20/11/2025
Hii nchi imejaa vituko! 😂
Unakumbuka kule watu walitishia chief kwa mslaba eti kwa sababu ya kumwaga pombe?
Leo machifu wote wa Kitutu Central wameungana na kufagia kila kona, busaa imeenda, unga imeenda, apparatus imeenda! 🔥
COUNTY: KISII
SUB-COUNTY: KITUTU CENTRAL
DIVISION: TOWNSHIP
JOINT RAID | 0600hrs, 20/11/2025
👉 1210 litres za busaa ZIMEHARIBIWA
👉 840kgs za unga fermented ZIMEFAGILIWA
👉 Brewing apparatus ZIMETUPWA mbali
Brewers walitoroka k**a marathoners hakuna hata mmoja ameshikwa! 🏃💨
Sasa swali ni moja… watakunywa nini? 😅🫣