19/11/2023
Kulingana na utafiti
1.Huwezi hesabu nywele zako
2.Huwezi ona masikio yako
3.Huwezi pumua ulimi ikiwa inje
5.Najua umejaribu number three
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
6.Umeona unaweza lakini unakaa fala
7.umecheka Hadi ukasahau number four 🤣
8.Najua umerudi kuangalia number four shenzi kabisa 😂😂😂😂