29/09/2025
π’ TANGAZO MAALUM KUTOKA JIDAH MEDIA πΆ
Wewe ni msanii lakini hadi sasa bado huna akaunti kwenye digital platforms kubwa za kuuza na kusambaza muziki wako?
Unapoteza nafasi ya kupata mapato na mashabiki wapya duniani kote! π
Jidah Media tunakuletea suluhisho:
β
Tunakusaidia kufungua akaunti rasmi kwenye digital platforms zote maarufu (k**a vile Boomplay, Spotify, iTunes, Deezer, Audiomack, YouTube Music n.k).
β
Tunakupa elimu ya kina kuhusu namna platforms hizi zinavyofanya kazi, ili usipotee na uelewe hatua kwa hatua jinsi ya kunufaika.
β
Tunakushauri namna ya kupandisha muziki wako ili upate mashabiki wengi na kuongeza kipato chako.
β
Utapata nafasi ya kuingiza hela π΅ kupitia sanaa yako na kujijengea jina kimataifa.
Hii ni nafasi yako ya kubadilisha muziki wako kuwa biashara halisi.
Usiendelee kutoa nyimbo bila mpango wa mapato, njoo tukufungulie njia ya mafanikio.
π Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi sasa:
π² 0787 616 723 / 0615 686 813
π§ Jidah Media β Tunakuunganisha na Dunia Kupitia Muziki Wako! πΆπ₯