03/01/2024
𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐁𝐄𝐂𝐊𝐘 𝟑𝐑𝐃 𝐉𝐀𝐍
Kumbuka kuweka LIKE,sijai post updates mchana,acha nione how far mtanifikisha
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Moh amejaribu kuongea kwa simu Becky haongei. Sanchez alikuja akauliza Moh,hope si monkey business najaribu hapa,ju ukijaribu ufala huku nakuchuja huku. Moh alimwambia acha kuwa CCTV, nisaidie simu yako ucall Becky tuone k**a atashika. Becky hatashika ju ameenda kwenye amesikia mtu anauliwa.
Huku kwa Shantelle,hali ya taharuki imetanda. Makarao washaitwa wamekuja na Trisha anajitetea yake yote,anasema yeye hajamuua Shan. Wasee wa plot waliambia polisi,hapa kazi ni rahisi,tupatie huyu dem dakika mbili tu tumpembeleze atasema ukweli,huyu afinywe tu sai aseme ukweli😂😂Polisi walisema apana, hatuezi fanya hivyo. Kumbe mmoja wa wamama wa plot,walipata barua ya Shan na ameeleza vizuri sana kuwa ni yeye ameamua kujitoa uhai,hii iliokolea sana Trisha na punde si punde,Beky akafika. Trisha akajua baaaasi Becky akiwa hapa,mambo yaakua poa sasa at least yeye anamjua.
Becky bado hajaradanisha nini kinaendelea until akaingia kwa nyumba akaona mwili wa Shantell venye uko. Becky alitoka kwa nyumba pole pole,bila kuongea na akaenda zake akiangalia Trisha na macho za wewe wewe wewe wewe Trisha wewe! Acha tu.
Moh,chenye anajua ni alisikia Becky akiambia "mtu anauliwa" but hajui ni nani. Moh akajaribu kucall Junior,simu yake hata haina moto,amesota hadi charging system haifanyi. All in all, tufike kwa mansion ndani.
Mzee Moses ni kuondoka anaondoa lakini kabla hajaondoka,Tito akafika akiwa amewaka sana,akauliza Moh ako wapi,akaonyeshwa ako nyuma ya nyumba. Akasema acha amuongeleshe atarudi. Walishangaa sana Tito ana nini.
Moh akiwa huko nyuma, Becky alicall,akamwambia Moh,manze Shan ameishia. Moh akamuuliza mbona aende ushago wakati huu,si angengoja hata mwezi ufike katikati. Becky akamwambia si hivyo,namaanisha Shantelle amekufa. Moh alishtuka,nguvu zikaisha hadi akaanguka chini.
Tito alimchukua Moh wakakuja kwa Becky wajadiliana waone venye wat