Linus Sports Arena

Linus Sports Arena SISI NI WEWE✊🏿✊🏿
KWA MATANGAZO TUTAFUTE KWA NAMBA +255682441983
FOR ADVERTISING CALL +255682441983/255628318183

🚨Sadio Mané, mtu na nusu. 🚨Baada ya Morocco kupewa penalti dakika za lala salama, wachezaji wa Senegal na kocha wanaisus...
19/01/2026

🚨Sadio Mané, mtu na nusu. 🚨

Baada ya Morocco kupewa penalti dakika za lala salama, wachezaji wa Senegal na kocha wanaisusia mechi hiyo, lakini Sadio akawataka wote warudi uwanjani kuendelea na mechi.

Kwa heshima yake Walirudi, Mendy aliokoa penalti wanaenda extra time dakika ya 94' kijana mdogo ata mapenzi hayajui Bado ana uvulana wake sio mwingine ni Pape Gueye anafunga mashine ya kukopea mkopo benki bila riba na kufanya Senegal kunyanyua taji lao la pili la AFCON baada ya lile la mwaka 2021 dhidi ya Misri pale Cameroon.

Nakiri Africa imefurahi kuliko kawaida Kwa kuona kitu k**a hiki.
Heshima ya kutosha kwa Sadio!
Mungu mtunze Gueye.
Mungu itunze Senegal.
Mungu itunze Africa.

THE LIONS OF TERANGA MAKES IT FOR THE AFRICANS.VIVA SENEGAL VIVA AFRICA AFRICA UNITE♥️SENEGAL CHAMPIONS OF AFRICA.SIMBA ...
18/01/2026

THE LIONS OF TERANGA MAKES IT FOR THE AFRICANS.
VIVA SENEGAL VIVA AFRICA AFRICA UNITE♥️
SENEGAL CHAMPIONS OF AFRICA.

SIMBA WA UKARIMU WANAIFURAGISHA AFRICA.
SENEGAL NI MABIGWA WA AFRICA



Mbona ni k**a hawajabadilika chcht na ni mwaka mpya 😅FT : Mtibwa 1-1Simba
18/01/2026

Mbona ni k**a hawajabadilika chcht na ni mwaka mpya 😅
FT : Mtibwa 1-1Simba

Yanga hawapoi Wala hawaboi... anyway Hussein Masalanga kutoka Singida BS ni MWANANCHI 💚💚
18/01/2026

Yanga hawapoi Wala hawaboi... anyway Hussein Masalanga kutoka Singida BS ni MWANANCHI 💚💚


18/01/2026

😅😅😅

Mwamuzi kutoka DR Congo, Jean-Jacques Ndala, ameteuliwa kuwa Mwamuzi wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 kati ...
18/01/2026

Mwamuzi kutoka DR Congo, Jean-Jacques Ndala, ameteuliwa kuwa Mwamuzi wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 kati ya Senegal na Morocco. Awali, Mwamuzi huyo alichezesha mechi ya ufunguzi kati ya Morocco na Comoro ¹.

Waamuzi wasaidizi watakuwa Guylain Ngila na Mwanya Mbilizi, huku VAR akiwa ni Pierre Ghislain.

Simba wa Teranga (Senegal) wanawinda taji lingine la Afrika, wakati Atlas Lions (Morocco) wanataka kunyanyua kombe la AFCON katika ardhi ya nyumbani .



🔥 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) linajiandaa kuanzisha Ligi ya Mataifa ya Afrika (African Nations League) mwaka 2029! 😍...
18/01/2026

🔥 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) linajiandaa kuanzisha Ligi ya Mataifa ya Afrika (African Nations League) mwaka 2029! 😍

Ligi hii kubwa itahusisha timu zote 54 za soka barani Afrika, zikigombana kwa misingi ya kanda. Washindi wa kanda watafuzu kucheza fainali ya mashindano hayo.

Mechi za moto zinazotarajiwa:
- Kenya vs Tanzania 🔥
- Ghana vs Nigeria 💥
- Egypt vs Morocco 🇪🇬🇲🇦
- Ivory Coast vs Cameroon 🐘

CAF inataka kuandaa mashindano hayo katika nchi moja, wakati wa mapumziko ya FIFA. Hii itawezesha wachezaji bora wa soka barani Afrika kushiriki. Ligi hii inatarajiwa kuleta mapato makubwa na kuongeza ushindani katika soka la Afrika! 💪


🚨Chama lako namba ngapi?
18/01/2026

🚨Chama lako namba ngapi?

Address

Arusha

Telephone

+255785644441

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Linus Sports Arena posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Linus Sports Arena:

Share