08/01/2026
𝐀𝐘𝐀𝐍𝐀 𝟗𝐓𝐇 𝐉𝐀𝐍 𝐖𝐑𝐈𝐓𝐓𝐄𝐍 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
𝐄𝐏𝐈𝐒𝐎𝐃𝐄 𝟏
Leo ni siku ya kotini, Sabina na Robert wamekuja na lawyer wao, Saida na Annaliz wamekuja na lawyer wao. Cheki venye lawyer wa Sabina ameunga 😂😂mind you this lawyer alikua lawyer wa Tyrone lakini ju ya pesa,asharuka Tyrone,sai ni lawyer wa Sabina.
Tyrone aliletwa kizimbani,anaangalia Robert anakosa kuamini. Sabina alisimama kizimbani,she seem teary teary, sorrow and very sad but all this ni games tu anaeka. Yani Tyrone aliangalia Robert hivi hadi akaanza kulia,anashindwa huyu ni rafiki wa aina gani,unikulie bibi kisha usimame kotini against me tena..dunia haina huruma. Imagine Tyrone alilia.
Chris na yeye kwake amewaka,alikuja akauliza Jemimah,so wewe na Robert are working together,anakupea pesa ndio ufanye shopping alafu mimi nionakena useless sindio? Jemimah akamwambia sijui unaongelea nini wewe...so ju nafanya shopping kwangu ni mbaya ama? Chris akamuuliza mbona basi ameninyima loan na wewe anakupea? Jemimah akamwambia Robert is my brother, si lazima akinipa akupe,wee twende tukule daddy,alah. Jikubali umesota usaidiwe. Sikiza,Jemimah pesa anatumia ni zenye waliibia na Ray,si ati amepewa Robert.
Huku kotini, ilifika wakati wa Tyron kuulizwa maswali,anaulizwa, unasema pistol ilienda off yenyewe,what made it go off itself? Tyrone alishindwa kujibu,alianza kulia,akasema I didn't mean to shoot my daughter. Imagine lawyer anamuuliza hii maswali,ni lawyer amekua wake,personal lawyer some days ago but ashanunuliwa na Sabina.
Hearing ya kwanza iliisha watu wakatoka nje. Lawyer wa akina Saida alikuja akasema hii kesi itakua ngumu kiasi lakini Annaliz akasema haifai kuwa ngumu na tumekulipa,so whats the option? Lawyer akawaambia kuna tu only two options, ya kwanza Tyrone kukubali kuwa it was attempted murder ndio apungiziwe miezi za kukaa jela..Saida akamuuliza na option 2? Lawyee akasema option 2 maybe kungoja miujizi zifanyike Tyrone aachiliwe 😂😂😂😂
𝐄𝐏𝐈𝐒𝐎𝐃𝐄 𝟐
Lawyer wa Robert na Sabina alikuja akaambia Sabina,so mambo inaenda vizuri na kuna chances Tyrone atakaa ndani for soo many years...Robert akamuuliza how long? Akaambiwa as long as you two will have peace of mind.
Sabina na Robert wakisikia hivyo,wanaenjoy sana,ju wanataka Tyrone to rot in prison na chenye Sabina anataka sana ni kuhave access to every property Tyrone owns. Will they manage? Lets wait.
Huku hosi, for the first, Celestine akapata nafuu alafu ajabu wakati aliamka kitu cha kwanza alitaka kuona ni babake. Sasa hapa kuna confusion,hatujui anataka kuona babake mlezi ama babake mumezi..mumezi ni yule mwenye alipanda mumea,mlezi ni yule mwenye amekaa na yeye 😂😂chenye tunataka ni Tinah alitaka kuona mamake na babake. Mbio mbio nurse akakimbia akaita Sabina akamwambia Tinah anataka kukuona wewe na babake. Robert na Sabina wakakuja mbio...Tinah akaona mamake akasmile,kisha akaona Robert pia akageukia mamake akamuuliza "where is my dad"..Robert akashindwa wait, your dad si mimi ndio niko hapa? Hadi Sabina akaambia Tinah, Tyrone shot you na sai ako jela na soon atapelekwa sayuni. Tinah akasema zii,mbona ashikwe na he didnt mean it,...I want to see him. Sabina na Robert hawataki hivi,ju sasa wasomaji acha niwaambie mapema,miujiza ya kutoa Tyrone ndani ni Celestine.
Robert akiwa maround zake kumbe Jemimah alikuja kumpasha. Jemimah akaambia Robert sikiza, k**a huwezi tusaidia then keep off my family..mbona umeambia Chris ati huwezi msaidia hadi nimuache. Robert akamwambia I was just be honest na k**a unataka nikusaidie,then I will do it only k**a Chris atakua out of the picture. Jemimah akamwambia sasa sikiza punda hii, Chris is my man,k**a huwezi saidia akiwa then baki na msaada wako...ama niseme msaada wa Sabina.
Sabina alisikia akakuja akauliza kuna nini tena huku Jemimah,mbona nasikia mnagombana? Jemimah kamwambia hatugombani,nilikua naongea na your baby daddy 😂😂
Eish cheki Asha na Ray,kunaonekana penzi linarudi lakini Asha hafanyi hivi ju anamind sana Ray,anafanya hivi ju wanataka kutumia Ray kwa manufaa yao. Asha aliletwa hadi nyumbani na akaambia Ray usijali,incase tufukuzwe twende Mombasa,nitahakikisha nimekuja kukuona but please, you need to change,sana sana wewe na Jemimah na mienendo zako za wizi...Ray akashtuka haka kalijuaje story zangu na Jemimah,but ni Saida aliambia Asha.
Ray aliambia Asha,iam ready kuchange for good empress bora tu ujue nakupenda,I will change na nitakua mtakatifu k**a Nandwa na kazi zake za online za matakataka 😂😂😂😂Ghia yani Ray anaita kazi zangu za matakataka guys na mumenyamaza tu 🥲🥲