The Beats 120

The Beats 120 The Beats � 120 Show ya Mziki Triple A FM � inatangazwa na chugani Savage aka Ghost Kiula

Ni Throwback Thursday! We back kwa hizo Days  wakati BongoFleva Inajitafuta  sauti ya zamani niko  hewani! 📻 tune in www...
20/02/2025

Ni Throwback Thursday!
We back kwa hizo Days wakati BongoFleva Inajitafuta sauti ya zamani niko hewani! 📻 tune in www.radiotadio.co.tz/tripleafm
🎶 ✨ ! 🎵💖"

  Haiwezi kwenda enyewe enyewe ! 😎 Jiandae na  Valentine’s with old school love songs🔥🎶.Tupia Comment your favorite old ...
13/02/2025

Haiwezi kwenda enyewe enyewe ! 😎 Jiandae na Valentine’s with old school love songs🔥🎶.
Tupia Comment your favorite old school jams ndani ya ndani ya Triple a Fm

  It’s mid-week and there’s nowhere else to be🎵🔥. Tune in for the latest and the hottest hits on The Beats 120  with GHO...
12/02/2025

It’s mid-week and there’s nowhere else to be🎵🔥.
Tune in for the latest and the hottest hits on The Beats 120 with GHOST KIULA for the na Story za Burudani Ndichi join na mimi kupitia www.radiotadio.co.tz/tripleAfm

Midweek ndani ya   ni beats na vibes!🔥🎵 hapa Tune in for non-stop hits and good vibes. Don’t miss it!🎶
05/02/2025

Midweek ndani ya ni beats na vibes!🔥🎵 hapa
Tune in for non-stop hits and good vibes. Don’t miss it!🎶

MEEEN WHAAAATS!Tuifanye hii Tuesday iwe special to remember🥳. Na  energy tuliyonayo sio ya level ya kawaida Who’s ready ...
04/02/2025

MEEEN WHAAAATS!
Tuifanye hii Tuesday iwe special to remember🥳. Na energy tuliyonayo sio ya level ya kawaida Who’s ready to catch a vibe with me?

Listen live www.radiotadio.co.tz/tripleAfm.com

Baada ya Kendrickc’s Lamar kushinda Tuzo Tano za   hii Ndo list ya ma Rappers wenye tuzo nyingi za    awards kwa Muda wo...
03/02/2025

Baada ya Kendrickc’s Lamar kushinda Tuzo Tano za hii Ndo list ya ma Rappers wenye tuzo nyingi za awards kwa Muda wote

🏆 Jay-Z - 24
🏆 Ye - 24
🏆 Kendrick Lamar -22

Sikiliza story kamili kwenye The Beats 120

  Taylor Swift Alivyomnyanyulia glass Kendrick Lamar akiwa anapokea tuzo yake ya    Kupitia ngoma yake aliyo mdiss Drake...
03/02/2025


Taylor Swift Alivyomnyanyulia glass Kendrick Lamar akiwa anapokea tuzo yake ya Kupitia ngoma yake aliyo mdiss Drake "Not Like Us" ilishinda kipengele ya Record of the Year.

  Msanii kutokea Nigeria 🇳🇬 Tems’ ameshinda tuzo yake ya    kupitia ngoma ya Love Me Jeje katika kipengele cha Award for...
03/02/2025

Msanii kutokea Nigeria 🇳🇬 Tems’ ameshinda tuzo yake ya kupitia ngoma ya Love Me Jeje katika kipengele cha Award for Best African Music Performance.

Hii inakua tuzo yake ya pili ya grammy na Ndo msanii pekee kutoka Africa alieshinda Tuzo ya kwa mwaka 2025
Sikiliza now!

  BIG STORY IN TOWN IN KENDRICKC LAMAR AMESHINDA TUZOALIZOKUA ANAGOMBEAAmini ya kwamba hii ni wiki Poa kwa Kendrick Lama...
03/02/2025

BIG STORY IN TOWN IN KENDRICKC LAMAR AMESHINDA TUZO
ALIZOKUA ANAGOMBEA

Amini ya kwamba hii ni wiki Poa kwa Kendrick Lamar baada ya kupiga 5-kwa-5 kwenye usiku wa Tuzo za Grammy ikiwa ni same week anaenda kupiga show ya Super Bowl halftime show 🤩

🏆 Song of the Year
🏆 Record of the Year
🏆 Best Rap Song
🏆 Best Rap Performance
🏆 Best Music Video

Top of your Afternoon!Yoo Hatuna Hangover 😵 tunaanza week pamoja smarter, not harder. Monday is just the warm-up for you...
03/02/2025

Top of your Afternoon!
Yoo Hatuna Hangover 😵 tunaanza week pamoja smarter, not harder. Monday is just the warm-up for your brilliance. 💪🧠
Let's kick it with
📻🎙www.radio.co.tz/TripleAfm

  apa Leo tuna movies mbili apa zote zikiwa zimetoka sehemu ya pili tuna   na   ipi unaijua ama utaingalia zote ziko Ava...
29/01/2025

apa Leo tuna movies mbili apa zote zikiwa zimetoka sehemu ya pili tuna na ipi unaijua ama utaingalia zote ziko Available 🔥🍿

Address

Arusha
TRIPLEAFM

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Beats 120 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category