na uongozi, kukuza vipaji vya Mpira na muziki na kuwekeza katika elimu kwa sababu tunaamini elimu ndiyo msingi wa fursa za kesho.

Leo, tunasema wazi: hatutaki vijana wa kusubiri fursa, tunataka vijana wenye uwezo wa kutengeneza fursa. Hatutaki vipaji vibaki mitaani bila kuonekana; tunataka vipaji vipate jukwaa. Hatutaki ndoto zizimwe kwa kukosa nafasi; tunataka vijana wapate uwezo wa kuziishi ndoto zao.

Dunia ya leo inahitaji vijana wenye maarifa, ubunifu, uwezo wa kutumia teknolojia na ujasiri wa kutatua changamoto za jamii. Kaulimbiu ya International Youth Day 2026, โ€œDifferent Contexts, Common Aspirations,โ€ inatukumbusha kuwa licha ya mazingira tofauti, vijana wengi wanashiriki matumaini ya kupata elimu bora, kazi zenye staha, fursa na sauti katika maamuzi yanayohusu maisha yao.

Kwa hiyo, uwekezaji mkubwa zaidi tunaoweza kufanya leo ni kumwamini kijana. Kumfundisha. Kumuelekeza. Kumpa nafasi. Kumwezesha. Na pale anapoanguka, kumsaidia kusimama tena.

Kwa vijana wote wa Taita Taveta na Kenya kwa ujumla: msikubali kuambiwa kwamba nyinyi ni viongozi wa kesho pekee. Mna nafasi ya kuongoza, kubuni na kubadilisha dunia kuanzia leo.

Shangaishi Foundation itaendelea kuamini katika nguvu ya vijana, kwa sababu tunaamini kwamba tukiwajenga vijana leo, tunajenga jamii imara na yenye matumaini kesho.

Ndio mwanzo tu mkoko unaalika maua na safari hii ya Transforming Communities Beyond Boarders itafikia Kila mtu hatua kwa hatua.Vijana wote Nawapenda sana Tuko pamoja โค๏ธ

Christopher Shangaishi Mwanjala
Founder, Shangaishi Foundation

Sema ikutoke tuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
12/08/2026

Sema ikutoke tuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

CHPs wanadai kutolipwa miezi saba na kaunti ya Taita Taveta
12/08/2026

CHPs wanadai kutolipwa miezi saba na kaunti ya Taita Taveta

Address

Baraka
Voi
80300

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ighembe Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category