24/07/2025
Na vijana wacha niibie nyinyi siri,ikifika ni wakati ya kuoa manake ata bibilia inasema two are better than one,do not marry a woman because she has a capacious kinyambis. Hapa utakua umebant. Juu Itafika wakati ukae chini namna hii,unagundua na kweli hii kitu hainisaidii,it only looks good when in clothes. It doesn’t benefit me or her,kwa kizungu tunaiita odious debt.
Kitu ingine,for a peace of mind,if you’re a medium ugly fella like me,I mean k**a hujaoga uko 4/10 lakini ukioga unaruka 6.5/10,go for an average looking woman. A woman who knows what rejection and acceptance feels like. Hawa warembo mnakosana kidogo namna hii unaona ameeka Ig stories “dont settle for less,you deserve better”. Because one thing in marriage theres alot of tolerance and forgiving,hawa hawajui iyo. In their mind “theres always someone better out there”.
Na ndio ata mkiangalia msuri mtaona the number of single beautiful women is higher than that of average looking women. Kitu ingine k**a unajua kwenye unaishi KPLC wanabebanga transformer for three weeks,na hakuna kitu mtafanya,avoid women with health issues. You are poor. Mtu anagonjeka back to back,like its a hobby,mpaka umeshika namba ya daktari off head buana. Apa utaadhirika vibaya sana my friend,financially and Mentally. They don’t teach you this in unifasti